wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. LGE2024 Freddie: CCM haiwezi tena kutatua matatizo ya wananchi

    CHADEMA Jimbo la Same Mashariki wakiongozwa na Freddie wameendelea na kampeni za kuwanadi wagombea wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji huku wakizidi kuwasisitiza wananchi kuwa CCM haiwezi tena kutatua matatizo ya wananchi badala yake wachaguwe viongozi wa kutoka CHADEMA Pia wamesisitiza...
  2. LGE2024 Tamko la kutangaza siku ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa kuwa siku ya mapumziko la mwaka 2024

    TAMKO LA KUTANGAZA SIKU YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KUWA SIKU YA MAPUMZIKO LA MWAKA 2024 KWA KUWA kifungu cha 3 cha Sheria ya Sikukuu za Kitaifa, Sura ya 35, kinampa Rais mamlaka ya kutangaza siku yoyote kuwa siku ya mapumziko kama nyongeza ya siku zilizoainishwa kwenye Jedwali la Sheria...
  3. LGE2024 Ruvuma: Kapinga ataka Wananchi kujitokeza kwa wingi Novemba 27 kupiga Kura

    Mbunge wa Vijana Mkoa wa Ruvuma (CCM) ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga anaendelea na kazi ya kuhamasisha Wananchi katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Ruvuma ili waweze kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27 mwaka...
  4. LGE2024 DC Malinyi, Waryuba awahakikishia wananchi Usalama na Amani kipindi cha Uchaguzi

    Mkuu wa Wilaya ya Malinyi Mhe. Sebastian Waryuba ameyasema hayo wakati aliposhiriki uchaguzi marathoni Wilayani Malinyi kwa lengo la kuhamasisha Wananchi kujitokeza kupiga kura Novemba 27, 2024. DC Waryuba amesema kuwa huu ni wakati sahihi kwa wananchi kutumia haki yao ya msingi na ya kikatiba...
  5. Kama wananchi wote wa Msumbiji wanaandamana kupinga matokeo nani aliipigia kura frelimo chama kikuu na kushinda?

    Aman iwe kwenu watumishi wa mfalme mkuu aliyetuumba na vyote vilivyomo naye ni MWEMA sana ni MWAMINIFU sana Nimekuwa ni mfatiliaji sana wa maandamano pale msumbiji lakin kitu ambacho nimekuwa nikijiuliza sana ni juu wa waandamanaji Waandamanaji ambao nimewaona ni kuanzia watoto, wanawake...
  6. A

    KERO Ujenzi wa Barabara ya Mwendo Kasi Tegeta Hadi Mwenge Sasa Imekuwa Kero kwa Wananchi Walio jirani na Mradi Huo

    Barabara ya mwendo kasi inayojengwa Mwenge hadi Tegeta imekuwa ni shida na kero kwa watuwanaoishi karibu na barabara hiyo kwa sababu mkandarasi anafunga barabara za kuingia kwenye makazi ya watu bila kuweka njia mbadala. Hali ambayo inaleta kero sana kwa wakazi wa maeneo hasa ya mbezi beach...
  7. J

    Rais Ruto afutilia mbali mkataba wa kujenga njia za umeme na kupanua Uwanja wa Ndege wa JKIA kati ya Kenya na Adani Group

    Rais wa Kenya, William Ruto siku ya leo kwamba ameagiza kufutwa kwa mkataba kati ya Serikali ya Kenya na kampuni ya Adani, mkataba uliokuwa umelenga kupanua uwanja mkuu wa ndege wa nchi hiyo, JKIA Aidha Ruto pia ameagiza kufutwa kwa mkataba wenye thamani ya zaidi ya dola milioni 700 ambao...
  8. POTOSHI Wananchi wamemkosoa Tundu Lissu kutokana na hotuba yake

    Salaaam wanajukwaa Nimekutana na video inaonekana kama imepostiwa na Jambo Tv, kichwa cha habari kinasema wananchi wamkosoa Lissu, video hiyo inapoendelea kucheza naona kuna comments zinapop up, Je video hiyo uhalisia wake ni upi wakuu?
  9. LGE2024 Sangu awataka Wananchi kuichagua CCM jimboni Kwela - Rukwa

    Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kwela Deus Sangu ametoa wito kwa wananchi kuendelea kumuunga mkono Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwachagua viongozi wa Serikali za Mitaa wa Chama Cha Mapinduzi. Sangu ametoa kauli...
  10. R

    LGE2024 Tunajionea namna dhulma inavyoimarisha CHADEMA. Miikutano yao imejaa hoja wakati mikutano ya watawala imejaa vi-hoja. Tutaelewana tu jukwaani

    Pamoja na wagombea wa serikali za mitaa wa vyama vya upinzani kukatwa kwa vigezo mbalimbali vyama hivyo vimeamua kuendelea na kampeni siyo ya uchaguzi wa serikali ya mtaa bali kupima kama wanakubalika au la. Uzinduzi uliofanywa katika mikao mbalimbali na chadema umewaleta wananchi wengi kwenye...
  11. LGE2024 Wananchi Buguruni, Njombe waomba viongozi watakao chaguliwa kukabiliana na vibaka

