Baadhi ya wanasheria wanasema tujitoe kwenye IGA kwa sababu tukishindwa kutekeleza tunaweza kushitakiwa. Mwanazuoni huyu anakataa- soma:-
Intergovernmental agreements
Authors: Daryl R Williams
Abstract
Intergovernmental agreements are made by a variety of parties and in differing ways, take a...
Wanabodi,
Mimi mwenzenu, japo ni mwandishi wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, ila pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea pia kwa kujitolea, nimehudumu kwenye sekta ya habari kwa takriban zaidi ya miaka 30, hivyo jicho langu limeona mengi, linaona mengi, na litaendelea kuona mengi...
Katika suala la kukodisha bandari zetu tujifunze kitu kimoja kikubwa. Kwamba taaluma ya sheria inapotumiwa na mafisadi ni hatari kama ukoma kwenye jamii.
Siku moja tu imepita tumewasikia wanasheria wizara ya ujenzi na uchukuzi wakiwa na waziri wao wakijaribu kutetea uamuzi wa serikali kutaka...
Kwa maelezo ya wanasheria mbalimbali, huu mkataba una mapungufu mengi mengine yanayoonekana kuondoa uhalali na hata maana ya mkataba wa pande mbili.
Kwa mfano, kwakuwa kwenye mkataba, Mama amesaini kwa niaba ya Serikali ya Dubai ambayo yeye hana mamlaka yoyote na wala serikali hiyo haijampa...
Wanasheria wote wa Tanzania pamoja na waalimu wa sheria nchini pamoja na nchi jirani wameukataa mkataba wa Tanzania na DP World. Je, haiwezekani kwamba kazi hii ilifanywa na makampuni ya nje kuifanya kazi hii?
Kama wasomi wetu wameshindwa kupata tafsiri inayoitwa nia njema ya serikali naamini...
Ni wazi Serikali ya Samia haina mpango wa kusikiliza maoni ya wananchi zaidi ya kufanya spinning na wasanii na wanasiasa.
Kabla hatujaingia barabarani kama wananchi wa Sri Lanka, nashauri tufungue kesi ya kikatiba dhidi ya huo mkataba.
Kuna wanasheria manguli kama Mtobesya, Jebra Kambole...
Unajuwa yapo mambo hili Taifa asipo tokea mtu kama Jerry Rolling wa Ghana kamwe hatuto toka hapa tulipo.
Hivi umewahi kujiuliza bunge letu lina wabunge wanasheria wangapi na kile kina endelea kwa sasa?
Kiufupi bunge letu haliangalii aina ya mbunge ukiacha elimu yeyote mtu ako nayo na kujuwa...
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, ametoa wito kwa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) na Kamati ya Mawakili kuchukua hatua kali za kinidhamu na kisheria dhidi ya mawakili wachache ambao wanaharibu heshima ya taaluma ya sheria kwa kukosa uadilifu wa maadili, ikiwemo kujihusisha na...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala za Kwa Maslahi ya Taifa, makala ya leo ni kuhusu umuhimu wa viongozi wetu na haswa wakuu wa Mihimili lazima sio tuu wawe wasomi, weledi na wachapakazi, bali lazima wawe Bright, brilliant na wabobezi wa fani husika.
Niko mahali...
Kuna sakata kama tatu zimejitokeza kuhusu mikataba, Morrison, Fei toto, na sasa ni sportpesa. Sitaki kuchimbua sana lakini ukiangalia kwa umakini unaona kabisa mtu anayesimama kwenye kusainiana mikataba ni mtu asiye na maono, asiyekuwa na uwezo wa kufikiria na asiyejua kusimamia mikataba yenye...
Wanabodi hi ni Makala ya Nipashe ya Jumapili ya Leo, 29 January 2023
Kwa Maslahi ya Taifa, bado inajikita kwenye Katiba yetu,
Katiba ndio sheria mama, sheria nyingine yoyote yoyote inayokwenda kinyume na katiba, sheria hiyo ni batili!
Serikali yetu kupitia wanasheria wetu manguli, wabobezi na...
Kwa Maslahi ya Taifa Nipashe ya Jumapili ya 15 January 2023 ni swali
"hivi kweli sisi Tanzania tuna wanasheria wa ukweli au tuna wasomi tuu wa sheria, waliosomea sheria na kuhitimu?. Kama ni kweli tuna wanasheria, jee wanasheria waliopo ni wapo kweli au ni wapo wapo tuu?!. Kama kweli Tanzania...
Ahahaha kweli Afrika, kila mtoto ukimuulizia ndoto yako nini atakuambia ni kuwa rubani, daktari, mwanasheria, RAIS au mjeda.
Wachawi tumewachoka sasa, hebu rudisheni ndoto za Watanzania walizoota walipokuwa primary na sekondari.
Kwenye sheria na mahakamani wanao msemo wa mahakama siyo mama yako. Dhana hii inaelekeza kuwa mahakama itakupa tu kile ulichoomba na kuthibitisha stahiki ya wewe kupewa.
Hivi karibuni imetolewa hukumu na mahakama yetu kufuatiwa kuombwa na mawakili kadhaa kuwa wafungwa wanayo stahiki ya kupiga...
Habari zenu nina imani mwabuheri wa afya.
Nadhani baadhi yetu tunasikia sana namna hao wadau tajwa hapo juu wanavyoopewa sana Kwa kupasua anga za mbususu, je wana utofauti gani wengine kiasi kwamba wanakuwa na utisho Kwa majirani Zao wenye wake.
Wana pepo gani Mtambuka kuwazidi wengine, au...
Sheria ilipaswa kuwa ni sharti la lazima tujue kuanzia watoto. Kama hatufundishwi darasani na makanisani kama amri kumi basi ule msemo Kutokujua Sheria sio hudhuru haukutakiwa kuwepo.
Huo msemo ulipaswa kuwa Kwa wasomi wa Sheria sio sisi maamuma na wananchi wasio na ufahamu huo.
Ni kama...
1) NAWASHUKURU SANA Wanasheria wa LEAT (Lawyers' Environmental Action Team) kwa hii Taarifa yao kwa Umma (ya tarehe 07.11.2022) iliyosainiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa LEAT, Dr. Rugemeleza A. K. Nshala.
Hii ni kufuatia Ajali ya Ndege ya Precision Air iliyotumbukia majini jana asubuhi huko...
Ndugu wanasheria salaam,
Kwanza poleni na majukumu mbalimbali, naombeni msaada, kuhusu Jambo hili,
Mimi Ni mtoto wa aliyekuwa mtumishi wa umma , baada ya kustaafu 2014 mama angu alilipwa kwa wakati huo kiinua mgongo million 67, baada ya hapo aliendelea kupata pension Kama laki 5 kila mwezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.