Wanafunzi 140 wa shule ya sekondari Thaqaafa ya jijini Mwanza waliofutiwa matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka jana wamemwomna Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati kwa kuziagiza mamlaka husika kuwapa fursa ya kurudia kufanya mitihani ya kidato cha nne.
Wakazungumza na waandishi wa...
Utangulizi
Chuo Cha Elimu Ya Biashara (CBE) kila baada ya miaka 5 inafanya Utafiti wa soko la Ajira ili kuboresha mitaala yake. Mwaka jana Mwezi March, 2022 CBE kilifanya Utafiti kwa Wahitimu waliomaliza chuoni apo.
Matokeo ya Utafiti
59.5% ya Wahitimu wameajiriwa katika Taasisi za Umma na...
Mtaka ni kama ana serikali yake ambayo haiendani na ya CCM na Samia, hivi mtoto unamfukuza shule ili iweje? Kwanza ni mtoto, anahitaji malezi na maangalizi.
Kwa aina ya waalimu tulio nao, hivi unawapa mamlaka yote hayo?
Mtaka ni moja ya members wazuri wa magrupu ya Chadema, na huwa mchangiaji...
Mwaka 2018 wakati Tume ya Taifa ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) ilipokuwa katika utaratibu wake wa ukaguzi wa vyuo vikuu Nchini ilibainika kuna vyuo ambavyo ama havikidhi vigezo au mazingira yake si salama kimasomo.
Uamuzi uliochukuliwa baada ya kubainika kutokidhi vigezo ilikuwa ni vyuo kufungwa...
Mama Janeth Magufuli, mjane wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli, akifurahi na wanafunzi nyumbani kwake Chato leo Machi 18, 2023.
Mama Janeth amewaasa wanafunzi wasichana katika Shule za Msingi na sekondari nchini kote...
Hali ya biashara ya vyuma chakavu na matunda mbambali inaendelea kushamiri katika Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi na imekuwa ikifanywa kwenye maeneo mbambali ya Manispaa hiyo na watoto wadogo ambao wanapaswa kuwa Shuleni kwenye shule za Msingi.
Licha ya Serikali kufanya jitihada kubwa za...
Halmashauri ya Rungwe mkoani Mbeya imetenga zaidi ya Sh 200 milioni kwa ajili ya ujenzi wa mabweni mawili ya wanafunzi wa kike katika Shule ya Sekondari Kisondelo, ikiwa ni utekelezaji wa maagizo ya Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu na kudhibiti utoro.
Mwenyekiti wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.