Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Mimi nikajua Iringa kumbe ni SONGEASio Iringa, ni Ruvuma Dr.
Mimi nikajua Iringa kumbe ni SONGEASio Iringa, ni Ruvuma Dr.
Hivi hapo kazini wote mna akili timamu? Kama pombe umekunywa nje ya muda wa kazi let's say weekend hata kama uko na huyo boss ukamtia vitasa mnatakiwa myamalize huko huko kwenye pombe maana mambo ya pombe ndio yalivyo.Pombe nakunywa lakni tokea tukio limetokea nikama mara mbili ambapo moja sikuwa na staff lakini mara pili nilikuwa nao na mbaya zaidi anataja hadi kiwanja ninaponywea daaah
Nilikuwa nafanyakazi kampuni Moja,kuna Jamaa alikuwa mnoko balaa, Mungu yupo jamani.Kuna msemo usemao kwenye Biblia nikauelewa :Tenda yale unayopenda,kutendewa na wenzio.Jamaa aliipata kwangu imebaki ni Story hadi Leo kwenye hiyo kampuni kama WAMO humu na Yeye yumo humu nadhani unoko atakuwa Kaacha!Kwa ufupi tulienda na jamaa kupiga Dili ambako kwa kazi yetu ni kosa na wakikugundua kazi unaweza kuisha bila mjadala!Kuna miamvuli mikubwa huwe wenye bar wanaiweka kwa kimombo, inaitwa Parasols.Huwa hii miamvuli makampuni mengi hutoa Bure.Hutoa idadi kulingana na meza na pia Sehemu ulipo bar au super market,Hiyo miamvuli ya hiyo kampuni watu wengi hupenda sana!Sasa sisi watu wa masoko ikawa ni Dili,unaindikia na kwenda nayo kwenye masoko Yako.Tumetoka na huyu jamaa mnoko tumeuza kwa mteja tumuite Pakijinja,katupa chetu,tumegawana fresh, Pakijinja akaomba namba za simu zetu tukampa,akija mjini tumuongezee akihitaji.jamaa yangu mnoko kaenda kwa Boss kumwambia kwamba,Mimi Huwa nauza miamvuli na alivyo mjinga kaelekeza ninakouza! Mbaya zaidi yeye ndie ana Alama usoni inayomtambulisha kirahisi(Nundu)na tulumuita kinundu.Boss hii Tabia yake ilikuwa inamkera, Maana boss mwenyewe nae mtu wa kubugia mvinyo!Akaniita kwenye mvinyo Maana NAMI ni mmoja wao!Story zikaanza hizo za kuuza miamvuli.Japokuwa jamaa,kakataa kuwa haropoki,ni muongo hapo!Nikafunguka kweli nauza na tunauza na huyu aliyekuambia .Asubuhi tukaitwa wote na jamaa na staff wengine wa masoko!Safari ikaanza tusikokujua!Boss katupeleka like eneo tulilouza hiyo miamvuli!Yule mnunuzi nae yupo,kutuona tuu ,kaja mbio kutulaki,hasa kamshika jamaa na anamuuliza kwa nguvu jamaa mnoko,eeh mmeniletea Tena miamvuli!Kabla hajamjibu,mnunuzi akaendelea Leo mbipunguzie jamani bei kubwa sana mliyoniuzia!Daah!Kazi hatukufukuzwa,ila kila mtu anajua jamaa yangu mnoko alijisikiaje na wafanyakazi walimuonaje... .kila mtu atafakali.Tafuta kazi ya Kueleweka Mkuu, Hio mambo ya Kufatilian Nje ya Kibarua ni Ujuha sana, Afu pia epusha Kuwa nao hao watu Nje ya kazi, Tafuta Circle ya watu ambao sio Job related
Noma sanaHivi hapo kazini wote mna akili timamu? Kama pombe umekunywa nje ya muda wa kazi let's say weekend hata kama uko na huyo boss ukamtia vitasa mnatakiwa myamalize huko huko kwenye pombe maana mambo ya pombe ndio yalivyo.
Mkirudi kazini mnaendelea na maisha ya kazi kama kawaida. Tabia ya kuchanganya masuala ya pombe kuyapeleka kazini au masuala ya kazi kuyapeleka kwenye pombe ni uduwanzi mkubwa sana.
