wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kigezo cha Ufaulu chawatema Wanafunzi 200 kwenye Samia Scholarship

    Wakati wanafunzi 226 wakitemwa katika ufadhili wa masomo wa Samia ‘Samia Scholarship’ kutokana na kushindwa kukidhi vigezo vya kuendelea kupata ufadhili huo, Serikali imewahakikishia kupata mikopo ili waendelee na masomo yao. Wanafunzi hao ni kati ya 640 walionufaika na ufadhili huo katika...
  2. A

    DOKEZO Kuna harufu ya rushwa kutoka Fedha za Mikopo ya Wanafunzi wa Degree. TAKUKURU chunguzeni

    Miaka ya nyuma tokea nchi ipate uhuru huu mwaka bajeti ya kutoa mikopo Kwa WANAFUNZI WA degree ilikuwa kubwa sana, ilikuwa TZS bilioni 700+. Serikali ikakatangaza WANAFUNZI wanaonza degree (fresh students) watapata wanafunzi 75,000 lakini majina mpaka sasa yametoka 73,000 ambayo yamegharimu Sh...
  3. B

    Je, prem number ya wanafunzi darasa la pili kwenye shule ya English Medium ambayo bado haijakamilisha usajili zina kubalika kisheria?

    Watoto walikuwa wanasoma kwenye shule ya English Medium nikawapeleka kwenye shule ya kiswahili. Shule ya English Medium hawakunipa uhamisho kwa sababu walikuwa bado wananidao so nikawa nalipa deni lao taratibu ili nikikamilisha wajue prem number za watoto. Now Mungu ameniinua tena kiuchumi...
  4. Hii ni kama ile ya Salma Kikwete kuwaambia wanafunzi wa kike wasikubali kudanganywa na vichipsi

    Hakuna kosa la ukahaba. Wale wanawake waachiwe watafute pesa wanavyojua. Ni kosa mtu mwenye hela nyingi kuwashangaa wanawake wanaofanya ukahaba. Dini ya Kikristu haikatazi haya mambo. Unakumbuka Papa Francis alifanya mkutano na wauza vipodozi. No kidding! Papa alifanya mkutano na wauza...
  5. Adolf Mkenda, Ndumbaro, Mwana FA wajiuzulu sakata la wanafunzi kuchezeshwa wimbo wa Zuchu 'Honey"

    Baada ya kipande cha video kinachowaonesha watoto wa shule za msingi wakicheza wimbo wa msanii Zuchu ‘Honey’ wilayani Tunduma kusambaa mitandaoni, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda ameagiza walimu wakuu wawili wa shule hizo wavuliwe vyeo. Waziri wa Maendeleo ya Jamii...
  6. Tunduma: Wakuu wa shule wavuliwa nyadhifa kisa wimbo wa Zuchu (Honey)

    Baada ya kipande cha video kinachowaonesha watoto wa shule za msingi wakicheza wimbo wa msanii Zuchu ‘Honey’ wilayani Tunduma kusambaa mitandaoni, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda ameagiza walimu wakuu wawili wa shule hizo wavuliwe vyeo. Amesema hayo nje ya Bunge...
  7. A

    DOKEZO Serikali itusaidie Wanafunzi Chuo cha Mbeya Training College, Chuo hakijasajiliwa kinatoa vyeti feki

    Sisi Wanafunzi wa Chuo cha Mbeya Training College kilichopo Uyole Mkoani Mbeya ambacho kinatoa Kozi 4 ambazo ni Laboratory Assistant, Secretary, Business Operator na Hotel Management. Mwaka jana (2022) wakati tunajiunga na chuo hiki ada ilikuwa ni Shilingi Milioni 1.36 na mmiliki wa chuo...
  8. K

    Serikali itenge siku maalum ya kuwapa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari vidonge vya minyoo na kichocho

    Kwa heshima na taadhima ninaiomba Serikali itenge siku maalum ya kuwapa wanafunzi wote wa shule za msingi na sekondari vidonge vya minyoo na kichocho. Leo nilikuwa nafanya mazoezi asubuhi nimekutana na wanafunzi wengi wakienda shuleni wengi niliowaona kwa kweli hawakuwa na afya nzuri...
  9. Rungwe: DC Haniu atoa neno Maadhimisho ya Siku ya Lishe, asema lishe imesaidia kiwango cha ufaulu kwa Wanafunzi kupanda

    Maadhimisho ya Siku ya Lishe Kitaifa katika Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya yamefanyika leo Oktoba 30, 2023 katika Uwanja wa Shule ya Msingi Katumba II , Mgeni Rasmi akiwa Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu. Haniu amepongeza kwa hatua nzuri ya lishe iliyofikiwa katika Wilaya ya...
  10. Sheria ya Vyuo Vikuu inakataza Wanafunzi kujihusisha na Siasa ndani Chuo

