wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    LGE2024 Mbeya: Jeshi la Polisi lawataka Wananchi, Wagombea kutii Sheria bila shuruti ili kuepuka kuchukuliwa hatua za kisheria

    Kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024, Jeshi la Polisi linawataka wananchi, wagombea na wafuasi wa vyama vya siasa kutii sheria bila shuruti ili kuepuka kuchukuliwa hatua za kisheria ikiwemo kukamatwa na kufikishwa mahakamani. Aidha, Jeshi la Polisi Mkoa...
  2. Ndagullachrles

    Wananchi Mabogini Moshi wapaza sauti tatizo la Maji safi na salama

    Wananchi wa Kata ya Mabogini wilaya ya Moshi Vijijini wamepaza sauti na kuitaka Mamlaka ya maji safi na uondoshaji majitaka Moshi mjini (MUWSA),kulitafutia ufumbuzi wa haraka tatizo hilo. Wananchi hawa wanapaza sauti kupitia group la WthsApp la Maendeleo Mabogini . Hapa chini ni moja ya...
  3. De Opera

    KOLABO: Wananchi na watoa huduma - lawama kwa serikali

    Habari za muda huu wanaJF? Natumaini mnaendelea vizuri. Huwa kuna malalamiko, wananchi kuilaumu serikali miundo mbinu na huduma ni mbovu. Hata mimi ni mmoja wapo kwa baadhi ya mambo lakini jinsi yalivyo off key. Ila mimi ni kwa wahudumu. Kiufupi ni kuwa, baadhi ya watoa huduma hawana ueledi...
  4. T

    KERO Vilio shida maji: Wananchi Dar wadai kuona kwenye Tv Rais kumtua mama ndoo ila hawajui inatuliwa wapi

    Leo kwenye kipindi cha asubuhi cha Wasafi fm wameruhusu kupokea simu za malalamiko ya ukosefu wa maji, kwa hakika ni huzuni na masikitiko makubwa inaonekana eneo kubwa sana la jiji la Dar halina maji kulingana na uwingi wa simu zilizopigwa. Wapo walioenda mbali zaidi na kusema wamekuwa wakiona...
  5. Mohamed Said

    Historia ya TANU: Umoja na Mshikamano Kauli Mbiu ya Wananchi Uhuru na Umoja

  6. Hismastersvoice

    Dharau za wafanyakazi wa Tanesco dhidi ya wananchi, Waziri husika chukua hatua.

    Wakazi wa moja ya mitaa Mbagala Rangitatu hawana umeme tangu jana asubuhi mpaka muda huu ninapoandika hii Post. Wakazi hawa wapo mita mia tano toka ofisi ya Tanesco Mbagala na mita miambili toka Sub Station ya Mbagala, hata hivyo walishinda na walilala bila umeme kwa zaidi ya saa ishirini na nne...
  7. Waufukweni

    LGE2024 Dodoma: Wananchi wamkataa mgombea wa CCM wadai wamechoka kuonewa

    Wakazi wa Mtaa wa Chinyoya, Kata ya Kilimani, Wilaya ya Dodoma Mjini, jijini Dodoma, wamepinga uteuzi wa mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayewania nafasi ya uenyekiti, wakidai kuwa mgombea huyo ameonesha tabia za kujifanyia maamuzi kwa matakwa yake binafsi na kutumia ubabe katika uongozi...
  8. milele amina

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya: Taarifa ya Vifo cha Wananchi kwa Ugonjwa wa Kipindupindu Kijiji Cha Itumbi, Wilaya ya Chunya

    Utangulizi Katika muktadha wa afya ya umma, ni muhimu kuwa na ufuatiliaji wa haraka na wa kina wa matukio yanayoathiri jamii. Katika eneo la Kijiji Cha Itumbi, kata ya Matundasi, wilaya ya Chunya, kuna taarifa za kusikitisha kuhusu kuenea kwa ugonjwa wa kipindupindu, ambao umesababisha vifo vya...
  9. econonist

    Waziri wa Israel awaita wananchi wa Israel kuanzisha makazi Gaza ya kaskazini

    Waziri wa Fedha Bwana Gezalel Smotrich, amewaomba raia wa Israel wakaanzishe makazi kasakzini mwa Gaza. Waziri huyo amedai ya kwamba waisrael kuhamia na kujenga makazi Gaza kutapelekea Usalama ndani ya Israel.
  10. Mwamuzi wa Tanzania

    Ukiwa mtumishi wa umma usipoiibia serikali ili ujenge mjengo mkali, ununue gari kali na kufungua biashara wananchi wanakudharau

    Hao ndio Watanzania, ukiwa mtumishi wa umma wanatarajia wakuone umepark ndinga kali kali uani mwako, uwe na mjengo wa haja , vimichango vya misiba na sherehe unatoa parefu hapo ewaaah watasema una akili bila kujua malipo yako halali ni Shilingi ngapi. Hao hao baadaye wanasema nchi imejaa...
  11. D

