Msigwa ameinanga sana chadema akiwa amebeba picha ya Samia, ni hivyo binadamu tumelogwaWanachadema??.
Msigwa ameinanga sana chadema akiwa amebeba picha ya Samia, ni hivyo binadamu tumelogwaWanachadema??.
Sio kwa alichokifanya, huu mchezo ndio utakuwa tabia, mtu anaondoka anakichafua chama na hata kutaka kibomoke, kisha akikosa anachokitaka huko anarudi tena apate cheo ama ang'arishe nyota yake arudi ccm. Kama vipi anzisha chama umchukue Msigwa.Tusiwe wahafidhina !!!
CHAMA kinahitaj watu aina ya Msigwa
Mkimpokea Msigwa, wasameheni na kina Halima.Sio kwa alichokifanya, huu mchezo ndio utakuwa tabia, mtu anaondoka anakichafua chama na hata kutaka kibomoke, kisha akikosa anachokitaka huko anarudi tena apate cheo ama ang'arishe nyota yake arudi ccm. Kama vipi anzisha chama umchukue Msigwa.
Anayesamehewa ni aliyeomba msamaha, ila vyeo wasahau.Mkimpokea Msigwa, wasameheni na kina Halima.
zitto junior
Halima alifukuzwa ila Msigwa aliondoka kwa hiari. Na amefuata taratibu zote halali, ndio maana kuna covid 19 wengine wamesamehewa maana waliomba uanachama upya kwa kufuata utaratibu rasmi. Mfano Anatropia TheonestMkimpokea Msigwa, wasameheni na kina Halima.
zitto junior
Halima alifukuzwa ila Msigwa aliondoka kwa hiari. Na amefuata taratibu zote halali, ndio maana kuna covid 19 wengine wamesamehewa maana waliomba uanachama upya kwa kufuata utaratibu rasmi. Mfano Anatropia Theonest
Kitendo cha Halima kutoenda Ccm mpaka Sasa wala kutoinanga Chadema inaonyesha uzalendo alionao kwa Chama.Anayesamehewa ni aliyeomba msamaha, ila vyeo wasahau.
Tukio la Msigwa ni Ile ya kusema Mchawi Mpe Mwanao akulele. Nadhani mmenielewa, watu hawataki kuungansha matukio, waangalie Msigwa alihamia kipindi ganiWaweza kua Sahihi, ila jambo Moja la uhakika, Msigwa ni hazina Kubwa sana kwa CHADEMA.
Kawa wanarudi wawe wanachama wa kawaida tu tena wasitumike kwenye majukwaAlways msaliti ni msaliti tu hakuna siku atakuja kua malaika usaliti always uko kwenye damu ya mtu bora mara 100 Mdee lakini sio wakina Msigwa ambao walizunguka kwenye majukwaa wakikibagaza chama. Wakina msigwa na Wenje walishakosa credibility ya kuhaminiwa na wananchi. October 29 isije ikawa njia ya kurudishwa wasaliti wa chama
Halima hana uzalendo wowote kwa chama, ni kwamba kaona tu kupata cheo ccm ni ngumu hivyo kaona atulie. Usitake kumpamba.Kitendo cha Halima kutoenda Ccm mpaka Sasa wala kutoinanga Chadema inaonyesha uzalendo alionao kwa Chama.
Kama Msigwa alienda kwa watesi wenu na Sasa mnampokea ila kumsamehe Halima ambaye hata hajajiunga na watesi wenu mnaona haiwezekani, hii inashangaza sana.
Ila kumbuka Halima hakuinanga Chadema kama MsigwaHalima hana uzalendo wowote kwa chama, ni kwamba kaona tu kupata cheo ccm ni ngumu hivyo kaona atulie. Usitake kumpamba.
Aliipeleka mahakamani, na aligoma kufuata maamuzi ya chama. Mwambie aseme nani alisaini baria ya wao kuingia kwenye bunge haramu. Yaani sioni kwanini utake kutuonyesha yeye ni afadhali kuliko takataka Msigwa.Ila kumbuka Halima hakuinanga Chadema kama Msigwa
Ni falsafa ambayo tunaweza kuibadilisha.Hakuna usaliti kwenye siasa
Once a traitor always a traitor, it's in their genes.Always msaliti ni msaliti tu hakuna siku atakuja kua malaika usaliti always uko kwenye damu ya mtu bora mara 100 Mdee lakini sio wakina Msigwa ambao walizunguka kwenye majukwaa wakikibagaza chama. Wakina msigwa na Wenje walishakosa credibility ya kuhaminiwa na wananchi. October 29 isije ikawa njia ya kurudishwa wasaliti wa chama
Mdee hana kosa. Na uzuri amechagua kukaa kimya,akijua mchato mzima ilivyokuwa kupitia Mbowe ambaye alikuwa boss wake. Asingeweza kwenda kinyume na kiongozi wake tena kukiwa na mkono mkubwa wa serikali. Alimsitiri Mbowe kwa style hiyo lakini mwisho wa yote nyeti za kuku zilikuja kuonekana wazi mchana kweupe,baada ya deal za Mbowe kubainika wazi.Always msaliti ni msaliti tu hakuna siku atakuja kua malaika usaliti always uko kwenye damu ya mtu bora mara 100 Mdee lakini sio wakina Msigwa ambao walizunguka kwenye majukwaa wakikibagaza chama. Wakina msigwa na Wenje walishakosa credibility ya kuhaminiwa na wananchi. October 29 isije ikawa njia ya kurudishwa wasaliti wa chama
Ila Msigwa asipewe nafasi yoyote ya uongozi alinichafua sana Chadema kwa kujali tu tumbo lake. Damu za waliokuwa Oct 29 zipo pia kwenye mikono yake.Mdee hana kosa. Na uzuri amechagua kukaa kimya,akijua mchato mzima ilivyokuwa kupitia Mbowe ambaye alikuwa boss wake. Asingeweza kwenda kinyume na kiongozi wake tena kukiwa na mkono mkubwa wa serikali. Alimsitiri Mbowe kwa style hiyo lakini mwisho wa yote nyeti za kuku zilikuja kuonekana wazi mchana kweupe,baada ya deal za Mbowe kubainika wazi.