wanajeshi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwanini wanajeshi wanapenda sana kukopa vitu ovyo?

    Hii imekuwa kero sana baadhi ya wanajeshi wamekuwa wakikopa madukani na hawarudishi vitu na pengine hutumia ubabe wao kutokulipa hata unakuta ukimpeleka polisi ana achiwa tu maana hutumia kazi yao kujiona wakubwa kwa wenzao yaani wanapewa pesa kubwa kila mwezi lakini huishia kwenye pombe na...
  2. Ufaransa yatangaza kuwaondoa Balozi na Wanajeshi wake kutoka Niger

    Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron amesema watachukua maamuzi hayo kutokana na Mapinduzi ya Kijeshi yaliyotokea Niger ya kumuondoa madarakani Rais Mohamed Bazoum. Amesema “Tutatekeleza hilo ndani ya saa kadhaa zijazo, Balozi na Wanadiplomasia wetu watarejea nyumbani, hivyohivyo kwa vikosi vyetu...
  3. Kambi ya jeshi la Urusi kwenye ziwa Black sea yalipuliwa na wanajeshi wa Ukraine

    Hamna kinachosazwa, vinalipuliwa vyote... The Armed Forces of Ukraine have confirmed that they successfully attacked the command post of the Russian Black Sea Fleet near Sevastopol on the morning of 20 September. Source: Directorate of Strategic Communications of the Armed Forces of Ukraine...
  4. Wanajeshi wa Urusi wanatelekezwa kila wanapojeruhiwa au kuuawa

    Malalamiko yameibuka jinsi wanajeshi wa Urusi wanaachwa wajifie kwenye nchi ya watu kila wakijeruhiwa, maana wenzao wanakimbia mapambano ilhali Urusi haijali. Kuna matatizo mengi sana ikiwemo wanajeshi kujinunulia baadhi ya vitendea kazi maana Urusi imeishiwa. =================== Russian troops...
  5. Kumbe wanajeshi hawatanii, leo wamepita Soko la Mchafukoge kuchukua nguo zao

    Jeshi namba sita duniani kwa vifaa, bajeti, nidhamu, utiyari, misheni, rekodi nk leo limeanza utekelezaji wa kuchukua nguo zao mitaani. Majira ya asubuhi walikiwa soko la nguo mchafukuoga wakikusanya Mali zao, kwa bahati nzuri zoezi lilikuwa la amani japo wafanyabiashara walipata hasara maana...
  6. Sababu hasa zinazofanya wanajeshi wawapindue watawala

    Mara nyingi wanajeshi husema kuwa wanapindua nchi sababu ya uongozi mbaya, kwa ajili ya wananchi blah blah. Ukweli hizo si sababu kabisa zinazofanya wafanye hivyo. Mara nyingi wanajeshi hupindua nchi baada ya kuona mtawala hana maslahi tena kwao au hawezi kuendelea kulinda maslahi yao. Mfano...
  7. Wanajeshi wa Ukraine waanza kuingia Crimea

    Putin alisema Crimea ikiguswa, atafanya jambo, sasa imepigwa mabomu na leo hii kuna kundi la wanajeshi limeingia, sijui aguswe wapi ndio afanye..... A battle took place in occupied Crimea, as Ukrainian intelligence units disembarked on the peninsula as part of a special operation on the morning...
  8. Jeshi La Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Lakanusha Wanajeshi wa Ngazi ya Juu Kuongezewa Mshahara

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linatoa taarifa kuwa kuna habari ya uzushi iliyosambazwa na mtandao wa kiiamii wa Tanzania Abroad TV (TAT) kwamba Wanajeshi wa ngazi za juu wa JWTZ wameongezewa mshahara. Taarifa hiyo imeeleza kuwa ongezeko hilo limelipwa tarehe 18 Agosti 2023...
  9. Mataifa 11 ya Afrika Magharibi yaandaa yajitolea kupokeza wanajeshi watakaokwenda kuiweka sawa Niger

    Zama za wanajeshi kukurupuka na kuchukua uongozi wa nchi zimepitwa na wakati, ndio mojawapo wa sababu Afrika huonekana kama bara la njaa na vita vita vya kijinga. Inapaswa tulumbane kwa hoja kama raia lakini malumbano yenyewe yabaki kwenye ndani ya wananchi, sio hawa wavaa magwanda ghafla...
  10. Ukraine wanatumia drones kugundua mabomu yaliyofukiwa na wanajeshi wa Urusi waliotoroka mapambano

