Kuna staff mwenzangu kaenda kunisemea kwa Boss kuwa ninatumia sana kilevi na kutoa maneno machafu kitu ambacho sio kweli

Kuna staff mwenzangu kaenda kunisemea kwa Boss kuwa ninatumia sana kilevi na kutoa maneno machafu kitu ambacho sio kweli

Halmashauri kuna ufala sana na wadada wa huko sijui wanajionagaje me mwnywe nina mda mfupi tu ila nishazushiwa mengi tayari nishaitwa hadi mvuta bangi wakati situmii na ni mdada ndo ananizushia yote hayo..
Tueleze mkuu ilikuwaje??
 
Acha pombe huko halmashauri kuna wenyewe, utakuwa mbuzi wa kafara muda sio mrefu.
 
Hizi kazi muda mwingine ni ufala sana, si unalewa kutokana na pesa zako?
 
Wakuu habari…

Niende moja kwa moja kwenye mada mimi ni mfanyakazi Halmashauri fulani ila sina muda sana kazini ni kama miezi sita kwa sasa tangu nianze kazi.

Sasa ikohivi kuna staff mwenzangu kaenda kunisemea kwa Boss kuwa ninatumia sana kilevi na kutoa maneno machafu kitu ambacho sio kweli nilikuwa nikinywa au kulewa ni story nyingi na utani kwa sana ila mtu huyo kaenda kusema ndivyo sivyo

Kuhusiana na hilo nimejaribu kudadisi kidogo nakugundua ni dada mmoja mnafki mnafki pale kazini kwanamna moja ama nyingine ndie aliyehusika na kutoa maneno hayo kwa Boss

Hivyo leo niliitwa nakuulizwa lakini niliona nisiwe mbishi ili nisikuze jambo mana tulizungumza kirafiki kabisa na pia sikutaka kujua kuwa ninani aliepeleka maneno ya hivyo kwa Boss huku akidai nikilewa natukana hovyo na kujisifu kuwa hakuna wakunifanya lolote (Yote hayo ni chuki na hakukuwa na ukweli wowote)

Hivyo tulikubaliana nitabadilika na sitorudia tena makosa niliyoyafanya na kumuahidi sitorudia tena kunywa pombe.

Wakuu naombeni ushauri maana tayari naishi kwa wasiwasi sana sina amani na sijui ninamna gani nitaweza kuishi na watu wanamna hii kazini

Ahsanteni nimeandika huku nimepaniki mno mnisamehe ndugu zangu nahitaji ushauri wenu.
Ulitegemea akaseme nini sasa. Na tunajuaje kuwa si kweli hapa.
 
Badilisha kampani.....
Ukishalewa unazungumza vyovyote,uenda ni kweli.
 
Back
Top Bottom