wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    Wananchi watakiwa kushirikiana na Serikali kupiga vita ukatili wa kijinsia

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini Mhe. Daniel Sillo amewataka Wananchi kushirikiana kwa karibu na Serikali katika kupiga vita dhidi ya ukatili wa Kijinsia ikiwemo Ubakaji na Ulawiti Watoto kwa kisingizio cha kujipatia mali au utajiri. “Hakuna...
  2. Mwamuzi wa Tanzania

    Wananchi wako busy na usajili wa Simba na Yanga, wanasiasa tumieni huu muda kusaka pesa za kampeni

    Bahati haiji mara mbili. Wananchi wako busy kujadili usajili wa Simba na Yanga please huu muda muutumie ipasavyo kukusanya fedha za uchaguzi ili muhakikishe mnaendelea kula mema ya nchi.
  3. Roving Journalist

    RIPOTI YA THRDC-2023: Kiwango cha ushirikishwaji wa wananchi kwenye mambo muhimu yanayowagusa kipo chini

    Ripoti ya Mtandao wa Watetezi wa haki za binadamu (THRDC), iliyoangazia hali ya watetezi wa haki za binadamu na nafasi ya Kiraia nchini kwa mwaka 2023, imebaini kwamba kumekuwepo na ushirikishwaji hafifu wa wananchi kwenye masuala muhimu yanayowahusu hususani ya kisheria. Akizungumza Julai 5...
  4. Bulelaa

    Nikiwa Rais, kila tukio la jaziba za wananchi kunihusu, Itakuwa sehemu yangu ya kujirudi na siyo kukimbilia kuhukumu, Kikwete kwenye hili namkumbuka

    There are things that happen in society involving any leader, they always have the appearance of bringing laughter to the heart and not being angry and condemning people to jail! Kuna mfano halisi wa maandamano ambayo yamewahi kutokea kipindi chq uongozi wa Mwalimu Nyerere, Wanawake...
  5. Wazolee

    Kilichoitafuna Chadema ni kutokurudisha ruzuku Kwa wananchi

    Chadema mlimwaga sera Kwa wananchi na wananchi na wananchi wakazikubali sera zenu wakakupeni kura zao mkazoa majimbo mengi tu na hatimaye Chama kikawa kinapata ruzuku kubwa sana Mkajisahau kama wananchi wanamchango mkubwa sana katika ruzuku mnazo zipata Mlitakiwa muwe mnarudusha shukran Kwa...
  6. D

    Wananchi wamekuwa confused hawajui washike lipi. Ni kama wako in prisoners dilemma

    Kuna wale wanasema Samia hafanyi chochote bora Chadema lakini Msigwa kawaproove wrong na kuhamia CCM kumaanisha Samia is an icon of a nation in all aspects. Kuna wale wanasema Samia anafanya mambo lakini wanasikia mikutano ya Chadema na kumproove wrong kwa trivial issues eti anauza bandari na...
  7. figganigga

    Yusufu Manji alikuwa zaidi ya Mwekezaji, zaidi ya Ndugu na zaidi ya Mwanayanga mbele ya Wanayanga wenzake

    Manji alikuwa zaidi ya Mwekezaji, Zaidi ya Ndugu, Zaidi ya Mwanayanga Mbele ya Wanayanga Wenzake. (1) Manji aliwahi kuwalipia Viingilio Mashabiki wa Yanga Mechi ya Yanga na TP MAZEMBE, Mashabiki na Wanachama Wakaingia Bure. (2) Manji Aliwalipia Viingilio Wanachama Wa Yanga kwa Ajili ya kwenda...
  8. A

    Wananchi Kenya wadai wabunge wao wananunuliwa kama wanawake

    Wananchi wa Kenya , wamewalaumu wabunge wao Kwa kununuliwa kama wanawake ili kupitisha bajeti ya Mwaka huu 2024/25
  9. Tlaatlaah

    Upinzani nchini umegonga mwamba dhidi ya nguvu na ushawish wa kisiasa wa DR.Samia Suluhu Hassan KWA wananchi, mijini na vijijini kitaifa na kimataifa.

    upinzani nchini umeshindwa kabisa kutikisa nguvu, umaarufu na ushawishi wa Dr Samia Suluhu Hassan kwa wanainchi mijini, vijijini, kitaifa na kimataifa.. kiufupi ameshindika kwa hoja, sera, mipango, maono, nia, uthubutu, hekima, uaminifu, matarajio ya wanainchi kwake n.k hali hii imewapunguza...
  10. Crocodiletooth

    Demokrasia ni kwa mataifa yaliyoshibisha wananchi wake, kwa Afrika hazitufai.

