Viongozi wa Kisiasa Kenya akiwemo Katibu Mkuu wa Jubilee, Jeremiah Ngayu Kioni awanadai Rais William Ruto ana njama ya kupunguza ukali wa kitengo cha Mahakama ili apitishe Sheria zinazokiuka Katiba bila pingamizi
Jeremiah anadai kuwa Rais Ruto ana njama iliyojificha inayohisisha kuongeza kwa...
Hili ni somo kwa wote wanaodhani Marekani ni kiota cha freedom of speech!
Iko hivi baada ya serikali za Magaharibi kuona kuwa public opinion inashift kwa kasi, ambapo raia wengi waliokuwa gizani juu ya ukatili wa Waisrael kwa wapalestina kwa miaka zaidi ya 70 kuanza kuamka.
Wenye nguvu ndani...
Wagonjwa wana haki zao. Nchi nyingi duniani kama Denmark, Hungary, Japani, Marekani, Afrika Kusini na Uingereza wanayo maandiko ya kitaifa ambayo yanaainisha haki za mgonjwa. Maandiko kama hayo yanaelezea haki za kila mtu/mgonjwa anayehitaji huduma za tiba ili kulinda hadhi, utu wake na heshima...
Kuna mtu ali mortgage shamba lake some 50 yrs back from today. ameshakufa sasa watoto wake wanaingia kwenye shamba na kuchua mazao wakidai ni shamba la baba yao. Nifanyeje?
1. Je kuna limitation on mortgage land?
2. Je as a plaintiff can I use limitation (if it is there) as a sword (as opposed...
Baadhi ya sheria zimekaa kikoloni!
Pamoja na pesa ya maegesho mijini kuwa ni kidogo lakini inakera!
Kama serikali inachukua kodi ya barabara kupitia motor vehicle license!
Haikupaswa kuchaji tena kodi nyingine kwa jambo lilelile!
Gari lazima itembee barabarani na lazima ipaki!
Sasa...
Chama Cha Mapinduzi wa Iringa kwa kushirikiana na Mawakili wa TLS pamoja na Wanasheria toka Jumuiya ya Wanawake Taifa kufuatia Tamko la Mwenyekiti Merry Chatanda kuhusu kesi ya mama Maria Ngonda aliyehukumiwa miaka 22 kisa nyama ya swala jopo hilo lilifika gerezani na kuzungumza na mama huyo ili...
Watanzania tujijengee utamaduni, kuhusisha wanasheria pale unaponunua kitu kwa mtu.
Kumekuwepo na ongezeko la watu kulalamika kununua kitu kwa mtu baada ya muda unakamatwa kwa kuhusishwa kuwa Mali hiyo ni ya wizi gharama zote za kesi na usumbufu wa kufatilia Mali hiyo utabebeshwa wewe.
Ombi...
Mijizi ya CAG mnaiacha inadunda mtaani mnakuja kumfunga Mwanamke ambaye hata hakujua ni nyama ya nini, mwanamke ambaye hata huyo swala hasingeweza kumkamata, mwanamke ambaye pengine yeye na Familia yake wanalala chini, mlo mmoja, kaletewa nyama ya mbuzi auze kumbe ni ni swala, yeye ni mkemia...
Enyi wanasheria mnioneshe ibara yoyote kwenye katiba yetu ya 1977 inayoelezea wajibu, haki na madaraka ya mkulima/ mfugaji katika kumiliki ardhi, kulima/ kufuga na kupata masoko.
Au nionesheni ibara inayoonesha haki, wajibu na madaraka ya mfanyabiashara ktk kupata soko, kupanga bei ya bidhaa...
Imekuwa kawaida sasa wanasiasa wa upinzani hasa CHADEMA wakikamatwa na polisi kwa makosa wanaihusisha CCM na kukamatwa kwao. Naona ipo haja ya kuwapeleka hawa watu mahakamani ili wathibitishe maneno na madai yao ili waone kuwa nchi hii inaendeshwa kwa sheria
Nilimfungulia kesi mwajiri wangu kwa kuniachisha kazi unfairly tena kwa taarifa ya mdomo kwa kosa la uchelewaji wa siku moja tu
~Ni tangu mwezi April
~Kesi ipo CMA hatua ya uamuzi
~Upande wa pili hawajawahi kufika kwenye hearing lakini summons wanazipokea
~Sina mkataba wa maandishi, wala...
Mtu amempa mimba msichana chini ya umri wa miaka 18 anafungwa miaka 30! Huyu ameua mtu anasamehewa kunyongwa kisa, haki za binaadamu.
Nirudi kwa aliyempa mimba msichana, msichana akisha zaa mtoto atabaki na mama yake huku baba hata muona huenda kabisa kwani miaka 30 mama na baba yake...
Wakati Tunakaribia uchaguzi mkuu 2025, Dream team imeanza kupangwa, Captain amepewa captain msaidizi {kapten kapunguziwa madaraka kijanja} huku mabeki wakipewa wanasheria.
Kapten kashtuka, ameamua kukaa kimya, naye anajipanga anataka namba 2025, wacha inyeshe tujua pavujapo.
Kanda ya Ziwa...
Wanasheria wetu wanaonisoma, naombembeni mlisaidie Taifa kufungua kesi mahakamani ili mikataba yote inayohusu rasilimali zetu ambazo utawala wa Rais Samia umesaini ipelekwe bungeni.
Tunajua kuwa ipo sheria inayohusu rasilimali na Soveregnty ya nchi, inayotaka mikataba yote inayohusu rasilimali...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Jopo la Wanasheria limekwishatinga kwenye viunga vya Mahakama, kwa ajili ya kufungua kesi ya kulazimisha Serikali ya Tanzania kuwafikisha Mahakamani, Mwabukusi, Mdude na Dkt. Slaa ili wakajibu Uhaini wao.
Sheria za Tanzania zinaelekeza kwamba Mtuhumiwa...
Kuna mchezo Mara nyingi hufanyika Tanzania na Duniani kwa ujumla ambapo mawakili wa mshitakiwa kuchukua rushwa kutoka kwa malalamikaji.
Huu mfululizo wa kesi kushindwa tena zenye Maslahi mapana kabisa ya nchi ni madeal ya watu?
Hakuna hata kesi Moja tumeshinda kesi zote ambazo Serikali...
Je, huu ni wakati wa wanasheria wa serikali kulamba asali kupitia kesi za kimikataba na kimataifa?
Mikataba mingi iliyovunjwa na JPM, ilivunjwa kwa negotiation ya win win stuation ili kuanza upya!
Tokea miaka ya 2018 huko miaka mitano nyuma, mwekezaji kampuni ya Nickel ambaye haijulikani...
Pamoja na hasara kubwa tuliyopata kwenye mikataba ya madini na rasilimali nyingine ikiwemo gesi hali ya kuifilisi Tanzania inayoendelea huko mahakama za kimataifa inatia kinyaa
Kinachoendelea sasa hivi; mwekezaji akigombezwa kidogo tu na serikali anakwenda kufungua kesi nje. Akifungua kesi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.