Kama mwanaume, ambaye ni mnene, naumia mno, ila ndiyo hali yangu na siwezi ikwepa. Badala yake naweza i mitigate
Changamoto nazokutana nazo faragha ni hizi, kushindwa baadhi ya stahili kama vile chuma mboga.
Kushindwa, kuwa mwepesi na hii kupelekea, wife kuendesha yeye kila muda.
Kimsingi wyf...
Kwa baadhi ya watu ni mateso unasafiri na bus muda wote wa safari kuanzia asubuhi mpaka jioni TV imewashwa ni mwendo wa kubadilisha tu kwaya, kaswida, bongo flavours, movies na comedy mbovu.
Yani kuanzia mwanzo mpaka mwisho wa safari TV haizimwi isipokuwa saa ya matangazo ya biashara za...
Unakuta Mwanaume anaenda na Demu katika Mghahawa halafu anamnunulia huyo Demu Chakula cha Gharama kubwa kisha Mwanamke ndiyo anakula na Yeye anamuangalia tu au anajifanya Kumpigisha Stori na Mwanaume huyo akiona Watu wanamuangalia anajifanya anamsaidia Demu wake Kula kwa Kumlisha au Kula Kidogo...
Ukisoma mada nyingi humu wanaume wengi wanalalamika kuhusu ndoa zao
Msije mkadhani wanawake ni wabaya lah
Wanawake wengi wanasulubika vibaya mno sema hatulalamiki.
Tumeumbwa kuvumilia
Pia tunajua jinsi ya kupambana na changamoto
All in all mnaopitia changamoto za ndoa poleni sana.tafuta...
Naendelea kukusanya data kila siku.
Ukikaa na wanaume huwezi ukasikia wakimshauri mwanaume mwenzake kuoa mara kwa mara lakini kinyume chake
wanawake wamekuwa washauri wakuu wa vijana waliofikia umri wa kuoa kwamba oa oa ♫︎♫︎♫︎♫︎ kama wimbo sasa sijui kwa nn wao ndio washauri wakuu siku hizi...
Nimekuwa na Abdilatif Abdulla London, Berlin, Humburg, Mombasa na Dar-es-Salaam lakini Dar-es-Salaam mara nyingi kuliko huko kote kwengine.
Nimekaa nyumbani kwake Humburg.
Kote tunapokuwa pamoja mazungumzo yetu ni vitabu na uandishi.
Siku zote sijasahau kumkumbusha kuhusu kuandika kitabu cha...
Kumekuwa na kasumba ya wanaume wa umri mkubwa kuruka na mabinti wadogo umri wa binti zao kingono. Jamii kwasasa imeikubali hii tabia na kuifanya kuwa ni sehemu ya maisha ya kawaida wakati si sawa.
Ukichunguza utaona hawa wanaume wanatarget watoto ambao hawakustahili kabisa kuingia kwenye...
Kifaa kinajieleza. Funguo zinabak maskan!
Huduma inabak ya mmoja tu!.
Unatafta hela kwa aman ya nafs, mwili na roho.
Unapata watoto wa nyonga yako tu.
Unafanya style zote bila hofu ya maambukiz.
Unatunza kwa roho nyeupe, mana ni chako tu.
CHANGAMOTO:
1. wenye master key
2. Muundaji kuacha...
SIFA MBILI PEKEE NDIZO HUFANYA WANAUME WAWAITE WANAWAKE MALAYA, SIO ADHABU MUME KUMUITA MKEWE MALAYA HATA KAMA MKEWE HAFANYI UFUSKA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Moja ya mambo àmbayo Wanawake wengi hawapendi uwaite ni kumuita Malaya, lakini kingine kumuita MCHAFU. Yaani ukitaka Mwanamke...
Muigizaji maarufu wa Marekani Tyrese Gibson ameangua kilio kikali baada ya mke wake Samantha Lee kushinda kesi ya talaka na kuchukua mali zote za jamaa ikiwemo jumba lake na binti yao kisha mwanamke huyo kurudiana na ex wake wa zamani.
Unaambiwa Tyrese amepigwa marufuku kukanyaga kwenye nyumba...
Sifa kuu ya Wanaume ni kwamba wanaweza kukaa pamoja wakanywa, wakala, wakataniana, wakabeti, wakapiga story za simba na Yanga
Pia wakashauriana kuhusu, mambo mbalimbali yahusuyo maisha na hata kuhusu mwanamke hatari hapo kitaa.
Lakini hawajuani majina halisi.
Utasikia wakiitana, Bro, Mzee...
Twende "direct" kwenye mada.
Chekini haya mateso ya ndoa.
Maana nikiwaambia msioa mnashupaza shingo.
Hebu chekini hizi comments.
Acheni kuoa MTAKUFA.
#YNWA
YANGA_BINGWA
Kwanza ieleweke mwanaume brothermen sio kwamba ni bishoo,hapana yani sisi ni wale wanaume watanashati, tunajipenda hatuna shobo za kijinga kwa binadamu yeyote, tuna vijisent vya hapa na pale vya kuendesha maisha yetu ya kila siku, tunasukuma ndinga pendwa na vijana wa mjini kama vile crown etc...
To be honest
Mpaka sahivi nawaza zile chupa 1000 nusu lita ya mafuta yaani lita 5000 za p.diddy
Yani imenifanya kichwa kigande
Mpaka nikitembea barabarani nikikutana na mwanaume mweusi naona sura ya Pdiddy
Me simcheki P.diddy kabisa, wanaume wengi kwenye ndoa wanageuzana toka zamani mpaka...
Karibu...
1. MDOMO
Jifunze ku-control mdomo wako, mdomo unaharibu mdomo unatengeneza, unatakiwa ujue kutofautisha kati ya muda sahihi wa kuongea na muda wa kunyamaza na kusikiliza wengine. Usijiongelee mambo mabaya hata kama mnataniana na washkaji, jifunze kuwatamkia watu mema na kuwaambia...
Habarini,
Nlikuwa mahali kwenye sehemu wanapopatikana maafisa utamu, ndani ya Moja ya majiji makubwa yanayopatikana hapa nchini, nikizuga napata kilaji aloo, kwenye gesti wanazojiuza madada poa wanatoka watu wazima na vijana ambao kwa muonekano wa nje hawafananii kabisa, ukiwaangalia utasema ni...
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Vijana wengi siku hizi hutafuta mabinti weñye kazi au kujishughulisha na mambo ya kiuchumi.
Mabinti wasio na kazi wamejikuta katika hali ngumu sana. Tena binti awe hana kazi alafu awe maskini au atoke familia maskini hakuna rangi àmbayo ataacha kuiona.
Hata...
1. Unapokutana na msichana, usifikirie ngono kwanza; usiombe ngono. Hata kama una una mihemko kiasi gani, jifanye kuwa wewe ni mtawa kwa muda. acha kuonja kila msichana anayekuja kwa sababu kila ngono lazima ina nasaba ya hatma yako ya baadae.
2. Usiende kutafuta bikira, ikiwa wewe mwenyewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.