Kuna utofauti Mkubwa sana kulia Christmas Dar na Moshi
Tuanzie week ya maajilio ambao inaanzia jumapili ya mwisho ya November, ukiwa Dar makanisa hawana mda hata wa kuimba nyimbo za maajilio ni mwendo wa mapambio, vurugu vurugu, hakuna utaratibu. Mfano nyimbo karibu zote za Boney M. Kams First...
Katika umri wangu sikuwahi kuwa na mahusiano na mwanamke aliye nizidi umri. Mpaka mwaka huu nilipo pata mwanamke wa miaka 39, hakika naenjoy mana wapo tofauti na vi slayqueen.
1. Kwanza wanajua mapenzi na wasafi wa kiwango cha SGR, unakula tunda lile lenye viwango vya ubora toka TBS yani ile...
Natumai muwazima
Mimi ni mgeni hapa dar, mchezo wangu ni mpira wa kikapu yaani sijiskii vizuri bila kucheza tatizo kubwa ni viwanja vilipo imekua mtihani kweli
Kama kunamwenye kujua viwanja vilipo tusaidiane wapenzi wa kikapu wenzangu
Nipo kigamboni vijibweni
Natumai muwazima
Mimi ni mgeni hapa dar, mchezo wangu ni mpira wa kikapu yaani sijiskii vizuri bila kucheza tatizo kubwa ni viwanja vilipo imekua mtihani kweli
Kama kunamwenye kujua viwanja vilipo tusaidiane wapenzi wa kikapu wenzangu
Nipo kigamboni vijibweni
Huko jijini Arusha waziri mkuu Kasim Majaliwa amewasimamisha kazi baadhi ya watumishi wapishe uchunguzi kwa tuhuma za matumizi mabaya ya ofisi.
Baadhi ya tuhuma hizo zilizoelekezwa kwa mkurugenzi na timu yake ni kugawana fedha za umma na kuingizia fedha hizo kwenye akaunti binafsi za watumishi...
Sensa inakuja hivi karibuni,
Moja kati ya takwimu ninazotaka kusikia ni takwimu za lugha.
Je, Watanzania wangapi wanaweza kuongea lugha za asili?
Je, Watanzania wangapi waliopo wana zungumza Kiswahili kama lugha ya pili? Yani si lugha waliyoanza kuongea kama lugha yao ya kwanza.
Je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.