Kuna ongezeko kubwa sana la chuki kutoka kwa wananchi kwenda kwa viongozi wao

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
17,994
Reaction score
24,902
Nimekuwa nafuatilia vyombo vya habari hususan mitandao ya kijamii na mazungumzo ya watu mitaani. Siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa sana la chuki kwa viongozi wakuu wa nchi.

Chuki hizi zaweza kuipeleka nchi pabaya, je nini kifanyike.
 
Hivi unawezaje kumpenda Samia au Mwigulu?Wana nafasi ya kuponya majeraha yaliyopo,lakini kwa nakusudi kila wakifungua viywa vyao yanawatoka maneno ya kukarahisha kiasi kwamba mpaka raia unajiuliza,hivi hawa wamesahau wajibu walionao kama wafariji namba moja?Hakuna uwajibikaji,Kazi ni kulaumu wengine tu.
 
Nimekuwa nafuatilia vyombo vya habari hususan mitandao ya kijamii na mazungumzo ya watu mitaani. Siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa sana la chuki kwa viongozi wakuu wa nchi.

Chuki hizi zaweza kuipeleka nchi pabaya, je nini kifanyike.
Hii chuki ya viongozi kwa wananchi ni matokeo ya uongozi mbovu.

Na viongozi nao wakikaa kwenye vikao vyao wanawasema vibaya wananchi kuwa ni wavivu na wajinga.

Nao huo uongozi mbovu ni matokeo ya utamaduni mbaya.

Ambao huo utamaduni mbaya ni matokeo ya miaka na miaka ya jamii nzima kuishi kwa kuwindana, kibinafsi, bila upendo wa kweli.

Mara nyingi tunalaumu viongozi wetu, na kiukweli wanastahili lawama, kwa kanuni ya "Noblesse Oblige". Wale waliopewa talanta nyingi, watadaiwa zaidi.

Lakini pia, ukiwa na utamaduni wa kupigapiga watoto, kuonea wanyonge, undava undava, mwenye nguvu mpishe, huku kwenye siasa za demokrasia tutadanganyana tu. Hatuwezi.

Hata tukihubiriana demokrasia, hatui calcify na kui inculcate. Inakuwa hadithi tu.

Demomrasia inatakiwa ianzie nyumbani. Sasa nyumba ambayo kila kitu anapanga baba anayeogopwa watoto wataelewa demokrasia hapo? Si wataona wanasubiri wawe wakubwa na wao waendeshe maisha kibabe?

Ndiyo hivyo mtu anapigwapigwa, anaonewa, anapenyapenya kichawachawa tu, anakuja kuwa rais, na yeye anaona ndiyo zamu yake ya kuua na kutesa.

Huyu katengwa na familia yake, yule kaozwa tangu mtoto kiajabuajabu, kila mtu ana makovu mengi ya kisaikolojia kwa kukua tu Tanzania.

Unafikiri katika jamii hii ya kupigana makonzi na kutesana unaweza kupata kiongozi mwenye roho safi kirahisi?

Ni rahisi kunyooshea vidole viongozi, na wanastahili hilo.

Lakini, kuna tatizo katika jamii nzima. And I don't want to blame the victim, I am stating facta. Calling it as I see it.

Leo nimesoma story kuna binti katoroka kwao, kafanya kazi, kaolewa, kazaa watoto, alikuwa hataki kwao wajue. Anawaambia waliomuoa yeye ni yatima. Na wao wamekubali kuoa binti hawamjui kwao wapi.

What kind of society creates a girl like that?

Kuna matatizo kwenye jamii yote. Si viongozi tu. Yani hata kukubali uongozi mbovu mpqka ufike hapa watu wanauana kama digidigi ni tatizo la jamii nzima, si uongozi tu.

Hao wezi wa kura miaka yote wanawezaje bila kusaidiwa na raia wa kawaida kama walimu, wanajwshi, polisi, wafanyakazi wa serikali, kwa mfano?

Whwre are our whistleblowers?

These people are complicit and enablers.

Tukubali hili kwanza.
 