    Hii awamu sio ya wananchi wa kawaida kabisa

    I will be short Watu tuna hustle sana kupush mambo yetu huko serikalini. Mambo ya viongozi ni chap sisi wengine ni hustle ya miezi kadhaa mambo mambo magumu sana. Tukutane 2025, Watanzania kama ni mungu anatupiga pigo takatifu. Hii serikali ya sasa sio yetu. Ie 2025 mungu atuepushe na...
  12. Thabit Madai

    Makamu wa Kwanza wa Rais Othman Masoud atoa rai kwa ZLS kusimamia haki za wananchi

    Makamu wa kwanza wa rais Othman masoud amekitaka chama cha wanasheria Zanzibar (ZLS) kusimama imara kutetea haki za wananchi zinapovunjwa hasa katika kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Tamko hilo amelitoa wakati akifunguwa mkutano mkuu wa mwaka chama hicho uliofanyika visiwani Zanzibar na...
  13. BigTall

    KERO Wananchi Mti Mmoja - Monduli (Arusha) wanakunywa maji ya bwawa yaliyotuama, hakuna Huduma ya Maji ya Bomba

    Juzikati Oktoba 23, 2024 nilipofika eneo la Mti Mmoja - Monduli (Arusha) nikiwa njiani kuelekea Dodoma nikitokea Arusha, niliona jambo la kushangaza sana, nilishuhudia Wanafunzi wa shule wakinywa maji yaliyotuama ya mvua zilizonyesha mwanzoni mwa mwaka huu (2024). Mbali na Watoto hao...
  14. K

    Vyama vya upinzani mnapaswa kujilaumu kwa wananchi kujiandikisha daftari badala ya kutumia kadi za kura

    Zoezi hili limekuwa la AIBU kubwa kwa nchi inayoongozwa kwa sheria, taratibu na kanuni. Iweje marehemu, watoto wenye umri wa chini ya miaka 18, walioachana na waume zao na hawapo kwenye eneo hilo mfano Wilaya ya Tarime waandikishwe?. Mimi niliitwa na CHAMA fulani kuwa niorodheshwe lakini...
  15. robbyr

    TTCL hawana uwezo au ni hujuma kwa taifa na wananchi wa Tanzania?

    Tupo kwenye ulimwengu wa kasi kwa kila kitu ila TTCL kwenye huduma ya Internet wamelala au kukosa ubunifu. Mimi nimzaliwa wa Kilimanjaro na mtanzania ila jambo la mtando limekuwa kero sana kwenye baadhi ya vijiji vilipo chini ya mlima Kilimanjaro. Ukiangalia kwa sasa juu ya mlima huo...
  16. M

    LGE2024 Wananchi Kata ya Zingiziwa Wagomea Uchaguzi Wakidai Kurudishiwa Ardhi Zao

    Wana Jamiiforums mko salama? Mimi naomba Wakazi wa Chanika Zingiziwa mtusaidie kuhusu suala hili, kwa mwenye kufahamu. Juzi, nilitembelea Kata ya Zingiziwa, iliyopo Chanika na kuzungumza na wakazi kuhusu uchaguzi. Nilijulishwa kuwa takriban Wananchi 10,000 wamekataa kujiandikisha na wameapa...
  17. N

    KERO Keko Mwanga: Mtaa unaonuka, mitaro ya maji taka ni tishio afya za Wananchi, agizo la DC ni kama ‘limepuuzwa’

    Unapotua tu katika mtaa huu wa Keko Mwanga katika Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam utagundua mabadiliko ya hewa tofauti na ulipotoka, harufu inayotoka hapa, hewa inayovutwa eneo hili si ya kawaida na maeneo mengine, harufu ni kali na mbaya ya uchafu. Harufu hii inatokana na mitaro ya maji...
  18. Stephano Mgendanyi

    Ziara ya Katibu Mwenezi Zangina Kuhamasisha Wananchi Kujiandikisha, Malinyi

    ZIARA YA KATIBU MWENEZI ZANGINA KUHAMASISHA WANANCHI KUJIANDIKISHA, MALINYI Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Morogoro, Ndugu Zangina S. Zangina katika kipindi cha Kujiandikisha alitumia muda mwingi kuhamasisha Wananchi wote wa Mkoa wa Morogoro kwenda...
  19. Hyrax

    Dawasa na mtambo wa Ruvu Juu ni mzimu unaowatesa wananchi wa Dar es salaam

    Hii dawa yenu inayochemka saivi yaani ipo siku kuna watu watainywa ikiwa ya moto kabisa.
  20. The Supreme Conqueror

    Dr Slaa:Chadema acheni visingizio hamkujiandaa uchaguzi wa Serikali za Mitaa msiwadanganye Wananchi.

    Kada na kiongozi muandamizi wa zamani wa Chadema, Dk. Wilbroad Slaa, ameshutumu vikali chama hicho kwa kushindwa kujiandaa kikamilifu kwa uchaguzi wa serikali za mitaa, vitongoji, na vijiji. Katika kauli yake isiyo na kificho, Slaa amewapa somo Chadema, akiwataka wafahamu kwamba kwenda...
Back
Top Bottom