Wakuu,
Kama ilivyotokea Kinondoni miezi michache nyuma, Wakenya nao wameamua kuchachamaa
Soma: Video: Vurugu zazuka Kinondoni baada ya raia kugoma mwenzao kuchukuliwa na Polisi wakihofia Polisi huyo kuwa mtekaji
Huko nchini Kenya eneo la Roysambu, kumetokea sintofahamu baada ya wananchi...
Wakuu,
Huko nchini Ghana sanamu ya kumbukumbu ya Rais wa zamani wa Ghana, Nana Akufo-Addo, iliyojengwa mwishoni mwa mwaka jana, imeangushwa.
Wakati Akufo-Addo akizindua sanamu hilo Januari (11) katika Mkoa wa Magharibi alikumbana na mapokezi mabaya sana kwenye mitandao ya kijamii, huku wengine...
Watu wasiojulikana wamevamia na kuchoma moto Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Silambo iliyopo Kijiji cha Nsungwa Wilayani Kaliua Mkoani Tabora na kuteketeza baadhi ya nyaraka na samani zilizokuwepo ndani ya ofisi hiyo.
Kwa mujibu wa Diwani wa Kata hiyo Mashaka Mpuya tukio hilo la kuvamiwa na...
Salaam, Shalom!!
Mahusiano ya Dola na wananchi yanatakiwa kuwa sawa na mahusiano ya kipofu na Mwizi anayekula Kwa kificho na kipofu, Si vyema kukosea na kumshika mkono akastuka.
Watu wanapotea na kutekwa hadharani viongozi kimya, unyanyasaji Kwa wasio HAKI sasa haujifichi, wananchi...
=============
Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Watumishi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inasikitika na kutoa pole kwa familia na ndugu na jamaa kutokana na kifo cha mtumishi wetu wa TRA, Bw. AMANI Kamguna Simbayao kilichotokea leo mchana wa tarehe 06 Desemba 2024 katika Hospitali ya...
Kwenye video ambayo inasambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii, trafiki mmoja nchini Kenya ameonekana kukamatwa na wananchi wenye hasira kali baada ya kudaiwa kuwa alitaka kupokea rushwa.
Video isiyo na tarehe imewaonyesha raia wakimzingira trafiki huyo kwa madai ya kuvunja kioo cha matatu...
Mwizi, Mwizi, Mwizi... Kusikia hii Yowe kwa watanzania wengi ni kibali cha kuanza kumfukuzia mlengwa na kujichukulia sheria kwa kumshushia kumpiga, kumponda mawe na hata kumchoma bila kumpa nafasi ya kujieleza,
Yani ile unaanza kujieleza tayari ushapigwa ngumi ya taya, umerukiwa kichwa, n.k...