baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 14,971
- 18,641
Always msaliti ni msaliti tu hakuna siku atakuja kua malaika usaliti always uko kwenye damu ya mtu bora mara 100 Mdee lakini sio wakina Msigwa ambao walizunguka kwenye majukwaa wakikibagaza chama. Wakina msigwa na Wenje walishakosa credibility ya kuhaminiwa na wananchi. October 29 isije ikawa njia ya kurudishwa wasaliti wa chama