Yeah ni Songea.Mimi nikajua Iringa kumbe ni SONGEA
Aisee kuna watu wanoko mno sijui tuishije nao hawa watuNilikuwa nafanyakazi kampuni Moja,kuna Jamaa alikuwa mnoko balaa, Mungu yupo jamani.Kuna msemo usemao kwenye Biblia nikauelewa :Tenda yale unayopenda,kutendewa na wenzio.Jamaa aliipata kwangu imebaki ni Story hadi Leo kwenye hiyo kampuni kama WAMO humu na Yeye yumo humu nadhani unoko atakuwa Kaacha!Kwa ufupi tulienda na jamaa kupiga Dili ambako kwa kazi yetu ni kosa na wakikugundua kazi unaweza kuisha bila mjadala!Kuna miamvuli mikubwa huwe wenye bar wanaiweka kwa kimombo, inaitwa Parasols.Huwa hii miamvuli makampuni mengi hutoa Bure.Hutoa idadi kulingana na meza na pia Sehemu ulipo bar au super market,Hiyo miamvuli ya hiyo kampuni watu wengi hupenda sana!Sasa sisi watu wa masoko ikawa ni Dili,unaindikia na kwenda nayo kwenye masoko Yako.Tumetoka na huyu jamaa mnoko tumeuza kwa mteja tumuite Pakijinja,katupa chetu,tumegawana fresh, Pakijinja akaomba namba za simu zetu tukampa,akija mjini tumuongezee akihitaji.jamaa yangu mnoko kaenda kwa Boss kumwambia kwamba,Mimi Huwa nauza miamvuli na alivyo mjinga kaelekeza ninakouza! Mbaya zaidi yeye ndie ana Alama usoni inayomtambulisha kirahisi(Nundu)na tulumuita kinundu.Boss hii Tabia yake ilikuwa inamkera, Maana boss mwenyewe nae mtu wa kubugia mvinyo!Akaniita kwenye mvinyo Maana NAMI ni mmoja wao!Story zikaanza hizo za kuuza miamvuli.Japokuwa jamaa,kakataa kuwa haropoki,ni muongo hapo!Nikafunguka kweli nauza na tunauza na huyu aliyekuambia .Asubuhi tukaitwa wote na jamaa na staff wengine wa masoko!Safari ikaanza tusikokujua!Boss katupeleka like eneo tulilouza hiyo miamvuli!Yule mnunuzi nae yupo,kutuona tuu ,kaja mbio kutulaki,hasa kamshika jamaa na anamuuliza kwa nguvu jamaa mnoko,eeh mmeniletea Tena miamvuli!Kabla hajamjibu,mnunuzi akaendelea Leo mbipunguzie jamani bei kubwa sana mliyoniuzia!Daah!Kazi hatukufukuzwa,ila kila mtu anajua jamaa yangu mnoko alijisikiaje na wafanyakazi walimuonaje... .kila mtu atafakali.
Daah hapa nilijichanganya kwakweliJamani si tulikubaliana washkaji wa kazini mwisho kazini? Kwanini umetuzunguka ukaenda kunywa nao pombe?
Afanye tu kazi kwa bidii. Maarifa amuachie bosi, asije kujiingiza matatani.Kwanza hapo ulipo SEMA mbele ya boss kua hautakunywa Tena umekosea maana wewe sio MTOTO MDOGO... wewe sio wa kupangiwa na boss utumie vipi pesa au uishije ishije kikubwa jiheshimu na heshima ni muhimu.
kunywa kistaarabu fanya kazi zako kwa bidii na maarifa usitake kuwaweka karibu hao WORK MATE WAKO ISHI nao kwa mipaka.
I guess to be correct kwa jicho langu la mwewe WEWE UKINYWA POMBE NI TATIZO JICHUNGUZEE..
MZEE MWENZANGU min -me Karibu hapa nasaha zako ni za muhimu Sanaa Sanaa kwa huyu bwana mdogo.
Kama kweli unakunywa pombe na kulewa na mtumishi mwenzio kakusema hivyo kwa bosi, vile vile umesema kuwa ukinywa ni mtu wa utani basi Kuna uwezekano mkubwa hayo mambo yapo kweli.Wakuu habari…
Niende moja kwa moja kwenye mada mimi ni mfanyakazi Halmashauri fulani ila sina muda sana kazini ni kama miezi sita kwa sasa tangu nianze kazi.
