wanafunzi kukaa chini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kongwa: Wanafunzi kukaa chini kwa kukosa madawati, DED asema mwaka huu ni wa uchaguzi "Msiripoti"

    Katika hali inayotia simanzi, Jambo TV imeinasa video inayoonesha kundi kubwa la wanafunzi wa Shule ya Msingi Kinangali, Kata ya Kibaigwa, Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma wakisoma wakiwa wamekaa chini bila madawati – mazingira ambayo ni kinyume na mazingira bora ya ujifunzaji hususan kwa kasi ya...
  2. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa shule ya msingi Komsala wakaa chini kwa kukosa madawati

    Kupitia mitandao ya kijamii imeenea video inayowaonyesha wanafunzi wa shule ya Msingi Komsala, iliyopo kijiji cha Komsala Kata ya Kwamatiku,, wilaya ya Handeni Mkoani Tanga ambao wamekuwa wakikaa chini huku wachache wakikaa katika madawati. Sio wanafunzi pekee lakini la hasha katika kufuatilia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…