wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Watu wakiuliwa kikatili ni haki wananchi kuandamana! Hii hapa mifano kutoka nchi mbalimbali duniani

    India https://youtu.be/F6fkGJ_3yQc?si=xzOYkBmFdJ_Ux7OY UK https://youtu.be/Kb9inxsQGTc?si=wcxd1UF13Jic_1ts Ukrain https://youtu.be/E3bnkIqB_sw?si=q8hqcfQaTkfkRBte Nigeria https://youtu.be/5hrzaPpPBfs?si=tGZRFleL6w3vrl_l Zimbabwe https://youtu.be/vU8mLzt6QQ0?si=jlAayqdtinLbqCxs Port au Prince...
  2. R

    Viongozi wa CCM na kauli kinzani kwenye suala la utekaji, wananchi wabebe lipi?

    Salaam, Shalom! Sintofahamu inaendelea katika vyama vya siasa, wakati huu ni chama cha kijani. Katibu Mkuu wa chama cha kijani ametoka mbele na kukubali kukaa meza moja na kupata picha ya pamoja na katibu mkuu mwenzie wa chama cha bluu, akaenda mbali zaidi kwa kukemea mauaji ya wananchi...
  3. Eli Cohen

    Nani mwenye muendelezo wa hii habari ya wananchi Mwanza kuzuia watu waliovaa kiraia kukamilisha ukamataji?

    Jana kulisambaa video ikisemekana ni maeneo ya mwz. Wananchi wakilisonga na kuzuia gari kutoondoka na watu waliokamatwa hadi hapo ocs wa pamba aje.
  4. A

    Ili kuweka Shinikizo la Katiba Mpya wananchi wakikatae Chama Tawala kwenye Uchaguzi wa 2024 na 2025

    Ndugu wananchi hususani "Paskali" kumekuwa na juhudi mbali mbali za kukitaka Chama Tawala kuweka mazingira mazuri ya uongozi Kwa kuwa na Katiba Mpya na yenye kuakisi Hilo. Zaidi ya hadithi njoo uongo koleaau kwakuwa wao ndio waneshikulia siri zao na uwazi wa kila moja wetu (mpini Sisi...
  5. Tlaatlaah

    Kwa siasa anazofanya Mh. Luhaga Mpina kwa sasa, ni kuwaandaa kisaikolojia wananchi wa jimbo la Kisesa kwa ajili ya chama kipya au kuhama nao upinzani

    Friends, ladies and gentlemen.. Uelekeo wa kisiasa na mienendo ya siasa za mh.Lugaga Mpina mbunge wa jimbo la kisesa, inatiashaka na imebeba ujumbe mzito sana wa kisiasa nyuma ya pazia hasa kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu 2025... Kwanza anatumia nguvu nyingi na kubwa mno kujieleza kwa...
  6. Pdidy

    Wananchi wa Njonbe waomba wezi, wauwaji walawiti wakikanatwa wapewe mrejesho, matukio yamezidi

    Naona wananchi wameanza kuchoka Wananchi wa njombe wamemwomba rpc husika kama wakikamata wauwaji walawiti wezi wanahitaji feedback Wananchi wamesema hawaoni msaada kama wanakamatwa na baadae wanapishana na wezi walawiti mtaani wauwaji Wameomba kama wanavyojionyesha kwenye tv wakipelekwa...
  7. H

    Kwenye hili la mauaji Rais Samia amekasimu madaraka hafiki moja kwa moja kwa wananchi tumpe haki yake

    Habarini, Yawezekana kabisa Rais Samia hausiki kwenye mauaji au uvunjifu wa sheria uliopo sasa kwani amekasimu madaraka kwa watu wenye kujua majukumu yao na kujiona wanaweredi,hivyo basi hao waliokasimiwa na kwenda kinyume ndiyo wawajibishwe na nguvu ya umma hasa nguvu ya mila na albadiri,huo...
  8. J

    Hali ilivyo kituo cha Polisi Lulembela kilichovamiwa na wananchi

    Picha za hali ya kituo cha Polisi Lulembela wilayani Mbogwe mkoani Geita baada ya jana Jumatano Septemba 11, 2024 kuvamiwa na wananchi huku wakifanya uharibifu wa baadhi ya mali ikiwamo gari. Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime katika taarifa yake jana Jumatano kuhusu tukio hilo, alisema...
  9. J

    Wafanyabiashara wahofia kukamatwa na Polisi walipouawa wananchi wawili Geita

    Hali ilivyo eneo la Lulembela wilayani Mbogwe mkoani Geita asubuhi ya leo Alhamisi Septemba 12, 2024 ambapo hadi sasa wafanyabiashara hawajafungua maduka yao wakidai kuhofia kukamatwa na polisi. Mzizi wa hofu hiyo ni vurugu zilitokea jana baina ya wananchi na polisi na kusababisha watu wawili...
  10. Black Butterfly

    Tundu Lissu: Vyombo vya Usalama haviwezi kujichunguza, Tume ya Kijaji inaripoti kwa Rais, njia halali ni kuleta Wachunguzi wa Kimataifa

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amesema haiwezekani Vyombo vya Usalama nchini kuchunguza Matukio ya Uhalifu ikiwemo Utekaji na Mauaji yanayoripotiwa nchini kwasababu vinatuhumiwa kuhusika na matukio hayo. Akizungumza na JamboTV, Lissu amesema "Lini Jeshi la Polisi liliwahi kuchunguza...
  11. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    GEITA: Wananchi wavamia kituo Cha Polisi, wawili wauawa

