Trafiki anusurika kichapo kutoka kwa Wananchi wenye hasira kali akidaiwa kusababisha Bajaj iwake moto

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776

​
Askari wa Kikosi cha Usalama barabarani, ambaye jina lake halikufahamika mara moja, amenusurika kipigo kutoka kwa wananchi, waliodai kuwa amesababisha Bajaji kuwaka moto, baada ya kumkimbiza Dereva wa Bajaji hiyo aliyevunja sheria, kwa kupita barabara ya Mwendokasi.

Askari huyo alikimbilia basi la Magereza katika eneo la Mawasiliano Ubungo jijini Dar es Salaam na kuyanusuru maisha yake, kutoka kwa wananchi wenye hasira kali.

Chanzo: ITV
 
Kwa hiyo hapo aliyesababisha ajali ni traffic au dereva bajaj, umesema alivunja sheria kwa kutumia njia isiyoruhusiwa, hivo baada ya kusimamishwa alipaswa kusimama na hakutii hiyo amri hivo kilichosababisha ajali ni ujinga wake na asubirie kufuatacho ndo atajua hukumu ya kesi ya kumshambulia askari akiwa anatekeleza majukumu yake. Hao wapambe wote mahakamani hatowaona hata mmoja
 
Bajaji zenyewe zinasoma ml za kutosha
Mi mdada alinikamata pale mnazi mmoja kutokea posta nikasema isiwe shida mama andika,sikusogea hata nukta akaandika nikalipa 10000 nikapiga moyo konde maisha yakaendelea barabarani pagumu sana unahitaji moyo kuwepo
 
Askari wa Kikosi cha Usalama barabarani, ambaye jina lake halikufahamika mara moja, amenusurika kipigo kutoka kwa wananchi, waliodai kuwa amesababisha Bajaji kuwaka moto, baada ya kumkimbiza Dereva wa Bajaji hiyo aliyevunja sheria, kwa kupita barabara ya Mwendokasi.

Askari huyo alikimbilia basi la Magereza katika eneo la Mawasiliano Ubungo jijini Dar es Salaam na kuyanusuru maisha yake, kutoka kwa wananchi wenye hasira kali.

Chanzo: ITV
WAENDESHA BAJAJI, PIKIPIKI BODABODA WOTE NI WAHUNI, MAJANGILI, WEZI, WABAKAJI
 
Askari wa Kikosi cha Usalama barabarani, ambaye jina lake halikufahamika mara moja, amenusurika kipigo kutoka kwa wananchi, waliodai kuwa amesababisha Bajaji kuwaka moto, baada ya kumkimbiza Dereva wa Bajaji hiyo aliyevunja sheria, kwa kupita barabara ya Mwendokasi.

Askari huyo alikimbilia basi la Magereza katika eneo la Mawasiliano Ubungo jijini Dar es Salaam na kuyanusuru maisha yake, kutoka kwa wananchi wenye hasira kali.

Chanzo: ITV
Haya ni matokeo ya kuendekeza bajaji kupita barabara kuu kama vile daladala huku wakiogopwa kufukuzwa kwa kauli tu utowasumbua wapiga kura. Watakuja kusababisha madhara makubwa
 
Inahusiana vipi na hii post? Hao wananchi wanaovunja sheria makusudi wataenda jela. Huyu dereva wa Bajaj ni jela direct.
afande alileta emotion mixer umasta ego kwemye mambo ya kaz , sasa ameharibu mali kinyume na jukumu lake la kulinda raia na mali zao na amenusurika kuadhibiwa na walimwengu
 
Back
Top Bottom