Trafiki anusurika kichapo kutoka kwa Wananchi wenye hasira kali akidaiwa kusababisha Bajaj iwake moto

Trafiki anusurika kichapo kutoka kwa Wananchi wenye hasira kali akidaiwa kusababisha Bajaj iwake moto

polisi hawa hawa wanao pokea rushwa za buku buku toka kwa madereva wa daladala au wengine? wamtafute nani hawa wala rushwa wakubwa. wasio hata na haya wala soni
Bwabwaja uwezavyo ila tii sheria. Usipotii sheria ndo utawajua vizuri. Jitahidi ushujaa wako uishie kwenye keyboard tu.
 
Bwabwaja uwezavyo ila tii sheria. Usipotii sheria ndo utawajua vizuri. Jitahidi ushujaa wako uishie kwenye keyboard tu.
kwa hiyo wanachukua rushwa hadharani kwasababu wanaruhusiwa na sheria? kusema polisi wanapokea rushwa hadharani ni kubwabwaja ama ndiyo ukweli? mbona kuna wale waliofikishwa mahakamani hapa majuzi kwa kula rushwa hadharani? au kwakuwa wana kisaidia ccm kuiba KURA/ hAWAWAZEE WA KUKIMBIA NA MASANDUKU YA KURA CHAMA KIKIZIDIWA?
 
Askari wa Kikosi cha Usalama barabarani, ambaye jina lake halikufahamika mara moja, amenusurika kipigo kutoka kwa wananchi, waliodai kuwa amesababisha Bajaji kuwaka moto, baada ya kumkimbiza Dereva wa Bajaji hiyo aliyevunja sheria, kwa kupita barabara ya Mwendokasi.

Askari huyo alikimbilia basi la Magereza katika eneo la Mawasiliano Ubungo jijini Dar es Salaam na kuyanusuru maisha yake, kutoka kwa wananchi wenye hasira kali.

Chanzo: ITV
Uliyeleta Post hii inaonekana nawe ni mmoja wa avunja sheria kwa kumsifu dereva wa bajaji kwa kuvunja sheria na kuhatarisha uhai wa trafiki.
 
kwa hiyo wanachukua rushwa hadharani kwasababu wanaruhusiwa na sheria? kusema polisi wanapokea rushwa hadharani ni kubwabwaja ama ndiyo ukweli? mbona kuna wale waliofikishwa mahakamani hapa majuzi kwa kula rushwa hadharani? au kwakuwa wana kisaidia ccm kuiba KURA/ hAWAWAZEE WA KUKIMBIA NA MASANDUKU YA KURA CHAMA KIKIZIDIWA?
Omba isitokee wanakutafuta.
 
Omba isitokee wanakutafuta.
Wawatafute vibaka wanaoibia watu kwanza kisha waje kwangu mm mtu mdogo nisiye na madhara yeyote. waanze na wezi wa Kura kwanza. kisha wakaidurusu taarifa ya CAG na kuwakamata wezi wote. ili tuone kama polisi wanafanya kazi zao kwa weledi na haki. unakimbizana na vibajaji?
 
Nina rafiki yangu ni Afisa Mipango WB, alishangaa sana kwa hili, na anasema DMDP lengo lake mojawapo ni kufaidisha "maafisa usafiri" kufanya kazi zao vyema wakiwa mbali na katikati ya mji na kupunguza msongamano katikati ya mji.
Kuruhusu Bajaj na Bodaboda kufanya biashara ya kubeba Abiria NDANI YA JIJI ni Maaamuzi mabovu ya Karne ya 21.
 
Askari wa Kikosi cha Usalama barabarani, ambaye jina lake halikufahamika mara moja, amenusurika kipigo kutoka kwa wananchi, waliodai kuwa amesababisha Bajaji kuwaka moto, baada ya kumkimbiza Dereva wa Bajaji hiyo aliyevunja sheria, kwa kupita barabara ya Mwendokasi.

Askari huyo alikimbilia basi la Magereza katika eneo la Mawasiliano Ubungo jijini Dar es Salaam na kuyanusuru maisha yake, kutoka kwa wananchi wenye hasira kali.

Chanzo: ITV
Hao wananchi Wangethubu kurusha ngumi kwa askari magereza ambacho kingewakuta wangekoma askari magereza wababe kuliko.hata FFU sababu hushughulika na wafungwa sugu wa mauaji mijambazi sugu nk walioshindikana mafunzo yao askari magereza ya kupigana ni zaidi ya ya FFU
 
Wawatafute vibaka wanaoibia watu kwanza kisha waje kwangu mm mtu mdogo nisiye na madhara yeyote. waanze na wezi wa Kura kwanza. kisha wakaidurusu taarifa ya CAG na kuwakamata wezi wote. ili tuone kama polisi wanafanya kazi zao kwa weledi na haki. unakimbizana na vibajaji?
Hao ndio wateule wa sisiem.
Huwa watukufu kwa kila kitu ambacho wanafanya kinyume.
 
Hao ndio wateule wa sisiem.
Huwa watukufu kwa kila kitu ambacho wanafanya kinyume.
nakumbuka kuna mkuu wa wilaya sehemu huko Tanganyika hata akigombania mhudumu wa bar na wenzake yeye humuita OCD ili amkamate mshindani wake.
hao ndiyo makada wa ccm wanaoteuliwa na raisi
hata wakibishana mpira wanawakamata washindani wao
 
Bajaji zenyewe zinasoma ml za kutosha
Mi mdada alinikamata pale mnazi mmoja kutokea posta nikasema isiwe shida mama andika,sikusogea hata nukta akaandika nikalipa 10000 nikapiga moyo konde maisha yakaendelea barabarani pagumu sana unahitaji moyo kuwepo
Huyu fala kosa dogo limesababisha hana bajaji sasa, kosa la barabarani sio la kukimbia
 
Hiyo bajaji ilikuwa na hitilafu zake tu. Wangapi wanakimbizwa na vyombo vyao haviwaki moto?
 
Back
Top Bottom