Tangu mfumo wa vyama kuanzishwa nchini, bado hakuna kabisa mchango wa vyama vya upinzani katika kuchochea maendeleo ya wananchi nchini.

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Ni CCM pekee kwa dhamira yake njema kwa taifa, utashi wa kisiasa wa viongozi wake, mipango mikakati yake ya maendeleo kwa wananchi na dhamira yake njema kwa waTanzania, ndio daima huunda serikali sikivu ya wananchi na kuongoza nchi, huku ikilenga zaidi kuwaletea waTanzania wote maendeleo bila ubaguzi wa kisiasa, kidini, kikabila au kikanda, kwa kutekeleza kwa 100% ilani ya uchaguzi ya CCM, iliyojaa vipaumbele vya mahitaji ya wananchi.

Upinzani Tanzania ni bora liende tu, lakini kiukweli hauna mchango wowote katika kuchochea maendeleo ya wananchi kijamii, kisiasa au kiuchumi.

Na ndio maana upinzani hauaminiki kwa waTanzania, haukubaliki kwa wananchi na wala hauchaguliki kwa wapiga kura, nyakati za uchaguzi huru, wa haki na wa wazi nchini.

Una maoni gani kwenye hilo kama mdau wa demokrasia nchini?

Mungu Ibariki Tanzania
 
Kwa hiyo upinzani kazi yake kunachochea maendeleo kwenye nnchi?. 😄😄😄
Yes gentleman,
Katika demokrasia,
huo ndio wajibu mkubwa wa mwanzo kabisa wa vyama vya siasa vibrant vya upinzani duniani kote..

kuisukuma serikali isilale bali ifanye kazi usiku na mchana, ili kusudi wananchi wapate maendeleo tajika kwa haraka na kwa uhakika, achilia mbali kuchochea mabadiliko ya sera, sheria n.k🐒
 
Ni CCM pekee kwa dhamira yake njema kwa taifa, utashi wa kisiasa wa viongozi wake, mipango mikakati yake ya maendeleo kwa wananchi na dhamira yake njema kwa waTanzania, ndio daima huunda serikali sikivu ya wananchi na kuongoza nchi, huku ikilenga zaidi kuwaletea waTanzania wote maendeleo bila ubaguzi wa kisiasa, kidini, kikabila au kikanda.

Upinzani Tanzania ni bora liende tu, lakini kiukweli hauna mchango wowote katika kuchochea maendeleo ya wananchi kijamii, kisiasa au kiuchumi.

Na ndio maana upinzani hauaminiki kwa waTanzania, haukubaliki kwa wananchi na wala hauchaguliki kwa wapiga kura, nyakati za uchaguzi huru, wa haki na wa wazi nchini.

Una maoni gani kwenye hilo kama mdau wa demokrasia nchini?

Mungu Ibariki Tanzania
Kabisa, kabisa...
Mchango wa Polisi ni mkubwa sana kuliko mchango wa vyama vya upinzani!
 
Futeni mfumo wa vyama upinzani,mbaki na chama
Kimoja

Ova
 
hawahisiki na masuala ya kidemokrasia duniani kote ulimwenguni gentleman,

acha upotoshaji dhidi ya wana usalama wa taifa letu plz, na itapendeza zaidi 🐒
 
Futeni mfumo wa vyama upinzani,mbaki na chama
Kimoja

Ova
suala sio kufuta,
suala ni uwajibikaji gentleman.

kuna uwezekano mkubwa vyama vya upinzani nchini, kusahau wajibu wao na kujigeuza kua vitega uchumi vya viongozi wao na familia zao 🐒
 
Mawazo mazuri ya wabunge wa upinzani mara nyingi yamekuwa yakipingwa na mipasho ya wabunge wa CCM kule bungeni.
 
