Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.
Hivi wale wanawake ambao walikua wanawapenda washkaj wakati mshkaji hana kitu alafu huyo mwanamke ni wakishua unakuta anamsaidia mshkaj mpaka anajipata. Hivi wale wanawake bado wapo kweli?
Watawala wetu siku zote na muda wote wanataja wanawake, wanawake, wasichana, wasichana muda wote kwenye mipango yao. Wanaume na wavulana hawasikiki hata kidogo.
Kama atajitokeza mgombea mwanaume anaeaminika (sio Lissu) patachimbika. Vijana wa kiume wanavuja damu kwenye mioyo yao. Hawajisikii...
Imekuwa ikiripotiwa na vyombo vya habari vyenye kuegemea magharibi kuhusu magaidi na ugaidi; wengine tukashadadia.
Kwamba Israel inapambana na magaidi, na kutokea Oct. 7, 2023 takwimu ndiyo hizi:
Bila shaka ndiyo maana kina Mandela, Gaddafi, Saddam, Castro, nk waliitwa magaidi. Kama ilivyo...
📖Mhadhara (59)✍
Je, wajua?
Wanawake wengi wanakuwa na siku za kununa bila sababu. Bila shaka unaishi na ndugu yako wa kike, mfanyakazi mwenzako wa kike, mkeo, mchumba, au mpenzi wako na huwa kuna siku anaamka amenuna bila sababu (yaani hayuko sawa kama siku zote).
Kama tabia hiyo inajirudia...
Nini huwa kinasababisha wanawake kuchukiana au kutopendana wao kwa wao?
Ukikuta wanaume wanachukiana au hawapendani mahali mara nyingi kutakuwa na maslahi ila wanawake wana tabia fulani hivi ya kuchukiana au kutopendana tu bila hata sababu za msingi.
Mimi hata katika huduma mbalimbali huwa...
SIFA ZA 'BAD GUYS' ZINAZOWAFANYA WAPENDWE NA WANAWAKE. (sifa zinazo wavuta wanawake kwa Bad Guys)
Ingawa "bad guys" wana sifa nyingi mbaya, bado wanaweza kuwa na mvuto kwa wanawake kwa sababu kadhaa. Hapa kuna baadhi ya sababu zinazoweza kuelezea kwanini "bad guys" wanavutia wanawake licha ya...
Habari la jioni dada zangu wapendwa.
Mada hii inawahusu wanawake ambao asubuhi mchana jioni madera tu.
Unakuta mtu siku nzima anashinda na dera halafu ndani amevaa ribukta la man united au Yanga.
Halafu hayo yote sijawahi ona masaki wala ostabay utakuta ni huku kwetu Buguruni, Mbagala na...
Wanabodi
Wakati naendelea ku recover shock ya Wamarekani kuamua kumchagua tena yule Trump, kuliko kuchagua Rais mwanamke, kitu ambacho ni ubaguzi wa wazi kwa jinsia ya kike, kitu ambacho ni ujinga, hivyo nimeshauri 2025, Watanzania tuwaonyeshe tuna akili zaidi yao kwa kuchagua rais mwanamke...
Nikiwa O Level advanced level niliambiwa chuoni kuna wanawake wanajiuza
Mbona huku chuo siwaoni?
AU wanakuwa wapi?
Mbona kila nikitongoza nakataliwa?
Mbona mademu wanapenda Hela?
Kwa mujibu wa historia ya Tanzania itakumbukwa miaka 1961 mpaka 1989 idadi ya wanawake wasomi haikuwa kubwa kama miaka 2020's, lakini pia idadi ya wanawake waliokuwa kwenye ajira ama biashara ilikua ni chache ikilinganishwa na leo hii
Mwanamke alitambulika kama mama nyumbani Kitendo cha...
Kutokana na hili sakata la Baltazar kuna mambo Mengi ya kujifunza hapa, nitaelezea kwa summary tu;
Most of the women ambao walicheat na Jamaa , wapo kwenye mahusiano na matajiri wa kubwa na pia powerful men.
