KERO Mtwara: MTUWASA wanahujumu Maisha na Afya za watu wa Shangani

KERO Mtwara: MTUWASA wanahujumu Maisha na Afya za watu wa Shangani

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Mamlaka ya maji safi na taka Mtwara mjini imeshindwa kutoa maji kwa wakazi wa shangani east, sijui na maeneo mengine kwa muda wa takriban miezi miwili.

Afya za watu hawa zipo hatarini kwani hakuna vyanzo vingine vya maji wanaweza kupata watu hawa.

Jitahidini kuja na majibu ya changamoto hii, serikali ya mkoa ipo kimya kama hakuna kilichotokea kwa miez hii miwili.

Tuliopewa dhaman tuone aibu hata kidogo
 
Back
Top Bottom