Rais Kuwa Karibu na Wananchi Kupitia Majibu ya Moja kwa Moja

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,030
Reaction score
61,298
Watu wa karibu na Samia Suluhu Hassan wanapaswa kumshauri kwamba rais si tu kiongozi wa nchi, bali pia ni taswira ya hisia na matumaini ya wananchi. Kuna wakati wananchi hawahitaji hata suluhisho la haraka, wanahitaji kuona tu kwamba rais ameona tatizo lao na amelizungumzia kwa uwazi na kwa detail.

Mfano enzi za John Magufuli, suala kama kupanda kwa bei ya sukari lilipopanda ghafla alikuwa anatoka mwenyewe kutoa maelezo na msimamo. Hilo lilikuwa linawapa wananchi faraja kwamba rais yupo pamoja nao na anajua kinachoendelea.

Sasa hivi mara nyingi maelezo yanakuwa ya jumla sana kupitia wasemaji au taarifa rasmi, wakati wananchi wanataka kusikia sauti ya rais mwenyewe ikiingia kwenye detail za matatizo yanayowagusa kila siku. Mfano suala la bomba la mafuta kupitishwa Kigamboni kipindi cha Magufuli lilileta mjadala mkubwa lakini watu wengine walihisi ukimya ulikuwa mkubwa kuliko walivyotarajia hata mimi nilimtoa rais magufuli maana kwa sababu imagije watu wamechepusha bomba toka bandarini mpaka nyumbani kwao halafu kashfa akaibua DC ikafa juu kwa juu. Leo pia kuna mada nzito kama tuhuma za dawa fake zilizozungumzwa na mbunge Shabiby, wananchi wengi walitegemea kuona msimamo wa moja kwa moja kutoka juu kabisa serikalini kwa sababu ni suala linalogusa afya za watu.

Ndiyo maana baadhi ya wananchi huwaona viongozi kama Donald Trump au Magufuli kama viongozi waliokuwa “connected” zaidi na wananchi wao, kwa sababu walikuwa wanajibu mijadala mikubwa kwa haraka na kwa lugha ya moja kwa moja badala ya ukimya mrefu au maelezo ya jumla sana.
 
sio muhimu sana hilo gentleman,

hata hivyo,
kwa takribani siku 90 kuelekea uchaguzi mkuu, mtukufu rais Dr. Samia Suluhu Hassan alikua akikutana na mamilioni ya waTanzania kwenye kampeni na kuzungumza nao moja kwa moja, ndio maana wakampatia ushindi wa kishindo wa zaidi ya 98% kwenye uchaguzi mkuu huru, wa haki na wa wazi uliofanyika Oct.29.2025.

halikadhlika,
kupitia wasaidizi wake, mtukufu rais Dr Samia Suluhu Hassan, ameendelea kuongea na wananchi wake, na kuwapatia majawabu ya kimkakati dhidi ya changamoto wanazoibua, na huo ndio utaratibu wa mataifa karibu yote ulimwenguni 🐒
 
Watu wa karibu na Samia Suluhu Hassan wanapaswa kumshauri kwamba rais si tu kiongozi wa nchi, bali pia ni taswira ya hisia na matumaini ya wananchi. Kuna wakati wananchi hawahitaji hata suluhisho la haraka, wanahitaji kuona tu kwamba rais ameona tatizo lao na amelizungumzia kwa uwazi na kwa detail.

Mfano enzi za John Magufuli, suala kama kupanda kwa bei ya sukari lilipopanda ghafla alikuwa anatoka mwenyewe kutoa maelezo na msimamo. Hilo lilikuwa linawapa wananchi faraja kwamba rais yupo pamoja nao na anajua kinachoendelea.

Sasa hivi mara nyingi maelezo yanakuwa ya jumla sana kupitia wasemaji au taarifa rasmi, wakati wananchi wanataka kusikia sauti ya rais mwenyewe ikiingia kwenye detail za matatizo yanayowagusa kila siku. Mfano suala la bomba la mafuta kupitishwa Kigamboni kipindi cha Magufuli lilileta mjadala mkubwa lakini watu wengine walihisi ukimya ulikuwa mkubwa kuliko walivyotarajia hata mimi nilimtoa rais magufuli maana kwa sababu imagije watu wamechepusha bomba toka bandarini mpaka nyumbani kwao halafu kashfa akaibua DC ikafa juu kwa juu. Leo pia kuna mada nzito kama tuhuma za dawa fake zilizozungumzwa na mbunge Shabiby, wananchi wengi walitegemea kuona msimamo wa moja kwa moja kutoka juu kabisa serikalini kwa sababu ni suala linalogusa afya za watu.

Ndiyo maana baadhi ya wananchi huwaona viongozi kama Donald Trump au Magufuli kama viongozi waliokuwa “connected” zaidi na wananchi wao, kwa sababu walikuwa wanajibu mijadala mikubwa kwa haraka na kwa lugha ya moja kwa moja badala ya ukimya mrefu au maelezo ya jumla sana.
Kurudia neno whoaarr yooo si mchezoo!
 
Back
Top Bottom