MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Omba wasiwe wanakutafuta ndo utajua ni wanywa double kiki au sio.kutoka kwa nani? hawa mapolisi wanywa double kiki?
Omba wasiwe wanakutafuta ndo utajua ni wanywa double kiki au sio.kutoka kwa nani? hawa mapolisi wanywa double kiki?
polisi hawa hawa wanao pokea rushwa za buku buku toka kwa madereva wa daladala au wengine? wamtafute nani hawa wala rushwa wakubwa. wasio hata na haya wala soniOmba wasiwe wanakutafuta ndo utajua ni wanywa double kiki au sio.
Bwabwaja uwezavyo ila tii sheria. Usipotii sheria ndo utawajua vizuri. Jitahidi ushujaa wako uishie kwenye keyboard tu.polisi hawa hawa wanao pokea rushwa za buku buku toka kwa madereva wa daladala au wengine? wamtafute nani hawa wala rushwa wakubwa. wasio hata na haya wala soni
kwa hiyo wanachukua rushwa hadharani kwasababu wanaruhusiwa na sheria? kusema polisi wanapokea rushwa hadharani ni kubwabwaja ama ndiyo ukweli? mbona kuna wale waliofikishwa mahakamani hapa majuzi kwa kula rushwa hadharani? au kwakuwa wana kisaidia ccm kuiba KURA/ hAWAWAZEE WA KUKIMBIA NA MASANDUKU YA KURA CHAMA KIKIZIDIWA?Bwabwaja uwezavyo ila tii sheria. Usipotii sheria ndo utawajua vizuri. Jitahidi ushujaa wako uishie kwenye keyboard tu.
Uliyeleta Post hii inaonekana nawe ni mmoja wa avunja sheria kwa kumsifu dereva wa bajaji kwa kuvunja sheria na kuhatarisha uhai wa trafiki.Askari wa Kikosi cha Usalama barabarani, ambaye jina lake halikufahamika mara moja, amenusurika kipigo kutoka kwa wananchi, waliodai kuwa amesababisha Bajaji kuwaka moto, baada ya kumkimbiza Dereva wa Bajaji hiyo aliyevunja sheria, kwa kupita barabara ya Mwendokasi.
Askari huyo alikimbilia basi la Magereza katika eneo la Mawasiliano Ubungo jijini Dar es Salaam na kuyanusuru maisha yake, kutoka kwa wananchi wenye hasira kali.
Chanzo: ITV
Omba isitokee wanakutafuta.kwa hiyo wanachukua rushwa hadharani kwasababu wanaruhusiwa na sheria? kusema polisi wanapokea rushwa hadharani ni kubwabwaja ama ndiyo ukweli? mbona kuna wale waliofikishwa mahakamani hapa majuzi kwa kula rushwa hadharani? au kwakuwa wana kisaidia ccm kuiba KURA/ hAWAWAZEE WA KUKIMBIA NA MASANDUKU YA KURA CHAMA KIKIZIDIWA?
Wawatafute vibaka wanaoibia watu kwanza kisha waje kwangu mm mtu mdogo nisiye na madhara yeyote. waanze na wezi wa Kura kwanza. kisha wakaidurusu taarifa ya CAG na kuwakamata wezi wote. ili tuone kama polisi wanafanya kazi zao kwa weledi na haki. unakimbizana na vibajaji?Omba isitokee wanakutafuta.
Kuruhusu Bajaj na Bodaboda kufanya biashara ya kubeba Abiria NDANI YA JIJI ni Maaamuzi mabovu ya Karne ya 21.
SahihiHuyu kijana mjinga mno. Huyu dereva wa bajaj na mwenye tshirt nyeupe aliyebeba rasket wajiandae sana kisaikolojia. Hapo wana kesi nyingi za kujibu.
Hao wananchi Wangethubu kurusha ngumi kwa askari magereza ambacho kingewakuta wangekoma askari magereza wababe kuliko.hata FFU sababu hushughulika na wafungwa sugu wa mauaji mijambazi sugu nk walioshindikana mafunzo yao askari magereza ya kupigana ni zaidi ya ya FFUAskari wa Kikosi cha Usalama barabarani, ambaye jina lake halikufahamika mara moja, amenusurika kipigo kutoka kwa wananchi, waliodai kuwa amesababisha Bajaji kuwaka moto, baada ya kumkimbiza Dereva wa Bajaji hiyo aliyevunja sheria, kwa kupita barabara ya Mwendokasi.
Askari huyo alikimbilia basi la Magereza katika eneo la Mawasiliano Ubungo jijini Dar es Salaam na kuyanusuru maisha yake, kutoka kwa wananchi wenye hasira kali.
Chanzo: ITV
Hao ndio wateule wa sisiem.Wawatafute vibaka wanaoibia watu kwanza kisha waje kwangu mm mtu mdogo nisiye na madhara yeyote. waanze na wezi wa Kura kwanza. kisha wakaidurusu taarifa ya CAG na kuwakamata wezi wote. ili tuone kama polisi wanafanya kazi zao kwa weledi na haki. unakimbizana na vibajaji?
nakumbuka kuna mkuu wa wilaya sehemu huko Tanganyika hata akigombania mhudumu wa bar na wenzake yeye humuita OCD ili amkamate mshindani wake.Hao ndio wateule wa sisiem.
Huwa watukufu kwa kila kitu ambacho wanafanya kinyume.
Huyu fala kosa dogo limesababisha hana bajaji sasa, kosa la barabarani sio la kukimbiaBajaji zenyewe zinasoma ml za kutosha
Mi mdada alinikamata pale mnazi mmoja kutokea posta nikasema isiwe shida mama andika,sikusogea hata nukta akaandika nikalipa 10000 nikapiga moyo konde maisha yakaendelea barabarani pagumu sana unahitaji moyo kuwepo
Yan kumfukuza mtu alievunja sheria ni kosa ?