wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Atlast nimempata

    Wanafunzi wa vyuo na application ya AI ya chatGPT! Watoto wetu siku hizi hawafikirii kabisa!

    Kuna application ya artificial intelligent inaitwa chatGPT. Sasa hivi wanafunzi wetu hawafikirii! Mzungu katumaliza kabisa! Kila kitu anaulizwa huyu jamaa na yuko vizuri kila idara! Tunaingia kizazi tegemezi!
  2. A

    Kufelishwa kwa wanafunzi wa Utabibu TCOHAS - Tabora.

    Wanafunzi wa chuo cha afya na sayansi shirikiri Tabora, wamekua wakipitia changamoto ya kupewa matokeo yasiyo sahihi kwa muda mrefu sasa, hali ambayo imepelekea wengine kupewa barua za kusitishiwa kuendelea na masomo (DICO),,, wakifuatilia matokeo yao wanaambiwa hawakufeli bali walikua na...
  3. The Burning Spear

    Kitendo cha kugeuza elimu kuwa biashara, ni mateso kwa wazazi/walezi na wanafunzi.

    Asikwambie mtu watu wanataka A's na hela tu mengine mtajua wenyewe wazazi 1. watoto wanakalishwa madarasani kama wafungwa 2. wanakaririshwa midude hadi wanachanganyikiwa 3. watoto hawako huru, hawajifunzi vitu vya ziada nje ya masomo 4. wazazi wanteseka na ada ada ada hadi wanachanganyikiwa 5...
  4. Stroke

    Mwalimu Yufresh kipenzi cha wanafunzi

    Huyu jamaa kanikumbusha mbali mno. Tunahitaji waalimu kama hawa. Mwanafunzi haboreki na masomo. Anatamani kukuche aende shule. Big up kwake. https://youtube.com/shorts/smNPZVl8nGE?si=8C3e38CLNc5pW4Va
  5. The Watchman

    Polisi watoa msaada kwa wanafunzi wenye ulemavu Arusha

    Jeshi la Polisi la Mkoa wa Arusha kupitia mtandao wa Polisi Wanawake limetoa msaada wa vitu mbalimbali kwa Wanafunzi wenye ulemavu wanaosoma katika kituo cha Mafunzo kwa Watu wenye ulemavu kilichopo wilaya ya Arumeru mkoani humo. Mwenyekiti wa mtandao wa Polisi wanawake Mkoa wa Arusha (TPF NET)...
  6. The Watchman

    Serikali imekamilisha ujenzi wa shule ya sekondari, Wanafunzi wamezeshwa script iliyowasaliti kumsifia Rais Samia

    Wanafunzi wa shule ya Sekondari ya kata ya Hinju, halmashauri ya mji Nanyamba mkoani Mtwara, wameishukuru Serikali kwa kuwajengea shule ya kisasa ya kata, iliyogharimu zaidi ya shilingi Milioni 560. Kwa kipindi kirefu wanafunzi wa kata hiyo, wamepitia mateso ya kutembea umbali umrefu kwenda...
  7. The Watchman

    Dodoma: Serikali ina mpango gani na shule hii chakavu, yenye mwalimu mmoja na wanafunzi zaidi ya 90?

    Wananchi wa kitongoji cha Kwaduria wilayani Chemba, mkoani Dodoma wamelazimika kuanzisha ujenzi wa shule ya msingi kunusuru watoto wao ambao wanatembea umbali wa km 8 kwenda shule ya msingi Songolo
  8. The Watchman

    Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimetoa mafunzo ya uwekezaji kwa wanafunzi UDOM ili waweze kujiajiri. Mafunzo kama haya ni vema yaambatane na uweze

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Bw. Gilead John Teri, amewahimiza wanafunzi wa vyuo vikuu kuwa na uelewa wa msingi kuhusu masuala ya biashara na uwekezaji ili waweze kujiajiri mapema hata kabla ya kuingia rasmi kwenye soko la ajira. Amesisitiza hayo Februari 28...
  9. The Watchman

    Mtwara: Wanafunzi 74 wa shule mpya ya sekondari walazimika kuanza masomo bila sare ili kuendana na ratiba

    Uongozi wa shule ya sekondari ya Kiyanga halmashauri ya mji Nanyamba mkoani Mtwara, umelazimika kuanza masomo na wanafunzi 74 wa kidato cha kwanza wasiokuwa na sare, ili kuendana na ratiba za masomo. Mkuu wa shule hiyo Vagrey Kidava, amesema shule yao ni mpya na imefunguliwa Februari 10, 2025...
  10. The Watchman

    Pre GE2025 Geita: CCM yawanunulia wanafunzi TV kwa ajili ya kufuatilia yanayofanywa na Rais Samia ili yawasaidie katika masomo yao

    Wanafunzi katika Shule ya Sekondari Nyang’hwale iliyopo wilayani humo Mkoani Geita wamekabidhiwa Runinga pamoja na Kisimbuzi kwa ajili ya kufatilia maendeleo ya Miradi inayotekelezwa na Serikali ya awamu ya sita chini ya Dkt. Samia Suluhu Hassan. Makabidhiano hayo yamekuja baada ya Mwenyekiti...
  11. K

    Wanafunzi wa shule za msingi na chekechea wasogezewe mbele masaa ya kuanza masomo.

