wanajua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. NetMaster

    Mwanaume unapotoa pesa za maelezi hakikisha watoto wanajua lasivyo hawataona umuhimu wako na kudhani mama yao ndie anaekamilisha kila kitu

    Walengwa: 1. baba alietengana na mzazi mwenzake ila anaendelea kutuma pesa ya matumizi ya mtoto 2. Baba ambae anaishi nyumba moja na familia yake lakini anampa mke wake pesa ya chakula cha familia , mavazi, elimu, n.k bila watoto kujua. aliotengana na ambao wanakuwa nje ya nyumba kikazi kwa...
  2. MakinikiA

    Hivi Usalama wa Taifa wanajua matatizo ya Taifa la Tanzania?

    Ninavyofahamu mimi taasisi hii lazima kuwe na wachumi, wanasheria, madokta, engineer nk., ibaki kusema hii idara kama kuna uwezekano ilitakiwa kuifumua na kuisuka upya, kwa haya matatizo tulikuwa nayo utafikiri nchini hakuna Usalama wa Taifa. Nchi kuna matatizo mengi tu au mnafikiri matatizo...
  3. Kyambamasimbi

    Simba Queens wanajua jamani wanastahili zawadi

    Hakika wanastahili sijui zawadi gani lakin uongozi was Simba angalieni lakini iwe fundisho kwa club ya simbamen
  4. figganigga

    Umasikini ndo unasababisha tufanye sensa za Mikingamo, wenzetu wanajua hata kama ukilala njaa

    Salaam Wakuu, Natamani kuona kila mtu akihesabiwa kwa maendeleo sawa ya nchi yetu. Ila bado nailaumu Serikali na NBS kwa kulifanya lionekane swala la Kisiasa. Wameshindwa kutumia Teknolojia kufanikisha hili swala kwa 50% siku ya kwanza badala yake siku ya kwanza wanaenda kufanyiwa Sensa watu...
  5. kyagata

    Hivi inakuwaje mtu anajua kusoma Quran ila lugha ya kiarabu haijui?

    Naomba kueleweshwa, binafsi huwa naona Quran ni maandishi ya kiarabu. Sasa kuna maustadhi kama wanne hivi kwa nyakati tofauti nimewahi kuwapa gazeti lenye maandishi ya Kiarabu wanisomee na kunitafsiria ila cha ajabu wameshindwa. Je, kuna tofauti ya lugha iliyotumika kuandika Quran na lugha ya...
  6. Kingsmann

    Posho walipandisha mara 2 sababu zinawahusu wao, mishahara wakaongeza kiduchu kama danganya toto.

    Kuna mambo yako wazi sana wala hayahitaji rocket science kujua kwamba hawa wanasiasa wamejifavor wao, ukitumia hesabu za kawaida kabisa unaona lengo lilikuwa kujilipa vizuri wao na sio watumishi wa umma. Watumishi ambao wanalipwa kima cha chini nchi hii ni wachache sana, hata wale wa daraja la...
  7. M

    Wanaume wengi waliopo kwenye ndoa huwa wanajua wazi kabisa wake zao wanapigwa nje ila wanajikausha

    Wanawake ni watu wa kutongozwa na wao pia huwa wanatongoza. Wanaume kibao tu huwa wanajua wanapigiwa wake zao lakini inabidi wakae kimya. Maisha ya ndoa au mahusiano ya muda mrefu yanachangamoto.
  8. M

    Mabeberu wameshaanza kupigana vikumbo wakipigania fursa ya kuijenga upya Ukraine baada ya vita: Wanajua pesa ipo-ile iliyozuiwa ya Urusi na Warusi!

    Mabeberu hawana kabisa mshipa wa aibu hata kidogo!! Wakati ikraine inaambulia kipigo kikali toka kwa urusi na watu wengi wanauawa, mawazo ya mabeberu sasa hivi ni kupigania fursa ya kuijenga upya ukraine baada ya vita. Hao ndio mabeberu!! Poland iliyokuwa inajitia kimbelembele imeanza kulalamika...
  9. BM X6

    Rafiki/ Ndugu zenu wanajua Kazi/ Biashara mnazozifanya?

    Jana nilishinda nyumbani siku nzima, sikuwa kazi nilijipea off, Sasa kabla siku haijaisha alikuja beshte yangu katika story nikamuelezea Biashara ambazo nataka kufanya ili anishauri. Alinipa Ushauri wa kutosha lakini ushauri mkubwa aliyoniambia ni huu[emoji1484] nanukuu "Unajua kuna Baraka...
Back
Top Bottom