wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wanafunzi watatu wafariki kwa kukosa hewa wakati wanatoa mahindi kwenye kihenge cha shule, mwalimu aliwaacha na kwenda kunywa chai

    Wanafunzi sita wa shule ya mtakatifu John Paul II ya mkoani Shinyanga walienda kutoa mahindi kwenye kihenge cha shule lakini yalishindwa kutoka wakiwa na mwalimu wa zamu katika usimamizi wa chakula, mwalimu alielekeza wanafunzi watatu waingie ndani kutafuta namna ya kuyafungulia kisha akaenda...
  2. Serikali kichunguzeni hiki chuo Cha Mwanza Youth Center kimekuwa mwiba kwa wanafunzi kwa Sheria kandamizi ?

    Ndugu wananzengo habari ya asubuhi , Jamani wazazi tunatakiwa kuwa makini sana pale linapofikia suala la kuwatafuti watoto wetu vyuo kwa ajiri ya kupata ujuzi mbali mbali haya ninayoyasikia kutoka kwa wanafunzi ni hatari sana,wanafunzi wamekuwa wakilalamika kunyimwa uhuru wa kuhoji na mbali...
  3. J

    Je, miaka 30 jela ni suluhisho sahihi kwa wale ambao watakiuka sheria ya maadili ya kutembea na wanafunzi?

    Tangu sheria ya kumlinda mtoto wa kike hasa wanafunzi wale waliochini ya umri wa miaka 18 kumekuwa na mazoea fulani ambayo jamii inahitaji kuyafanyia ufumbuzi Jambo la kwanza. Sheria imejikita zaidi kuwaangalia wahanga( Watoto) lakini jamii haina mafunzo ya kutosha kuhusu kujilinda kwa watoto...
  4. K

    TAKUKURU fuatilieni malipo ya wanafunzi wanaofadhiliwa na Wizara pale Wizara ya Afya

    Nimepata taarifa kutoka kwa madogo ninaowaamini kua pale wizara ya Afya wale watu wanaohusika kuwalipa wanafunzi waliopata ufadhili wa mama Samia kusoma nje ya nchi wanawalaghai wanafunzi hao. Mchezo uko hivi, kwanza inaonekana toka wanafunzi hao wajiunge na masomo yao mwaka jana mpaka sasa...
  5. M

    Unyanyasaji kwa wanafunzi (wao kwa wao) Leo tuzungumze kidogo juu ya wanafunzi mashuleni

    Wazazi, hivi huwa mnaketi na watoto wenu na kuzungumza nao juu ya maisha Yao shuleni? J uzi kwenye MITANDAO ya KIJAMII imesambaa video ikimuonesha Binti aliejulikana kwa Jina la "Mariamu" akimpiga mwanafunzi mwenzie Aliejulikana kwa Jina la "Namtira "sababu kubwa ikidaiwa kuwa karibu na "crush...
  6. Bariadi: Wanafunzi wavunja masomo na kuzuia Msafara wa Mbowe, wampigia Saluti

    Tulishasema tangu awali kwamba kwenye harakati za kisiasa, yapo mambo madogo madogo ama tuvitu vitu fulani twa kusisimua sana lakini hatupewi Airtime. Sasa kwenye maandamano yanayoendelea watoto wa shule baada ya kusikia Mbowe anavurumisha maandamano kwenye eneo lao wakaamua kuvunja masomo na...
  7. Maafa ya mvua Moshi: Watano wafariki Dunia wakiwemo Watoto watatu wa familia moja

    Maafa ya mvua tar 25/04/2024 mkoa wa Kilimanjaro. Kata ya Kimochi s/m Lyakimbila VIFO 1. FREDY GAGALA DRS 1 2. ANGEL CHAKI DRS 7 3. EDWARD CHAKI F II KOMAKYA SEC. KATA YA MBOKOMU FUKENI SHULE YA MSINGI Kifo Cha mwanafunzi Joram Peter kimambo darasa la 5. Miili yote IPO Mawenzi hospital...
  8. Ucheshi mtakatifu kwenye tasnia ya usafiri wa anga

    Kundi la maprofesa waliitwa kupanda ndege. Milango ilipofungwa maprofesa wote walifahamishwa kuwa ndege hiyo imetengenezwa na wanafunzi wao. Maprofesa wote wakakimbilia kwenye mlango wa ndege wakiomba kushuka. Isipokuwa profesa mmoja tu alibaki ameketi kwa ujasiri na utulivu. Kuna mtu...
  9. Polisi Mbeya wawapa mahitaji Wanafunzi wa Shule ya Msingi Lyoto

    Wanafunzi wa Shule ya Msingi Lyoto iliyopo Kata ya Ilemi Jijini Mbeya wamepatiwa mahitaji ya Shuleni na nyumbani kutoka kwa Polisi Kata ya Ilemi Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Elibariki Mambuye. Akizungumza mara baada ya kukabidhi mahitaji hayo Aprili 19, 2024 Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Elibariki...
  10. Waziri Bashungwa: Wanafunzi Wapewe Elimu ya Matukio ya Dharura

    Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa Viongozi na Wasimamizi wa Shule za Serikali na binafsi kutoa elimu kuhusu matukio ya dharura yanayoweza kutokea katika mazingira ya shule ikiwa ni pamoja na elimu juu ya majanga ya moto ambayo yamekuwa yakitokea...
  11. A