Kwa waliodhan kwamba Hawa wanawake walicheat kwasababu ya pesa au umaarufu au chochote...
Katika kampeni nyingi za kisiasa nchini Tanzania, imekuwa kawaida kuona wanawake wakichukuliwa kama wapambe wa wagombea badala ya kuwa wagombeaji wenyewe. Wanawake wamekuwa wakipewa majukumu ya kushangilia, kupiga vigelegele, na kutoa kauli kama “umepitaaa baba,” bila kuangalia sera au kubaini...
Sasa A. Proposers wanasema mwanamke afanye Kazi.
1. Na hoja yao ya msingi ni 50/50 kimajukumu.
2. Hoja ya nyongeza ni wanawake wafanye kazi ili kujikeep busy.
👉 kundi hili wanasema mwanamke anae kaa nyumbani ni rahisi kufanya ufuska lakini pia ni mzigo (wahenga wakisema an idle mind is the...
Kama Kichwa Cha Habari kinavyoeleza Kuna Nini nyuma ya pazia? Marekani as kiranja wa Dunia anafahamika kama kinara wa kupiga chapuo wanawake kupewa nafasi something which is not bad.
Ila Wao Huyu Rais wa 47 hawako tayari kuchagua Rais mwanamke. Ila Africa na uchanga wetu wanaoona it's fare...
Wa Kwanza kasema Mwanaume asiyekuwa na Pesa ni sawa na Sufuria iliyotoboka.
Wa Pili kasema Mwanaume asiyekuwa na Pesa ni sawa na Jalala
Wa Tatu kasema Mwanaume asiyekuwa na Pesa ni sawa na Kinyesi Kibichi
Halafu kwa haya Majibu yenu / yao Wanawake ndiyo mnataka tukizikamata na Kuwahongeni...
Katika hatua ya kuashiria kuanza kwa utekelezaji wa mradi maalum wa kuwawezesha Wanawake kiuchumi, Benki ya Equity Tanzania imesaini mkataba na Taasisi ya ADC Tanzania na washauri wabobezi wa biashara, jana Novemba 5, 2024.
Lengo kuu la mradi huu ni kuwajengea Wanawake uwezo katika biashara zao...
Ukame au Mafuriko yanapotokea Wanawake hutembea umbali mrefu kutafuta maji safi au ardhi ya kilimo, wakikabiliana na hatari ya Kubakwa au kulawitiwa
Mabadiliko ya tabianchi yanazidi kuathiri upatikanaji wa maji safi na ardhi yenye rutuba, rasilimali muhimu kwa ustawi wa jamii.
Wanawake...
List ya wanawake anaotajwa kuwashughulikia Baltasar Mwaegonga ni kama ifuatavyo:
1. Wake wa mawaziri 20,
2. Mke wa mchungaji kanisa anakosali
3. Mtoto wa mdogo wake rais wa nchi
4. Mke wa mjomba wake mjamzito
5. Mke wa mkuu wa polisi
6. Mke wa mkuu wa idara ya usalama wa rais
7. Wake wa maafisa...
Kama ilivyo polisi wanapoenda kumkamata mhalifu wa kike askari anayehusika na ukamataji ni askari wa kike, hata magereza ya kike huwa inahudumiwa na askari wanawake.
Upande wa afya mambo ni tofauti, vijana wa kisasa waliojipata kuwa madaktari na wauguzi wanafanya michezo ya kishetani kwa mama...
JE!? ni dhambi au si dhambi kwa kujipamba miili kwa wanawake wa Kikristo.
yaani kusuka nywele za mkono au mawigi
kuvaa mapambo kutoboa sehemu za miili yao na kuvaa hereni na vikukuu
kuvaa mavazi ya kiume au yanayoacha wazi sehemu za miili yao,nguo zinazowabana na kuchora maumbile yao au nguo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.