    Ni Asubui ya saa 12 naelekea zangu kituo cha daladala ili niwai kazini,pembezoni mwa barabara naona watoto wawili wa kike wamesinzia na kulaliana.Mdogo kamlalia mkubwa mapajani,mkubwa kajiegemeza kwenye ukuta.Niliwafikia nikamuona mdogo kavaa sare za shule ila mkubwa kavaa nguo za nyumbani na...
  12. Roving Journalist

    UDOM yatoa ufafanuzi wa madai ya Wanafunzi 400 kuondolewa masomoni, wasema walidukua mfumo na kuchezea matokeo ya mitihani

    TAARIFA SAHIHI KUHUSU TUHUMA ZA WANAFUNZI 400 WANAODAIWA KUONDOLEWA MASOMONI Kusoma taarifa ya awali, bofya hapa ~ Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) Kuna Nini? Wanafunzi zaidi ya 400 wame disqualify Chuo Kikuu cha Dodoma kimepitia taarifa zinazosambazwa mitandaoni za madai zenye madai ya wanafunzi 400...
  13. Ojuolegbha

    Waziri Kombo ateta na wanafunzi wa Diplomasia Hungary

    Waziri Kombo ateta na wanafunzi wa Diplomasia Hungary Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ametembelea Chuo cha Diplomasia cha Hungary na kutoa mhadhara kwa wanafunzi wa Chuo hicho kuhusu Sera ya Mambo ya Nje na mchango wa Tanzania...
  14. Mganguzi

    Patandi maalum shule ya wanafunzi wenye mahitaji maalumu wasiopatiwa lishe stahiki. Wanakula vyakula visivyoendana na afya zao serikali iimulike!!

    Shule hii ilijengwa ama ilianzishwa na rais john pombe magufuli ! Ni shule iliyobeba wanafunzi wenye ulemavu mchanganyiko ! Ukipata bahati ya kuitembelea unaweza kuangua kilio kulingana na Hali ya wanafunzi ilivyo ! Wako wasio sikia viziwi)wasioona vipofu) walemavu wa viungo wanaotembea kwa...
  15. MrfursaTZA

    Kambi kwa Wanafunzi wa Kidato cha Pili katika Shule ya Sekondari Mkuu

    Natumai barua hii itakufikia salama. Mimi ni mzazi wa mwanafunzi aliye katika Kidato cha Pili katika Shule ya Sekondari Mkuu, wilayani Rombo. Nimeandika barua hii kuwasilisha maswali na malalamiko yangu kuhusu kambi inayotarajiwa kufanyika kwa wanafunzi wa Kidato cha Pili kwa gharama ya shilingi...
  16. L

    Wataalamu wa China watoa maarifa ya kujikinga na magonjwa kwa wanafunzi wa Zanzibar

    Kengele ilipolia katika Skuli ya Sekondari ya Simai iliyopo Pemba visiwani Zanzibar, wanafunzi darasani walichangamka wakiwa na hamu kubwa. Wataalamu wa China kutoka timu ya mradi wa kuzuia kichocho walikuwa wamefika kutoa mafunzo maalumu ya afya kuhusu kuzuia kichocho, ugonjwa unaodhoofisha wa...
  17. Tume Haki Binadamu(THBUB)

    Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kutoa elimu kwa wakazi na wanafunzi Iringa

    Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) Mhe. Dkt. Thomas Masanja amesema THBUB inatarajia kutoa elimu kuhusu haki za binadamu na misingi ya utawala bora kwa Wakazi na Wanafunzi wa Shule za Sekondari na Vyuo katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Iringa kwa lengo la kuwawezesha...
  18. H

    Kwanini wanafunzi kutoka bara wanalazimika kulipia mafunzo kwa vitendo Zanzibar?

    Mimi kama mdau nahoji kwa nini vijana kutoka Tanzania bara wanapokuja kufanya mafunzo kwa njia ya vitendo ZANZIBAR wanalazimika kulipia kiasi kisichopungua shilingi laki moja na nusu kama gharama ya mafunzo kwa njia ya vitendo? Je ikitokea wakutoka zanzibar nao wameenda bara kufanya mafunzo je...
  19. P

    Pre GE2025 Mchengerwa akerwa wanafunzi kukaa chini: Nadhani ameingia leo Tanzania

    Maisha ya kibongo ni vituko tu.
  20. The Watchman

    Serikali yatoa mwongozo unyonyeshaji wanafunzi waliojifungua hawaruhusiwi kwenda shuleni na watoto wao badala yake wazazi kuwajibika kuwalea

    Serikali imesema mwongozo wa wanafunzi wanaorejea shuleni baada ya kujifungua hawaruhusiwi kwenda shuleni na watoto wao na badala yake, unawataka wazazi kusaini makubaliano na uongozi wa shule ya kuwajibika kuwalea wanafunzi na watoto wanaorudi shuleni. Novemba 24, 2021 aliyekuwa Waziri wa...
Back
Top Bottom