    KERO Tabia ya baadhi ya wakufunzi (lecturers) wa chuo kikuu kupekua Simu za wanafunzi Inakera

    Kumekuwa na tabia ya baadhi ya ma lecturer wa chuo kikuu cha SAUT Mwanza kuwa wanapekua simu za wanafunzi upende wa messages. Hii mara nyingi inatokea pale mwanafunzi anapoingia darasani kwa kuchelewa kidogo na hapo lecturer anamuomba mwanafunzi simu na kuanza kupekua sms, na ikitokea...
  12. Magari ya Wanafunzi (SCHOOL BUS) yamekuwa na udereva mbovu na uvunjaji wa Sheria

    Hizi gari madereva wanajiona kama Viwete Kuwa wanahitaji Special Care, mara kadhaa nimeshuhudia Gari la shule likivuka taa za barabarani bila hata kuchukua tahadhar na ilikuwa inawaka Red. Madareva wamekuwa rafu sana wa wanafunzi hawa wadogo, magari yanakimbizwa mnoo, hawachukui tahadhari, na...
  13. A

    DOKEZO Sikonge: Walimu na Wanafunzi wa Shule ya Msingi Kiswahilini tunateseka kwa kukosa huduma muhimu

    Nina kero kadhaa kuhusu Shule ya Msingi Kiswahilini inayopatikana Wilaya ya Sikonge, Kata Igigwa, Kijiji cha Tumbili, Kitongoji cha Kiswahilini yenye Wanafunzi 300 ina changamoto kadhaa 1. Mbali na kuwa na Wanafunzi 300, shule hiyo ya Mkoani Tabora ina matundu ya vyoo mawili tu tena yenye...
  14. B

    Barrick yadhamini kongamano la wanafunzi vyuo vikuu nchini (AIESEC)

    Mratibu wa mafunzo (Supervisor Learning And Development) wa Barrick Tanzania, Elly Shimbi akiongea na Wanafunzi wa Vyuo vikuu wakati wa kongamano la kuwajengea uwezo wa kuhimili ushindani wa ajira na kujiajiri lililoandaliwa na taasisi ya kuchipua na kuendeleza vipaji vya uongozi kwa vijana...
  15. Inakuwaje halmashauri ya Kilwa kipindi hiki cha midterm wanafunzi wanatakiwa waende shuleni

    Habari wadau, Shule nyingi za sekondari zimefungwa hapa nchini, ila wilaya ya kilwa inaendelea kufundisha wanafunzi kuanzia kidato cha 2 na 4, lakini kwa hili hii wanafunzi na walimu wanatakiwa kufika shuleni, kwa mazingira haya zile siku za masomo zilizowekwa kisheria na wizara zinakuwa...
  16. Madai ya Wanafunzi wa Rutabo kupewa chakula kidogo, Afisa Elimu asema 'tatizo ni siku ya Wali na Nyama'

    Baada ya member wa JamiiForums.com kuripoti kuwa Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Rutabo hawapewi Chakula cha Kutosha kutokana na uhaba wa Chakula na kudai kuwa hatua hazichukuliwi, Serikali imechukua hatua. Awali member alidai Shule hiyo inawapikia Wanafunzi Chakula kidogo hali inayowalazimu...
  17. M

    India: Wanafunzi washambuliwa wakiwa katika sala

    Wanafunzi wasiopungua wanne wa kigeni wamejeruhiwa baada ya kundi la Wahindu wenye chuki za kidini kuvamia dakhalia ya chuo kikuu katika jimbo la Gujarat magharibi mwa India na kushambulia kundi la wanafunzi waliokuwa wanasali Sala ya Tarawehe katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani. Wanafunzi...
  18. K

    Uanzishwe mpango maalumu wa usafiri Kwa wanafunzi wa shule za Umma

    Kwako Waziri wa uchukuzi Prof. Makame Mbarawa na wahusika wengine. Kwanza, napenda kuwapa pole Kwa kazi ngumu na pongezi Kwa kazi nzuri ambayo wizara ya uchukuzi inafanya hususani ujenzi wa miundombinu mbalimbali na kubwa zaidi ujenzi wa Reli. Waziri, binafsi ninakukubali Kwa uchapakazi na...
  19. Wanafunzi wanauliwa na walimu kwa vipigo na wengine wanachora ramani za kutorokea USA; tazama huyu hapa anauliwa tena!

    Inasikitisha sana. Tumekuwa tukisikia walimu wakihusika kuwaua wanafunzi kwa vipigo na baadhi yao wameishafungwa gerezani na kuhukumiwa kunyongwa hadi kufa lakini huku mtaani nako hali si shwari. Tazama mabaladhuli haya yanavyomuadhibu huyu binti bila huruma huku watu wazima wakishuhudia na...
  20. Mwanafunzi mmoja afariki wengine hali tete wilayani Kilolo, Iringa baada ya kula futari ya msaada

    Hii imetokea katika shule ya Sekondari Kilolo iliyopo katika Kijiji cha Luganga, kata ya Mtitu Wilaya ya Kilolo Mkoa wa Iringa. Tukio hilo limetokea jana. Wanafunzi 7 wa kiislam waliokuwa wamefunga kwenye mfungo wa Ramadhani wamekumbana na kadhia ya kutapika na kuharisha kunakoelezwa kunatokana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…