Kama mtu huna ajira ni afadhali utafute tu namna ya kujiajiri.
Ajira za serikali zina changamoto zake nyingi!
Fikiria mtu anaajiriwa kwa mshahara wa laki 4 kwa mwezi.
Kama haitoshi mtu huyu ananyimwa nyongeza ya mshahara kwa kigezo cha ajira mpya ilihali gharama za maisha ziko juu kwa wote.
Mara ya kwanza Dkt. Slaa akitoa maoni yake rasmi kuhusu sakata la bandari za Tanganyika kupewa waarabu wa DP world, aliweka wazi msimamo wake kuupinga mkataba ule.
Jambo la ajabu ni kuwa vyombo rasmi vya habari hapa Tanzania (hususani magazeti) yakaja na upotoshaji mkubwa huku yakitengeneza...
Tanzania inapitia kipindi kigumu sana pale unapokuwa na taifa la vijana 18yrs na 25 wasiofahamu mambo ya msingi kwenye nchi. Hawajishughulishi na siasa, uchumi wala maendeleo; Hawapo kwenye mikakati ya Taifa kusonga mbele. Wao wanaamini katika ulevi, kamati, kubeti, mpira na mambo kama hayo...
Hivi kwanini boda boda akimchukua mtu kumpeleka mahali lazima amshushe mlangoni kabisa kila mtu ajue mhusika kaenda nayo halafu sauti inakua kuubwa mziki kila mtu anasikia.
Mtu anaenda kempiski unamshushia pale reception nomaa sana.
Mjiongeze jamani.
Ili Ukraine ijiunge na NATO inabidi vita kati yake na Urusi ikome. Na kwa Tafisiri ya UKraine ambayo NATO wataitumia kuamua kama vita imekoma ni kuona Crimea na majimbo mawili ya DONBASS yamerejea kwenye himaya ya Ukraine!! Kwa kuwa hili halitatokea milele, kwa hiyo Ukraine haitajiunga na NATO...
Hello JF,
nimeonja utamu wa kupendwa na wanawake mjjita na msukuma kwa hakika wanamaanisha hawa viumbe wananipea full shazi, nitashiriki harakati zote za kuwajengea minara,
Popote mlipo wenye shuhuda hizi tushiriki kuwatambua tuwape nishani za kipekee.
Uwiano wa ahadi na matendo yao wako...
Mzee Tashrif kafariki leo na kazikwa Leo , hvyo ndo inavyotakiwa , sisi wakristo ni wakengeufu sana , Hata Biblia haihalalishi kuhifadhi maiti mda mrefu , mfano Yesu alifariki akazikwa sku hyo hyo,
Mlolongo wa mazishi kwetu sisi wakristo ni kama ifuatavyo.:
Mtu anafariki , anahifadhiwa...
WABUNGE WA TANZANIA WANAWAJIBIKA KWA NANI?
Juzi kulikuwa ni kikao cha bunge kilichobeba azimio la kumpongeza Rais Samia. Sina shaka na pongezi za rais lakini shaka ni aina ya ajenda na walioamua kuibeba ajenda.
Matatizo ya kujadili kama WABUNGE wanaowakilisha wananchi zaidi ya milioni 60 ni...
Hello JF,
👇👇👇
Juzi Kati hapa nimekoma nimeingia lodge na manzi mmoja mitaa ya area D hapa Dodoma, nilivua suruali mbele yake nikaitundika kwenye enga ukutani, si akashangaa akauliza au ushaficha pesa zako kwenye socks, pillow, uvunguni, kwenye godoro. Pombe mbaya sana ilinisaidia kumjua...
Rais Samia akiwa katika Maadhimisho amezungumza mambo mbalimbali. Akiwa anajibu hoja ya Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa BAWACHA kuhusu nia yao ya kushika dola 2025 Rais Samia amesema:
"Ndugu zangu siasa ni mchezo wa kulumbana kwa hoja Wote tukiwa na lengo la kushika dola kama alivyosema...
Quran... inasema tafuteni elimu hata kama iko mbali Nchini china.(chukua mawazo ya china.
Na bible inasema (Watu wangu wanang"amia kwa kukosa maarifa .
@projkishimba
Hili jambo kwa kweli haliko sawa. Imefika mahali image ya mtu inachange kabisa.
Yaani ukiwa mkereketwa kijana wa CCM hata ukajitetea vipi kwamba jamani na mimi niko kwa maslahi ya Taifa bado vijana wenzio na wazee hawatakuamini.
Wanachojua ni kuwa umefata ulaji tu.
Sambamba na hayo watu...
Kwa nimjuavyo chawa ni mdudu ambaye hukaa au kuishi kwenye mwili, nywele au nguo za kiumbe mchafu.
Chawa hutokana na uchafu. Mtu mwenye chawa mara zote hujikuna na kukosa utulivu. Chawa husababisha ngozi kutokwa na vidonda/upele.
Je, 'chawa' hawa wa wanasiasa au watu maarufu asili yake hasa ni...
Mbona madhabahu na injili inavamiwa na washamba sana, yaani akili ya kusoma vifungu vya bible, na hizo lukutu lakata leketee feki ndio wanajifanya na kujikuta wanajua kila kitu, mahusiano wanajua sana, heshima wanajua wao, sifa za kuoa wao, sifa za kuolewa wao, namna ya kutongoza wao namna ya...
Habari saa wanachama wenza wa website hii ya jamii forums katika jukwaa la siasa.
Nilikuwa na machache ambayo ningeli penda kuzungumza na wanachama na wafuasi wa vyama vya siasa vya hapa nchini.
Katika hayo machache ambayo nita zungumza na wanachama na wafuasi hawa, yata jikita zaidi katika...
Sasa hata Kipanya na wananchi wameanza kuielewa Force Account na madudu yake. Serikali ifanye Technical Audit kwa hii miradi kabla haijabomoka yenyewe.
Jeshi la Polisi mkoa wa Mjini Magharibi linamshikilia Elizabeth Ngiba (32), kwa kosa la kujirekodi video kupitia Mtandao wa Tiktok na kutoa Lugha ya Maudhi dhidi ya Wazanzibar akiwaambia kwamba licha ya kujua kujistiri lakini Tabia zao ambazo hakuzitaja hazitofautiani na wengine na kuwataka...
Watu wengi hapo mjini Dar huwa wanadhani huku Mwanza samaki ni bei rahisi, yaani wanafikiri ukiwa na buku unabeba mzigo wa kutosha kumbe wapi. Mtu akisikia unaenda Dar ukitokea Mwanza kila mtu utasikia anasema niletee samaki.
Jitahidini kabla ya kuagiza kuletewa samaki mtume na hela ya...
Nina mengi nimeyatafakari Kwa kina, sana ndani ya Juma Ili nikaona,nisubili lifike mwisho naweza kufa na vihoro moyoni mwangu, Bora nife na dhambi kuliko vihoro maana dhambi ntahojiwa Na muumba!
Suala la polisi kuua Kwanza Panya Road linafikilisha sana kimsingi vijana wa Rika dogo wameuawa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.