GE2025 Dkt Kikwete ahitimisha na kufunga Kampeni za Wanu Hafidhi Kwa Kishindo kikuu Makunduchi Zanzibar

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Ndugu zangu Watanzania,

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete Amehitimisha na Kufunga Kampeni za Mheshimiwa Wanu Hafidhi kwa kishindo kikuu kilichoitetemesha Zanzibar nzima.

Ambapo Mgombea huyo wa nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Makunduchi amepata Heshima ya kipekee kabisa kuhitimisha na kufungiwa Kampeni zake na Mgeni Rasmi ambaye ni Rais wetu mstaafu. Katika kampeni hizo maelfu ya wananchi walihudhuria na kufurika kwa wingi sana kumsikiliza Mheshimiwa Wanu Hafidhi ambaye amekuwa kipenzi cha wengi sana na chaguo la wote.

Ikumbukwe ya kuwa Mheshimiwa Wanu Hafidhi amefanya kampeni ni kukutana na kila mwananchi katika muda wake wa kampeni. Ambapo ameweza hadi kufanya kampeni ya nyumba kwa nyumba na mtaa kwa mtaa na kufanikiwa kumfikia kila mmoja .

Ambapo muitikio umekuwa ni mkubwa sana na amekuwa akipata mapokezi makubwa sana na ya heshima kubwa mno. Ikiwa ni kutokana na kuaminika kwake,kukubalika na kupendwa na watu wa makundi yote kunakotokana na uchapakazi wake , unyenyekevu wake ,maono aliyonayo ,na kazi kubwa aliyoifanya katika miaka iliyopita.

Mheshimiwa Wanu amekuwa kama nuru na Mwanga kwa Maisha ya watu wote . Amekuwa tumaini la watu. Amesaidia wengi na Kugusa maisha ya wengi. Ameinua wengi kwa mikono yake ,amebadilisha maisha ya wengi kwa misaada yake ,amewafikia wengi kwa miguu yake na amewawezesha wengi kutimiza ndoto zao.

Ndio maana hata katika ufungaji wake wa kampeni ameweza kupata heshima ya kipekee sana kutoka kwa wananchi waliohudhuria kwa wingi. Ndio sababu pia amekuwa akiungwa mkono na wengi na ndio maana anatabiliwa kuibuka kidedea kwa ushindi mkubwa sana ambao utaweka historia .
IMG-20251026-WA0155.jpg

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete Amehitimisha na Kufunga Kampeni za Mheshimiwa Wanu Hafidhi kwa kishindo kikuu kilichoitetemesha Zanzibar nzima.

Ambapo Mgombea huyo wa nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Makunduchi amepata Heshima ya kipekee kabisa kuhitimisha na kufungiwa Kampeni zake na Mgeni Rasmi ambaye ni Rais wetu mstaafu. Katika kampeni hizo maelfu ya wananchi walihudhuria na kufurika kwa wingi sana kumsikiliza Mheshimiwa Wanu Hafidhi ambaye amekuwa kipenzi cha wengi sana na chaguo la wote.

Ikumbukwe ya kuwa Mheshimiwa Wanu Hafidhi amefanya kampeni ni kukutana na kila mwananchi katika muda wake wa kampeni. Ambapo ameweza hadi kufanya kampeni ya nyumba kwa nyumba na mtaa kwa mtaa na kufanikiwa kumfikia kila mmoja .

Ambapo muitikio umekuwa ni mkubwa sana na amekuwa akipata mapokezi makubwa sana na ya heshima kubwa mno. Ikiwa ni kutokana na kuaminika kwake,kukubalika na kupendwa na watu wa makundi yote kunakotokana na uchapakazi wake , unyenyekevu wake ,maono aliyonayo ,na kazi kubwa aliyoifanya katika miaka iliyopita.

Mheshimiwa Wanu amekuwa kama nuru na Mwanga kwa Maisha ya watu wote . Amekuwa tumaini la watu. Amesaidia wengi na Kugusa maisha ya wengi. Ameinua wengi kwa mikono yake ,amebadilisha maisha ya wengi kwa misaada yake ,amewafikia wengi kwa miguu yake na amewawezesha wengi kutimiza ndoto zao.

Ndio maana hata katika ufungaji wake wa kampeni ameweza kupata heshima ya kipekee sana kutoka kwa wananchi waliohudhuria kwa wingi. Ndio sababu pia amekuwa akiungwa mkono na wengi na ndio maana anatabiliwa kuibuka kidedea kwa ushindi mkubwa sana ambao utaweka historia .View attachment 3494211

Serikali yako imeifungia JF, kwa nini unaizunguka kwa VPN? Wewe ni mhaini.
 
Huu ni uandishi unaoashiria aliyeandika hana akili. Eti Zanzibar ilitetemeka!! Very stupid. Tangu lini nchi ikatetemeka!!
 
Machawa Dada yako anagombea au ni kujipendekeza kwa watoto wa vigogo. Yaani mtu mzima kazi ya uchawa huna hata aibu🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️🙏🙏
 
Back
Top Bottom