    Je, wajua Sheria ya Vyuo Vikuu ya mwaka 2005 na Kanuni za Mwaka 2013 zimepiga marufuku Wanafunzi kujihusisha na shughuli za Chama cha Siasa ndani ya Majengo ya Chuo? Kifungu cha 57 cha Kanuni ya Vyuo Vikuu inasema "Mwanafunzi yeyote au Mfanyakazi wa Chuo Kikuu anayejihusisha katika shughuli za...
  11. A

    DOKEZO Wanafunzi wa Muhimbili tulioomba mkopo kwa Diploma hatujapata, HESLB wapo kimya na Udahili unafungwa wiki ijayo

    Habari Wana Jamii Forums naomba kuwasilisha hoja yangu ili kupaza sauti, mamlaka zisikie na ikiwezekana hatua zichukuliwe haraka. Sisi Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi. Muhimbili (MUHAS) tunaojiunga au tunaotarajiwa kujiunga katika masomo ya Shahada ya Kwanza kutokea Ngazi...
  12. Mikopo Kwa Wanafunzi Wa Elimu ya Juu (Vyuo vya Kati na Vikuu)

    Habari Watanzania wenzangu Napenda nami nitoa mchango wa mawazo katika hiki kilio wanacho kutana nacho wanafunzi wa elimu ya juu Tanzania bara Pia mnivumilie kwa kuwa sio muandishi mzuri sana japo nimewiwa kuandika na Nina imani wapo watao nielewe japo kwa uchache wake na watakao kuwa na...
  13. R

    Rais Samia ingilia kati utoaji wa mikopo mwaka 2023. Kwa Trend hii ya HESLB, wengi hawatakwenda vyuoni

    Ni vurugu tupu! Angalia msg zinazotumwa kwenye akaunti za waombaji. 1. Ada ya University 1.5M, unapata 200,000 Tsg, 230,000 (walio wengi) 2. Akaunti sasa zinasoma Applicants profile is NOT SEEN! Sijui imefutika saa ngapi, nani kaifuta. 3. Congratulations your application is successful...
  14. TAKUKURU ichunguze malalamiko ya Wanafunzi wa Vyuo kutorudishiwa Fedha za 'Refund', kuna kitu hakiko sawa

    Kwa takriban miezi miwili sasa kumekuwa na Malalamiko mfululizo kutoka Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu kutoka maeneo mbalimbali nchini ambao wanadai Fedha zao za Refund walizolipa wakati wa kujisajili kisha kuahidiwa kurejeshewa wakati wa kuingizwa fedha za Mikopo lakini hadi sasa wengi...
  15. Video: CHADEMA yatangaza mapumziko ya #255KatibaMpya, yawapa baraka Wanafunzi wa darasa la nne

    Video: CHADEMA yasimamisha oparesheni #255KatibaMpya kupisha mitihani ya darasa la nne
  16. IT wa Tanzania ni "copy-paste" wasioweza kubuni; wanafunzi na wahitimu wote wameshindwa kutengeneza mafaili ya VPN free net?

    Waweza kumfundisha kasuku aseme hana uwezo na ukamzawadia zabibu kumuashiria kafaulu mtihani nae akajiona kichwa, basi ndivyo ilivyo kwa IT wetu wa Tz wanafunzi wa vyuoni na wahitimu kibao, vyeti wanavyo na wengine wana ufaulu mkubwa sana lakini hawana uwezo wa kutatumia maarifa hayo lau kutumia...
  17. RPC wa Mbeya atembelea Shule ya Msingi Azimio, awataka Wanafunzi kuzingatia masomo

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Kamishina Msaidizi wa Polisi Benjamin Kuzaga ametoa elimu kwa Wanafunzi wa Darasa la Nne wa Shule ya Msingi Azimio iliyopo Jijini Mbeya ambao wapo katika maandalizi ya mwisho kuelekea mitihani ya upimaji ya Taifa inayotarajia kuanza kesho Oktoba 25, 2023 nchini...
  18. Wanafunzi wakaidi na waanzilishi wa fujo wa Shule ya Sekondari Mpwapwa, Dodoma wachoma matranka na nguo za wanafunzi wenzao

    Wakaidi hao Wanajigamba hakuna Mwalimu yeyote wala Mkuu wa Shule anayeweza kuwafanya chochote, Mpaka sasa Wanafunzi wanaendelea na Masomo. Ninachojiuliza ni hivi kama wangeunguza Mabweni ingekuwaje ? Mali zote za shule kongwe kwa kweli zingeungua pamoja na Vifaa vyao
  19. Wanafunzi 56,132 Waanza Kunufaika na Mikopo Elimu ya Juu

    Ni vicheko kwa wanafunzi 56,132 waliopangiwa kujiunga na vyuo vikuu mbalimbali nchini baada ya kupangiwa mikopo ya elimu ya juu katika awamu ya kwanza inayoenda sambamba na nyongeza ya fedha za kujikimu kutoka Shilingi 8,500 hadi Shilingi 10,000. Itakumbukwa kuwa Februari mwaka huu Rais Samia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…