Upinzani umejisahau na umeingia tamaa ya madaraka..Lengo la kuundwa kwa upinzani ilikuwa ni.Kuishauri serikali, kuikosoa serikali na kuisifia pale inapofanya mazuri lakini upinzani waleo umekuwa na kiburi,chuki, uadui na nia mbaya juu ya dola na kujilinganisha na kujaribu kujipima nguvu na serikali au dola kitu ambacho sio lengo kuu..lakini pia upinzani unajukumu la kulilinda taifa dhidi ya maadui wa nje na ndani. Kwamaana nyingne ni usalama wa taifa lakini leo hii baadhi ya upinzani wamekuwa kinyume wao taifa likiingia machafuko, eti wanafurahi kwa kuikomoa CCM..Lakini na Nyie CCM kwanin hamuwapi nafasi upinzani? nafasi zote mnazikumbatia nyie? kuanzia kwenye urais hadi wakurugenzi? Mimi ningefurahi kuona Mfano, Waziri wa Ardhi anatokea chama cha SAU au TLP na n.k..Wabunge msijazane kijani kitupu..Haya nayo nisababu moja wapo lakini mnajifanya hamuoni kuweni wawazi hoja zikitolewa na upinzani zitafutiwe ufumbuzi na wananchi tupewe majibu hyo ndo siasa safi..sasa sikuhz anashambuliwa mtu sio hoja.nihayo.
 
Gentleman,
katika demokrasia ya vyama vingi, wazo zuri ni lile linaloungwa mkono na wengi, kichume na hapo ni maoni tu ambayo yanapaswa kuskilizwa na hayana ulazima wa kupewa umuhimu wala kuzingatiwa.

upinzani Tanzania haijawahi kufikia hatua hiyo gentleman 🐒
 
thank you for your neutrality kwenye mchango wako gentleman,
umepiga left and right kwa ustadi mkubwa sana aise.

Asante kukumbusha wajibu wa vyama vya siasa vya kizalendo nchini na umuhimu wa kuzingatia demokrasia jumuishi katika uongozi serikalini.

tuna wajibu wa kujenga taifa letu pamoja 🐒
 
Ni CCM pekee kwa dhamira yake njema kwa taifa, utashi wa kisiasa wa viongozi wake, mipango mikakati yake ya maendeleo kwa wananchi na dhamira yake njema kwa waTanzania, ndio daima huunda serikali sikivu ya wananchi na kuongoza nchi, huku ikilenga zaidi kuwaletea waTanzania wote maendeleo bila ubaguzi wa kisiasa, kidini, kikabila au kikanda, kwa kutekeleza kwa 100% ilani ya uchaguzi ya CCM, iliyojaa vipaumbele vya mahitaji ya wananchi.

Upinzani Tanzania ni bora liende tu, lakini kiukweli hauna mchango wowote katika kuchochea maendeleo ya wananchi kijamii, kisiasa au kiuchumi.

Na ndio maana upinzani hauaminiki kwa waTanzania, haukubaliki kwa wananchi na wala hauchaguliki kwa wapiga kura, nyakati za uchaguzi huru, wa haki na wa wazi nchini.

Una maoni gani kwenye hilo kama mdau wa demokrasia nchini?

Mungu Ibariki Tanzania
We snitch tu
 
We snitch tu
Jikite kwenye hoja mahususi mezani gentleman,

na ikiwa huna wazo jipya au fikra mbadala bora zaidi ya hoja iliyoko mezani, huna haja ya kumbwelambwela kwa nonsense jukwaani 🐒
 
Gentleman,
katika demokrasia ya vyama vingi, wazo zuri ni lile linaloungwa mkono na wengi, kichume na hapo ni maoni tu ambayo yanapaswa kuskilizwa na hayana ulazima wa kupewa umuhimu wala kuzingatiwa.

upinzani Tanzania haijawahi kufikia hatua hiyo gentleman 🐒
Wajinga wakiwa wengi mahali hakuna wazo zuri litakaloungwa mkono hapo.
 
na wachache wasio na maono wala kujielewa katika demokrasia, hali hua mbaya zaidi gentleman 🐒
 
Back
Top Bottom