    Kenya ni nchi lege lege, inayo practise jambo ambalo wakati wake bado haujafika, najaribu kujiuliza ilikuwaje taifa hilo likakubali muhimili wake muhimu sana kufanyiwa dhihaka na fedheha namna ile, #A perfect democracy is not for Africa. # wenzetu wachina waliona hili mapema sana wakaliepuka...
  11. BLACK MOVEMENT

    Asilimia kubwa ya Wasanii Kenya wako na Wananchi, hii ni Kinyume na wasanii wa nchi ya wakujikomba(Tanzania)

    Bongo sidhani kama kuna msanii au wanasanii wanao weza kusimama na Wananchi, hawa ni ndio watu wanaingoza kwa uchawa nchi hii na still bado huwa tuna wapapatikia mbaya mno.kiwango cha uchawa wa wasanii hata raia wakawaida hawakifikii. Mimi nisha acha kushabikia aina yoyote ya msanii Chawa hapa...
  12. Intelligence Justice

    Athari za nchi kukopa kupitiliza kwa miradi isiyo na tija ni kwa wananchi

    Wakuu, Mtafutaji, mhifadhi na mtoaji kilichowekwa kwenye mkoba kasoma bajeti yake ikinakisi ndio mahitaji ya nchi kujiendesha. Kudai kwamba nchi inakopa kwa sababu inauwezo wa kukopesheka na kulipa deni ni dharau kwa wananchi ambao ndio walipa kodi lakini wenyewe hawanufaiki na matokeo ya...
  13. U

    Kwanini Viongozi wanamilikisha Kodi za wananchi na mikopo ya nchi Kwa Rais,

    Je mliosomea Sheria mtusaidie, ni Sheria Gani ya nchi inayosema Fedha zinazokusanywa na serikali Kwa niaba ya wananchi ni za Rais, Je kipengele Gani kinachosema Fedha tunazoangaikia kufanya kazi Kila siku na kuilipa Kodi serikali zitakuwa ni Rais. Haiingii akilini ,kitu pesa yangu nalipia Kodi...
  14. Kamanda Asiyechoka

    Leo ndio nimeshangaa! Kumbe idara ya Usalama wa Taifa inatakiwa kumwambia rais Wananchi wanataka nini? Mbona Rais Samia haambiwi ukweli?

    Ufisadi halimashauri? Uzembe makazini? Sakata la Bashe na Mpina? Mbona wananchi wapo upande wa Mpina? Kuna nini? Mahindra tech. Bil 80+ alizopiga January? Mbona kimya? Waarabu wameleta ufanisi bandari za Tanganyika? Migomo ya kodi na tozo😅😂 Huko Kenya Rigath Anawalaumu Nis hawakutonya Ruto...
  15. Smith Rowe

    Yanayotokea Kenya ni matokeo ya Viongozi kutokusikiliza matatizo ya wananchi na kujiona wao ndiyo kila kitu

    Wakenya walianza kulalamika mda sana kuhusu Zakayo kusafiri sana kutafuta mikopo lakini maisha yao bado ni magumu. Vijana wako mtaani mambo yao ni magumu ajira hamna, mazingira ya biashara ni magumu, hawasikilizwi, wakilalamika viongozi wanajifanya viziwi. Viongozi kutwa kucha kupitisha...
  16. B

    Mgomo wa wafanyakazi na wananchi utakuwaje?

    Nawaza endapo wafanyakazi na wananchi kwa ujumla watajoini mgomo wa wafanyabishara unaoendelea hivi sasa nchini hali itakuwaje!!? Madai ya wafanyakazi; Madai ya wananchi; Nadhani kutachimbika nchi hii
  17. Kamanda Asiyechoka

    SoC04 Tutumie rasilimali zetu tulizopewa na Mungu kukusanya pato la taifa kuliko kuwa na kodi na tozo kandamizi kwa wananchi

    Inashangaza sana kuwa na taifa ambalo lina kila aina rasilimali ambazo zikitumiwa vizuri tunaweza kuwa na taifa ambalo lina pato kubwa la taifa. Fikiria madini ya almasi, dhahabu, ruby au Tanzanite yakivunwa vyema na kisha kuuzwa taifa letu litanufaika na kuwa na pato kubwa. Hivi hii nchi...
  18. Kaka yake shetani

    KIWANJA CHA NDEGE CHATO FANYENI CHUO CHA URUBANI LA SIVO MTAKUWA MMEPOTEZA PESA ZA WANANCHI

    Naumia sana na hii nchi yangu japo na mimi nipo hapa nikisubiri mabadiliko.ila najiuliza kwa nini kile kiwanja cha chato ambacho kinaweza kutua ndege za kila aina kikatelekezwa tu. Kwa nini serikali isitafute wabia toka nje kuja kukifanya kiwe shule ya urubani ili kuendeleza uchumi.mbona...
  19. S

    Serikali hujifanya kiziwi haki ya wananchi ikidaiwa kwa taarifa za media au maandamano, sasa migomo ndio iwe lugha mpya kwa Serikali hadi kieleweke!

    Naunga mkono asilimia 100% mgomo wa wafanyabiashara. Tena ningependa kuona ukienea nchi nzima! Sababu ni kwamba uongozi wa Tanzania huwa unajifanya kiziwi pale Watanzania wanapoonyesha kutopendezwa na jambo fulani, na kutoa madai yao kwa njia ya vyombo vya habari au maandamano. Serikali...
  20. Smartkahn

    Hali ya maisha kwa wananchi ni ngumu kweli!? Ama tulizoea Dezodezo

    Ukiangalia awamu ya tano na ya Sita kumekuwa na mzunguko hafifu wa fedha kwa wananchi... Pesa imepotea. Ukilinganisha na awamu ya nne kurudi Nyuma inaonekana mzunguko wa pesa ulikuwa mkubwa mno(pesa ilikuepo). Nimetafakari na kujiuliza maswali; "inawezekana awamu ya nne kurudi Nyuma tulikua na...
Back
Top Bottom