    Wenzetu teknolojia zao ziko mbali sana, yaani drone inapaa na kumulika hadi chini ya ardhi na kugundua mabomu, Warusi waliposhindwa mapambano walifukia mabomu na kutoroka. A demonstration of the thermal vision of the new military-grade drone in Kyiv, Ukraine, on June 20. Alex Chan Tsz Yuk/SOPA...
  11. Eneo lingine lakombolewa Donetsk, wanajeshi wa Urusi wafukuziwa nje nje

    Kwa mwendo kasi, zege hailali...ni kulipua mpaka wakomboe maeneo ya taifa lao.. Russian troops have been forced to retreat as Ukraine has retaken a key village in Donetsk, according to reports. Moscow’s forces have abandoned their positions in Urozhaine, which is a strategically-significant...
  12. Wanasiasa wanaweza vipi kuendesha wanajeshi? Swali makini

    Swali makini: Inawezekana vipi wanasiasa au mwanasiasa kuwaendesha wanajeshi kadiri anavyo taka bila wao kureact against him or her kwa namna yoyote ile?
  13. Base ya wanajeshi wa Urusi yatiwa kiberiti Mariupol

    Hii imefanywa na wazalendo, ikumbukwe pembeni na jeshi la Ukraine, kuna wananchi wapiganaji waliounda makundi ya kuhujumu na kuharibu miundo mbinu ya wanajeshi wa Urusi...... Petro Andriushchenko, adviser to the mayor of Mariupol, has said that the partisans destroyed the Russian base in the...
  14. Drones 17 zashambulia Crimea na kuua wanajeshi wa Urusi

    Ifahamike sasa Ukraine wana viwanda vyao vya drones, Mrusi ajiandae kupambana na maelfu ya drones kote kote, wanapiga Moscow na Crimea, maeneo ambayo Putin alisema yakiguswa atafanya kitu. 17 Ukrainian drones attacked a logistics base of Russian troops near Yevpatoriia in occupied Crimea on...
  15. Idadi ya wanajeshi wa Urusi wanaojitoa uhai yazidi kuongezeka

    Wengi wanaamua hamna haja ya kuhangaika, bora wajifie... The number of suicides among Russian officers has increased significantly since the Russian full-scale invasion of Ukraine began. Source: Ukrinform news agency, citing Andrii Yusov, Spokesman for Ukraine's Defence Intelligence, on air...
  16. Wanajeshi wa Urusi walioko Bakhmut waanza kuzingirwa

    Muda itabidi waachiwe pakutokea.... =========== Ukraine forces have retaken land near Bakhmut from Russia, Kyiv says Ukrainian forces have recaptured the heights over Bakhmut and are successfully encircling Russian troops in the city, a defence minister in Kyiv has said. Hanna Maliar also...
  17. Wanajeshi wa Ukraine wafaulu kupasua na kuvuka mto Dnipro

    Ikumbukwe kwenye huu mto Warusi walikua wamejichimbia balaa kwenye upande wa pili, haya Ukraine wamevuka, mbele kwa mbele... Ukrainian forces conducted a raid across the Dnipro River in the Kherson region on Tuesday, attempting to land near the Russian-occupied village of Kozachi Laheri, state...
  18. Wanajeshi acheni ubabe, mapenzi hayafosiwi. Kwa nini ufosi ikiwa mtu hakutaki?

    Kwema niko chaka mji kasoro bahari huku nimepata mwanamke mzuri sana ananipenda tena yuko vzr haswaa ila changamoto ni Hawa jamaa sijui wapoje ningekua na uwezo wa kumroga ningemroga uyu jamaa anamsumbua demu wangu. Mda mrefu sasa anafkia hatua ya kumtishia maisha kisa yy mjeshi. Wakuu...
  19. Balaa ya HIMARS, wanajeshi Warusi wafumuliwa 200 kwa mkupuo

    Haya madubwana ni hatari sana..... UKRAINE has reportedly wiped out hundreds of Russian soldiers who thought they were out of the range of danger. Sources say five US-made HIMARS missiles slammed into the squaddies who were gathered on a beach in the Kherson region. 7 Up to 200 of Putin's...
  20. Wanajeshi wa Israel waziba chanzo cha maji kwa saruji kinachowapa Wapalestina maji mjini Hebroni

    Huu ndiyo ukatili wa hali ya juu unaoendelea huko Palestina na huku Dunian ikifumbia macho haya yote.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…