Imeripotiwa kuwa takribani Wanandoa 61 wamepeleka maombi ya Talaka kwa ajili kuvunja ndoa katika Baraza la Kata ya Kivavi, Halmashauri ya Mjini wa Makambako Mkoani Njombe kwa kipindi cha mwezi mmoja na wiki mbili kuanzia Novemba hadi Desemba 20, 2023.
Mwenyekiti wa Baraza la Kata ya Kivavi...
Kitu ambacho sielewi, hawa HAMAS wanapata faida gani kwa Gaza kufutwa kisa tu wapewe wafungwa wao huku hao HAMAS wakiachia mateka. Mpaka sasa vifo vya Wapalestina vinaelekea kugonga 20,000. Sasa hata hao wafungwa wakiachiwa, wanarudi nyumbani ipi maana pale pamekua shamba.
Hata hivyo kuna...
Ndugu zangu. Narudia tena kwa mara nyingine. Usicheze kabisa na mtu aliebarikiwa na Mungu.
Kind David, the King of the United Kingdom of Israel and Judah alikuwa muuaji lakini alikuwa chaguo la Mungu.
Baadhi ya watu walimuita mtu wa damu " bloody man" ( 2 Samuel 8) lakini Mungu alimpenda...
Burundi waanzisha Mwenge wao, Waomba mafuta ya Mwenge wa Tanzania. Je, Watapata amani?
Nimeshuhudia Mwenge wa Burundi ukikagua shule ya Buraza Gitega ilojengwa 1974 hadi leo bati hazijabadilishwa.
Mwenge wa Burundi 🇧🇮 unamulika wazembe, wala rushwa na wanaotaka kupindua nchi🤣
Je, Tanzania...
Jamaa wameongeza idadi, mwanzo walisema wataachia 15, sasa wameongeza idadi hadi 70.
---
Hamas Says Ready To Release 70 Hostages In Return For 5-Day Truce
The armed wing of Palestinian group Hamas said on Monday they told Qatari mediators that the group is ready to release up to 70 women and...
Wakazi wa Kijiji cha Kiloleni, Kata ya Sitalike Halmashauri ya Nsimbo Mkoani Katavi wameiomba Serikali kuongezewa eneo la kufanyiwa shughuli za kilimo na makazi.
Hayo yamejiri wakati wa mkutano wa hadhara katika Kijiji cha Kiloleni ambapo Wananchi wa maeneo hayo walitii wito wa kutoka katika...
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Godfrey Chongolo amesimikwa Uchifu na Wazee wa Kabila la Wafipa mkoani Rukwa na kukabidhiwa mkuki na upinde na kuvalishwa mgolole, huku wakiomba wajengewe Makumbusho ya Kabila la Wafipa.
Tukio hilo liliongozwa na Chifu wa Kabila la Wafipa, Chifu...
Wananchi wa Kijiji cha Komdudu Wilayani Handeni Mkoani Tanga wamelalamikia kukumbana na changamoto ya kuvuka kwenye daraja lililopo kijijini hapo kwa muda wa miaka miwili tangu lilipoharibika.
Daraja hilo halijatengenezwa bali limeweka la muda hali ambayo imekuwa ikiwapa changamoto Wananchi...
Baadhi ya Wafanyakazi hao katika Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR), leo Agosti 17, 2023 wameendeleza mgomo wao wakishinikiza malipo yao kutoka kwa Mkandarasi Kampuni ya Yapi Merkezi.
Sehemu ya hotuba yao inaeleza “Sisi ni Wafanyakazi tuliopo katika Mrati Awamu ya Pili (Lot 2), Kambi ya...
Anonymous
Thread
mgomo
mishahara
msaada
raia
rais
rais samia
reli
samia
sgr
uturuki
video
waomba
Hayo yamesemwa na Kiongozi wa jopo la watetezi wa haki za Binadamu Anna Hega wakati walipokutana na waandishi wa habari jana.
My take:
1. Jambo kubwa kama hili la Uhaini haliwezi kupelekwa mahakamani bila prior approval/ or the President to be informed. Anna Hega, sahau hilo. Lazima Samia...
Skip links
Skip to Content
LIVE
News
Niger’s military rulers ask for help from Russian group Wagner
The new military government seeks help from Wagner mercenaries against ECOWAS intervention, according to a news report.
The streets of Niamey, the capital of Niger, days after the coup [File...
Watanzania wanaomba viongozi wa CCM, kuanza ziara nchi nzima kujibu hoja za ufisadi zilizotajwa na CAG kuhusu ufisadi wa Matrilioni ya fedha uliofanywa na vigogo wa Serikali kama wanavyofanya sasa kujibu hoja za mkataba wa Bandari.
Ziara ya Bandari isimame kwanza na wafanye tathmini ya...
Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (TABOA) mkoani Mwanza kimetaka Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA), kubadili ruksa ya spidi barabarani kutoka kilomita 80 kwa saa hadi 100 kutokana na maboresho makubwa yaliyopo barabarani.
Akizungumza leo Katibu wa Taboa mkoani Mwanza, Anwar...
Familia ya wazazi waliomuozesha mwanafunzi wa kidato cha tano kwa mahari ya shilingi elfu 30 wilayani Tunduru - Ruvuma wameungana kuomba radhi ili Serikali iwasamehe kwa kitendo walichokifanya kwa madai kuwa walikuwa hawajitambui.
Pia Soma:
Mwanafunzi wa Kidato cha Tano aolewa kwa Tsh. 30,000...
Familia ya marehemu William Ernest aliyefariki jana katika Uwanja wa Taifa alipokwenda kushuhudia mechi ya fainali ya kwanza ya Yanga dhidi ya USM Alger wanaomba msaada wa Serikali na Yanga ili kusafirisha mwili jijini Dodoma.
Akizungumza na Mwananchi mtoto wa marehemu Dora William, amesema kwa...
Wawakilishi wa Mchezaji Pape Ousmane Sakho hawaridhishwi na kukosekana kwa muda wa kucheza kwa Mteja wao ndani ya Simba, wakiamini Msenegal huyo anastahili muda zaidi wa kucheza.
Kutokana na hilo kwa mujibu wa taarifa nilizopata ni kuwa kuna baadhi ya ofa watazifikisha Msimbazi kumhusu Mteja...
Ni vyema wasailiwa pia wachunguzwe kwa kupitia online content zao, Kuna suala la maadili Sasa limekuwa changamoto.
Walioomba kazi pia wachunguzwe mambo wanayopost mitandaoni kama yanakidhi kimaadili. Baadhi wanapost mambo ya ngono halafu wanaomba nafasi za ualimu, wakakae na wanafunzi wetu, ni...
Wakuu Salam,
Hata kama nchi haina vipaumbele, hata umasikini wa watu wetu hatuuoni?
Katikati ya kutupa magari tunanunua megine...?
Kairuki kaomba mengine ya bil 16, magar 81.
Tizama video ya magari yaliyotupwa👇
======
Waziri wa TAMISEMi, Angellah Jasmine Kairuki amewasilisha Bungeni...
Mti huu upo pale Arusha eneo linaitwa Mezaluna Kijenge, chini ya Gran Melia Hotel au Juu ya Impala Holet, hilo eneo ni kituo cha mabasi yanayoenda Nairobi(Shuttles).
Mti umekauka sana kiasi cha kuanza kuangusha matawi na kuleta taharuki, wananchi wamejaribu kuomba wahusika waukate lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.