Sasa ikohivi kuna staff mwenzangu kaenda kunisemea kwa Boss kuwa ninatumia sana kilevi na kutoa maneno machafu kitu ambacho sio kweli nilikuwa nikinywa au kulewa ni story nyingi na utani kwa sana ila mtu huyo kaenda kusema ndivyo sivyo
Kuhusiana na hilo nimejaribu kudadisi kidogo nakugundua ni dada mmoja mnafki mnafki pale kazini kwanamna moja ama nyingine ndie aliyehusika na kutoa maneno hayo kwa Boss
Hivyo leo niliitwa nakuulizwa lakini niliona nisiwe mbishi ili nisikuze jambo mana tulizungumza kirafiki kabisa na pia sikutaka kujua kuwa ninani aliepeleka maneno ya hivyo kwa Boss huku akidai nikilewa natukana hovyo na kujisifu kuwa hakuna wakunifanya lolote (Yote hayo ni chuki na hakukuwa na ukweli wowote)
Hivyo tulikubaliana nitabadilika na sitorudia tena makosa niliyoyafanya na kumuahidi sitorudia tena kunywa pombe.
Wakuu naombeni ushauri maana tayari naishi kwa wasiwasi sana sina amani na sijui ninamna gani nitaweza kuishi na watu wanamna hii kazini
Ahsanteni nimeandika huku nimepaniki mno mnisamehe ndugu zangu nahitaji ushauri wenu.
Kesha ji commit kwa boss kua hato kunywa Tena POMBE.Afanye tu kazi kwa bidii. Maarifa amuachie bosi, asije kujiingiza matatani.
[emoji3516]Wakuu habari…
Niende moja kwa moja kwenye mada mimi ni mfanyakazi Halmashauri fulani ila sina muda sana kazini ni kama miezi sita kwa sasa tangu nianze kazi.
Sasa ikohivi kuna staff mwenzangu kaenda kunisemea kwa Boss kuwa ninatumia sana kilevi na kutoa maneno machafu kitu ambacho sio kweli nilikuwa nikinywa au kulewa ni story nyingi na utani kwa sana ila mtu huyo kaenda kusema ndivyo sivyo
Kuhusiana na hilo nimejaribu kudadisi kidogo nakugundua ni dada mmoja mnafki mnafki pale kazini kwanamna moja ama nyingine ndie aliyehusika na kutoa maneno hayo kwa Boss
Hivyo leo niliitwa nakuulizwa lakini niliona nisiwe mbishi ili nisikuze jambo mana tulizungumza kirafiki kabisa na pia sikutaka kujua kuwa ninani aliepeleka maneno ya hivyo kwa Boss huku akidai nikilewa natukana hovyo na kujisifu kuwa hakuna wakunifanya lolote (Yote hayo ni chuki na hakukuwa na ukweli wowote)
Hivyo tulikubaliana nitabadilika na sitorudia tena makosa niliyoyafanya na kumuahidi sitorudia tena kunywa pombe.
Wakuu naombeni ushauri maana tayari naishi kwa wasiwasi sana sina amani na sijui ninamna gani nitaweza kuishi na watu wanamna hii kazini
Ahsanteni nimeandika huku nimepaniki mno mnisamehe ndugu zangu nahitaji ushauri wenu.
Kwa Sasa usiweke kinyongo nae!Atajileta tuu,Yaani hii issue nikikutana na jamaa zangu Huwa wanavunjika mbavu kwa kucheka!Jamaa aliomba uhamisho kabisa!Aisee kuna watu wanoko mno sijui tuishije nao hawa watu
Ile ya kunywa kwa kiasi,Haina uhalisia, Labda kama huna hela na marafiki!
Pombe haina unywaji wa kiasi kweli kabisa.nakumbuka wakati nakunywa kunywa nilikua ni mbishi sana.Ile ya kunywa kwa kiasi,Haina uhalisia, Labda kama huna hela na marafiki!
Nimeacha kabisa tatizo ni namna yakuishi na watu kama hawaPombe inaroho ya uaribifu hilo lipo wazi mkuu epukana nayo.
Kwasasa nimeamua tu kutulia yaniKwa Sasa usiweke kinyongo nae!Atajileta tuu,Yaani hii issue nikikutana na jamaa zangu Huwa wanavunjika mbavu kwa kucheka!Jamaa aliomba uhamisho kabisa!