Mwananchi Hana cha kufanya Serikali Acha kujipa hofu
 
Mkuu, ukisema tatizo ni jamii nzima, unaanzia wapi kuibadilisha, na kwa namna gani? Na hilo jukumu ni la nani hasa?

Pia, una mifano halisi ya nchi zilizowahi kuwa kwenye hali kama hii zikafanikiwa kubadilika? Zilitumia njia gani hadi zikapata matokeo?
 
Nimekuwa nafuatilia vyombo vya habari hususan mitandao ya kijamii na mazungumzo ya watu mitaani. Siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa sana la chuki kwa viongozi wakuu wa nchi.

Chuki hizi zaweza kuipeleka nchi pabaya, je nini kifanyike.
The mazafakas are trying to heal a wound by just saying it isn’t there. That’s absolutely preposterous!

Mungu ikimpendeza aendelee kutuondolea hao mazafakas waliojitwalia mamlaka yake!
 
Nimekuwa nafuatilia vyombo vya habari hususan mitandao ya kijamii na mazungumzo ya watu mitaani. Siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa sana la chuki kwa viongozi wakuu wa nchi.

Chuki hizi zaweza kuipeleka nchi pabaya, je nini kifanyike.
Ni hatua nzuri sana
 
downloadfile-1.jpg
 
Mkuu, ukisema tatizo ni jamii nzima, unaanzia wapi kuibadilisha, na kwa namna gani? Na hilo jukumu ni la nani hasa?

Pia, una mifano halisi ya nchi zilizowahi kuwa kwenye hali kama hii zikafanikiwa kubadilika? Zilitumia njia gani hadi zikapata matokeo?

Ningekuwa na majibu nisingekuwa huku nilipo nje mkuu.

Mimi nilishaona nchi hii inakuja kuwa hivi miaka 30 iliyopita.

Kuna nafasi ya mabadiliko ya aina nyingi, kuanzia mabadiliko ya kimfumo kama vile katiba mpya (top) mpaka mabadiliko ya kiutamaduni kwenye malezi kila familia (down). Tunaweza kufanya yote. Ila tuondoe woga, bila kuondoa woga hakuna mabadiliko kwa muda mrefu sana.

Tatizo letu kubwa ni kwamba tunarithishana ujinga kote. Yani ingekuwa bora kama matatizo haya yangekuwa kwa wazee fulani wanaokufa tungesema tutawasubiri waishe nchi itapona. Vijana watakuja na mawazo mapya.

Tatizo wazee wachawi wanarithisha vijana wao vyeo na uchawi wao.

Short of that itojee violent revolution kama ilivyotokea nchi za Ulaya, watu wauane, baada ya hapo kunaweza kuja heshima, and even that is not guaranteed.

Kibaya zaidi, Watanzania wanazaliana kwa kasi sana. Sasa hivi tuna watu milioni 70, muda si mrefu tutafika milioni 100.

Nchi haiongezeki, akili za watu haziruhusiwi kustawisha zaidi nchi. Ni kama bakuli lililofunikwa linachemka kuna siku litapata pressure na kupasuka.
 
Hii chuki ya viongozi kwa wananchi ni matokeo ya uongozi mbovu.

Na viongozi nao wakikaa kwenye vikao vyao wanawasema vibaya wananchi kuwa ni wavivu na wajinga.

Nao huo uongozi mbovu ni matokeo ya utamaduni mbaya.

Ambao huo utamaduni mbaya ni matokeo ya miaka na miaka ya jamii nzima kuishi kwa kuwindana, kibinafsi, bila upendo wa kweli.

Mara nyingi tunalaumu viongozi wetu, na kiukweli wanastahili lawama, kwa kanuni ya "Noblesse Oblige". Wale waliopewa talanta nyingi, watadaiwa zaidi.

Lakini pia, ukiwa na utamaduni wa kupigapiga watoto, kuonea wanyonge, undava undava, mwenye nguvu mpishe, huku kwenye siasa za demokrasia tutadanganyana tu. Hatuwezi.

Hata tukihubiriana demokrasia, hatui calcify na kui inculcate. Inakuwa hadithi tu.