    Wananchi wa Mtaa wa Buguruni Kata ya Njombe mjini Mkoani Njombe wamelalamikia uwepo wa vibaka ambao wamekuwa tishio katika usalama wao na kuwataka viongozi watakaoshinda katika uchaguzi wa serikali za mitaa kwenda kuweka mkakati wa kupambana nao. Wananchi hao akiwemo Anna Msigwa na Maneno Ilomo...
  12. LGE2024 Mlezi CCM, Morogoro: Viongozi wao wakuu hawaelewani, hawataweza kutatua kero za wananchi

    Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Morogoro ambaye pia ni Mwenyekiti Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) Jana akizungumza kwenye Mkutano wa Hadhara wa Ufunguzi wa kampeni ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa/Vijiji katika Uwanja wa Chamwino Wilaya ya Morogoro...
  13. L

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza RC Mtanda unamchonganisha Rais na mashabiki wa Simba kwa mambo ya hovyo kabisa, Omba radhi yaishe

    Najaribu kufikiria sana kwanini RC uliamua kufanya haya uliyoyafanya, wewe ni wa kwenda uwanjani kweli na masilaha ya moto? Wewe kazi yako c kuagiza tu kwa RPC ss iweje ubebe magari ya umma na masilaha kwenda kukabiliana na wachezaji na viongozi ambao hawana hatia? Hihi kweli RC wangap...
  14. LGE2024 CPA Makalla: Uimara wa Chama cha Siasa ni Nguzo Imara kwa Wananchi, Umoja Unajenga Imani

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa CCM-NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA makalla amesema uimara wa chama cha Siasa ni nguzo imara kwa wananchi kwani umoja unajenga imani kubwa kwao katika kuleta maendeleo. Makalla ameeleza hayo leo Novemba 21, 2024 akizungumza katika...
  15. LGE2024 Njombe: Wananchi wawaasa wenzao kuhudhuria mikutano ya kampeni Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Wakuu, Twende kwenye kampeni ili mchague viongozi wanaostahili. ===== Wakati vyama mbalimbali vya siasa hapa nchini vikiendelea na kampeni zao, wananchi wilayani Makete mkoani Njombe wamewataka wananchi wenzao kuhudhuria mikutano ya kampeni ili kusikiliza sera za wagombea Kupata nyuzi za...
  16. LGE2024 Mwenezi Mvamba ahamasisha Wananchi kujitokeza kupiga kura Novemba 27

    Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo Wilaya ya Iringa Vijijini Ndg, Anold Hezron Mvamba amewataka Wananchi kujitokeza katika zoezi la kupiga kura katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unatarajiwa kufanyika 27 Novemba 2024 . Mwenezi Mvamba ameyasema hayo leo Novemba 21. 2024 katika Mkutano wa...
  17. LGE2024 Mwanza: TAKUKURU waonya wananchi na wagombea kukaa mbali na rushwa katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Tasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Mwanza (TAKUKURU) imewaonya wagombea na wananchi kuelekea katika Uchaguzi wa Serikali za mtaa, kuacha kutoa, rushwa, kuelekea katika uchaguzi huo. ambao unatarajiwa kufanyika Novemba 27 Mwaka huu,. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza...
  18. L

    LGE2024 Tundu Lissu nakushauri wewe ndio ukamzuie Mkuu wa Mkoa wa Simiyu na sio kuwatafutia matatizo wananchi

    Unawatangazia wananchi kuwa wakimuona Mkuu wa Mkoa wamzuie, ebo.Mkuu wa Mkoa ambaye ametajwa kikatiba, ametajwa kwenye sheria ya Tawala za Mikoa Na.19 ya mwaka 1997, ametajwa kwenye kanuni za kudumu za utumishi wa umma, mwenyekiti wa kamati ya usalama mkoa, wananchi wazingire gari lake...
  19. A

    DOKEZO Wananchi Kata ya Tembela (Mbeya) hatuna huduma ya Afya ya uhakika, jengo lililojengwa kwa nguvu zetu nalo limetelekezwa

    Wananchi wa Vijiji vya Simambwe, Shibolya, Usoha Njiapanda, Ilembo Usafwa na Galijembe vilivyopo Kata ya Tembela, Wilaya ya Mbeya, walilazimika kuchangishwa michango kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Afya Simambwe kutokana na changamoto ya upatikanaji wa huduma za matibabu ambapo vijiji vyote...
  20. K

    Ripoti za kila siku zinaonekana kama ni fake! wananchi hawapati taarifa

    Ripoti mbali mbali za kila siku ambazo zinaagizwa na wanasiasa lakini hatuambiwi chochote zinaonekana kwa wengi ni fake tu. Ripoti mpaka za Raisi hazijulikani kama zilitoa au yalikuwa maneno ya kisiasa tu. Uongo ongo kwenye hii serikali umekuwa mwingi sana. Master wa uongo bahati mbaya ndie...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…