    Vijana wawili wamefariki dunia hii leo Septemba 11, 2024 baada ya wananchi 800 kuvamia na kufanya vurugu katika kituo cha polisi Lulembela wilayani Mbogwe mkoani Geita vurugu zilizoanzia katika eneo la mnada wa Lulembela baada ya watu wawili kuonekana wakiwa wamebeba watoto wawili na wananchi...
  12. Replica

    Mikocheni: Wananchi wenye munkari wampiga mpaka kufa mlemavu wa akili baada ya kuwashambulia wapita njia

    Leo barabara ya Mwai Kibaki ilikumbwa na foleni isiyomithilika baada ya wananchi kumpiga mlemavu wa akili mpaka kifo eneo la Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam. Kipigo hicho kilichohusisha mawe na magongo kilianza baada ya mlemavu huyo kushambulia magari yanayopita barabarani ikiwemo daladala la...
  13. robinson crusoe

    Tanzania tumeanza mauaji ya vitisho. Lengo wananchi wasiseme baya lolote

    Kwa nchi za kiafrika Tanzania haikuwa kwenye kundi la hovyo kiasi hiki. Usalama wetu ulilindwa kistaarabu kabisa na siyo kwa kutisha raia. Sababu kubwa ilikuwa ni uongozi usiokuwa na tamaa ya mali na u-bilionea madarakani. Kinachoonekana sasa tuko kwenye uongozi uliojaa tamaa za u-bilionea...
  14. U

    Wananchi wengine 228 wahama Ngorongoro

    Wakazi wa Ngorongori wamemuelewa Rais Samia na nia nzuri ya Serikali anayoiongoza kuwapatia makazi Bora na salama huko msomera Wakazi hao wameamua kuachana na propaganda uchwara za wanasiasa waliofilisika kisiasa na sasa kwa furaha kubwa wapo njia moja kuelekea makazi mapya ya kisasa kabisa...
  15. kavulata

    Mh. Makala atawaomba radhi wananchi hadi lini?

    Bila kujua dhamira yao huwezi kuwaelewa wanafanya hivyo kwa lengo gani. Wanachochea hasira ya wananchi dhidi ya nani? Panakofuka moshi pana dalili ya kuwepo moto. Je inatosha kwa mh.makala kuwaomba radhi wanachi kwa Yale wanayosema akina Nape, Ng'umbi Na wengine kuhusu ushindi wa ccm kwenye...
  16. chinatown

    Ushauri: Serikali yetu ibadili maisha ya wananchi wake

    Nimebehatika kukaa kama sio kuishi sehemu tofauti tofauti duniani.nimeona na kujifunza kadhaa wa kadhaa jinsi serikali nyingine za ulaya ,marekani,na asia zinavyofanya kwa ajili ya wananchi wake. Maisha yetu ni duni kwa sababu tu ya mipango yetu mibovu ambayo serikali yetu inafanya.Tasafu au...
  17. Stephano Mgendanyi

    Bilioni 2.5 Zilitumika Kulipa Fidia kwa Wananchi Waliopisha Ujenzi wa Barabara ya Kidatu - Ifakara

    BILIONI 2.5 ZILITUMIKA KULIPA FIDIA KWA WANANCHI WALIOPISHA UJENZI WA BARABARA YA KIDATU – IFAKARA Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi ililipa fidia jumla ya Shilingi 2,576,081,789.00 kwa wananchi 142 waliopisha ujenzi wa barabara ya Kidatu - Ifakara (km 67) ,kwa Wananchi ambao nyumba zao zipo...
  18. Roving Journalist

    Bashungwa: Tsh. Bilioni 2.5 zimetumika kulipa fidia kwa Wananchi waliopisha Ujenzi wa Barabara ya Kidatu – Ifakara

    Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi ililipa fidia jumla ya Shilingi 2,576,081,789.00 kwa wananchi 142 waliopisha ujenzi wa barabara ya Kidatu - Ifakara (km 67) ,kwa Wananchi ambao nyumba zao zipo ndani ya hifadhi ya barabara ya Mita 22.5. Hayo yameelezwa leo Septemba 3,2024 Bungeni Jijini Dodoma...
  19. Msanii

    Utii wa sheria bila shuruti UMENAJISIWA na Polisi Tanzania? Wananchi tushtuke sasa kwani hatupo salama

    Nisiwachoshe sana. Matukio ya watu kupotea ndani mikono ya polisi. Matukio ya watuhumiwa kuteswa na kutwezwa wakihojiwa na polisi Matukio ya mauaji ndani ya vituo vya polisi ni mengi Matukio ya watu kutekwa na vyombo vya dola kisha kutoweka ni mengi Matukio ya kutishia wakosoaji na kuwabambika...
  20. I

    Historia ya jeshi la wananchi la Tanzania

    Historia ya Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) lilianzishwa rasmi tarehe 1 Septemba 1964, baada ya kuundwa kwa Muungano wa Tanganyika Rifles (TR) na vikosi vingine vya kijeshi. Hii ilifuatia uhuru wa Tanganyika kutoka kwa utawala wa Uingereza mnamo 1961...
Back
Top Bottom