Watu wanne ambao ni wanachama wa Taasisi ya Wanafunzi wa CHADEMA(CHASO) wamekamatwa na wanaendelea kushikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa tuhuma za kukutwa wakipanga na kuhamasisha watu kufanya vurugu.
Taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.