Nimepita kariakoo Jana usiku wale watoto wote na waokota makopo waliokuwa wakilala vinarazani hawapo masikini
Pia ilala, Ubungo, stand ya Magufuli hakuna mtoto wa mtaani hata mmoja
Samia kaua watoto wote wa mtaani
Pia mliopo mwanza fatilieni Makoroboi, Arusha pia stand kuu na Mbeya Hawa watu...