1. Je mamlaka za wilaya kama District councils, City/Municipal councils district and Town councils ana mamlaka nyingne za aina hiyo kwenye ardhi zinaruhusiwa kuingia kwenye unsurveyed land na kufanya mapimo kama vile kutenga barabara, au kufanya jambo lolote bila mhusika kuwa consulted?
2...
Kilichotokea kwenye kesi ya Mbowe kina impact Sana kwenye siasa na uchumi wetu. Aina ya mawakili wa serikali na Majaji tulionao na kwa namna wasivyo serious kunapaswa kutujuza kwamba lipo tatizo serikalini.
Juzi Mama aliwaelekeza waache kubambikia watu kesi, walipoelekezwa wakafuta zaidi ya...
Kiukweli kwa kadri ya kumbukumbu zangu sijawahi kuona spika duni kama spika wa bunge la Tanzania, sasa sijui shida iko wapi, yaani anaona wivu hadi anakonda kwa Wanasheria kujiita "WANASHERIA WASOMI" kiasi cha kuanzisha mada bungeni ya kujadili jambo hili yaani!
Tutarajie muswada wa kufuta huo...
Ukweli hii ni safari ya pili rais anamwagiza IGP. Binafsi huo mlundikano umetengenezwa na jeshi la polisi kwa sababu zao kutokana na kuwabambikizia watu wengi kesi na kusababisha upelelezi kutokamilika hivyo kuwaachia polisi hao hao waumalize huo mlundikano ni vigumu sana.
Ushauri kwa Mh. Rais...
Wakuu,
Watanzania wengi kwa sasa hawaelewi kitu gani kinaendelea kuhusiana kesi ya aliyewahi kuwa mkuu wa wilaya ya Hai.
Hivi wanasheria wasomi ndani ya nchi hii hamuoni missing gap hapa kwa wananchi wa kawaida?
Sisi Watanzania tunahitaji uchambuzi na ufananuzi zaidi kuhusiana na scenario ya...
Nilivyokuwa na miaka 14 nilipata ajali mbaya ya kogogwa na Gari Arusha. Mimi na rafiki yangu wakati huo tulikuwa kwenye baiskeli tunashangilia kuchaguliwa kuingia form 1. Mimi ndiyo nilikuwa abiria na bahati mbaya ndiyo niligogwa na gari la kampuni ya caterpillar na dereva akakimbia. Bahati...
The Nuremberg Code ina vipengele vifuatavyo:-1
The voluntary consent of the human subject is absolutely essential. This means that the person involved should have legal capacity to give consent; should be so situated as to be able to exercise free power of choice, without the intervention of...
Gazeti la Nipashe la leo limeinukuu mahakama ikisema kwa sasa ipo tayari kupokea ushahidi kutoka kwa wote waliobakwa na kuteswa na Lengai Ole Sabaya alipokuwa mkuu wa wilaya ya Hai.
===
Hakimu wa Mahakama hiyo, Salome Mshasha, alitoa agizo hilo jana mahakamani huko baada ya kushindikana...
Huu uharamia wa kodi mpya za miamala ya simu unapaswa kusimama.
Wanasheria wetu mtusaidie hili. Hakuna kitu kinachoitwa sijui "kodi ya uzalendo" — Lazima Mahakama iweke ZUIO la hizi kodi za kitapeli.
Hauwezi ukakata kodi mara tatu kwenye muamala mmoja. Huo ni uhuni na wizi.
Hizi ndizo kodi za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.