Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa WANU HAFIDHI Dada Yetu Wa Taifa Na Mtoto wa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Ametoa Shukurani Za Dhati kabisa kutoka ndani ya Sakafu ya Moyo wake kwa niaba yake binafsi na Familia...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete Amehitimisha na Kufunga Kampeni za Mheshimiwa Wanu Hafidhi kwa kishindo kikuu kilichoitetemesha Zanzibar nzima.
Ambapo Mgombea huyo wa nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Makunduchi amepata Heshima ya kipekee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.