wanu hafidhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Rais Samia Wanu Hafidhi awashukuru sana watanzania Kwa faraja na upendo mkubwa walio uonyesha baada ya kumpoteza Baba yao

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa WANU HAFIDHI Dada Yetu Wa Taifa Na Mtoto wa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Ametoa Shukurani Za Dhati kabisa kutoka ndani ya Sakafu ya Moyo wake kwa niaba yake binafsi na Familia...
  2. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt Kikwete ahitimisha na kufunga Kampeni za Wanu Hafidhi Kwa Kishindo kikuu Makunduchi Zanzibar

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete Amehitimisha na Kufunga Kampeni za Mheshimiwa Wanu Hafidhi kwa kishindo kikuu kilichoitetemesha Zanzibar nzima. Ambapo Mgombea huyo wa nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Makunduchi amepata Heshima ya kipekee...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…