Demomrasia inatakiwa ianzie nyumbani. Sasa nyumba ambayo kila kitu anapanga baba anayeogopwa watoto wataelewa demokrasia hapo? Si wataona wanasubiri wawe wakubwa na wao waendeshe maisha kibabe?

Ndiyo hivyo mtu anapigwapigwa, anaonewa, anapenyapenya kichawachawa tu, anakuja kuwa rais, na yeye anaona ndiyo zamu yake ya kuua na kutesa.

Huyu katengwa na familia yake, yule kaozwa tangu mtoto kiajabuajabu, kila mtu ana makovu mengi ya kisaikolojia kwa kukua tu Tanzania.

Unafikiri katika jamii hii ya kupigana makonzi na kutesana unaweza kupata kiongozi mwenye roho safi kirahisi?

Ni rahisi kunyooshea vidole viongozi, na wanastahili hilo.

Lakini, kuna tatizo katika jamii nzima. And I don't want to blame the victim, I am stating facta. Calling it as I see it.

Leo nimesoma story kuna binti katoroka kwao, kafanya kazi, kaolewa, kazaa watoto, alikuwa hataki kwao wajue. Anawaambia waliomuoa yeye ni yatima. Na wao wamekubali kuoa binti hawamjui kwao wapi.

What kind of society creates a girl like that?

Kuna matatizo kwenye jamii yote. Si viongozi tu. Yani hata kukubali uongozi mbovu mpqka ufike hapa watu wanauana kama digidigi ni tatizo la jamii nzima, si uongozi tu.

Hao wezi wa kura miaka yote wanawezaje bila kusaidiwa na raia wa kawaida kama walimu, wanajwshi, polisi, wafanyakazi wa serikali, kwa mfano?

Whwre are our whistleblowers?

These people are complicit and enablers.

Tukubali hili kwanza.

You nailed it.
Wezi wa kura (baadhi ya watumishi wa serikali, walimu, polisi, ....) kama ulivyo andika ndiyo wabaya kwenye jamii na taifa kwa ujumla kuliko viongozi wa kisiasa.
Bila wao viongozi wabaya wangepungua au kutowepo kabisa.
 
Nimekuwa nafuatilia vyombo vya habari hususan mitandao ya kijamii na mazungumzo ya watu mitaani. Siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa sana la chuki kwa viongozi wakuu wa nchi.

Chuki hizi zaweza kuipeleka nchi pabaya, je nini kifanyike.
Hivi ndugu yangu, yaliyotokea October 29 ni madogo? Have We ever experienced a such massacre in our country? Bora ingekuwa wananchi kwa wananchi bali vyombo vya dola hasa polisi dhidi ya raia wanaopaswa kulindwa. Alafu jinga jinga flani bila aibu bungeni linasema ukimrushia jiwe polisi, yeye anakujibu kwa kukupiga risasi. Hii ipo wapi kwenye GPO?
 
Tatizo vichengerwa vinamshauri vibaya bibi kizimkazi. Na yule maza alivyobogus wala hapembui kujua mbivuna mbichi yeye anabugia tu. Sasa washauri wake wenyewe ndio wakina Gulumwi Madilu System anayesema Lissu alipigwa risasi na watu fulani ili ionekane serikali inahusika, Bashite na bwana Koo Mboo bila kumsahau Kalamagamba Dikabu undhani watamshauri nini?

Yaani hawa Wangese bora wangekaa kimya kuliko kuongea ongea shudu na upumbavu kila siku mitandaoni. Nyamitako Koo Mboo anasema polisi walipiga watu risasi kisa walipigwa mawe.....anatuambia nini kuhusu waliopigwa risasi nyumbani kwao, sebuleni na vibarazani wakiwa wamekaa wametulizana?

Tunajua TISS mnapita humu. Waambieni hao jamaa zenu, hii haijaisha. Watu hawajapona na msitulazimishe yaishe.......Saamia kajitwalia madaraka.

Heri wakae kimya. Huu ujinga ujinga wakuongea ipo siku kitawaka tena.
 
Atajua hajui
 
Back
Top Bottom