waomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwamuzi wa Tanzania

    Mfumo wa NBS kwa waomba kazi za kuhesabu sensa ni mzuri, Serikali ipongezwe

    Hi! Local government officials kuanzia wajumbe wa mashina, wenyeviti, maafisa wa mitaa/vijiji, kata na tarafa mpaka halmashauri wanaipenda hongo sana. Kutokuwapa kwa 100% mchakato wa kuajiri watumishi wa muda wa kuhesabu sensa imekaa njema sana. Hii ifanyike na NEC na taasisi zingine. Mimi...
  2. Bushmamy

    Katavi: Wananchi wa Mishamo waomba kuwekewa minara ya simu, mawasiliano ya Radio

    Baadhi ya wananchi kutoka katika vijiji tofauti tofauti katika makazi ya Mishamo mkoani Katavi katika wilaya ya Tanganyika, wanakosa huduma muhimu za mawasiliano ya Radio na simu. Wanakijiji hao kutoka katika vijiji vya Mgansa, Isubangala, Bujombe na vijiji vingine jirani wamekuwa wakikosa...
  3. Bushmamy

    Wakazi wa Mishamo waomba serikali iingilie kati migogoro ya kila wakati kati wakulima na wafugaji

    Wananchi wa kata ya bulamata, pamoja na kata za jirani zilizopo Mishamo mkoani Katavi kutoka wilaya ya Tanganyika wameomba serikali kuingilia kati migogoro iliyopo kati ya wakulima na jamii ya wafugaji.k Wananchi wa vijiji hivyo wamesema kuwa jamii ya wafugaji wamekuwa na idadi kubwa ya Mifugo...
  4. B

    Hili la Uingereza kupeleka waomba ukimbizi Rwanda ni muendelezo wa ukoloni

    Nchi ya Rwanda imekubali kupokea waombaji wa ukimbizi waliongia nchini Uingereza kwa njia zisizo halali. Watu hao wakifika Uingereza watakuwa wanapelekwa Rwanda wakati maombi yao yakifanyiwa kazi. Rwanda watapokea fedha kwa ajili ya kazi hiyo. Matarajio ni kwamba nchi hii itapokea wakimbizi...
  5. Bushmamy

    Wanakijiji waomba malipo ya minara ya simu iliyopo kijijini kwao wapewe kwa ajili ya ujenzi wa zahanati

    Wakazi wa kijiji cha Mazwe, wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi wameomba viongozi wa Minara ya simu ya Tigo na Airtel walioweka minara yao kijijini hapo tangu 2013 malipo ya minara hiyo iwanufaishe wanakijiji wa kijiji hicho kwa kujenga zahanati kutokana na kuwa malipo hayo hayafiki katika ofisi...
  6. John Haramba

    Katavi: Serikali waombwa kuingilia kati mgogoro wa ardhi, wadai wawekezaji wamepewa kinyume na utaratibu wa sheria

    BAADH ya wananchi wa Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi wameiomba Serikali ya Mkoa huo kuingilia kati mgogoro wa ardhi wa zaidi ya hekali 40 zilizopo katika Kitongoji cha Jelemanga "A" na "D"kijini cha Milala. Mgogoro huo uliodumu muda mrefu unatokana na baadhi ya wananchi kudai kuchukuliwa...
  7. John Haramba

    Mke wa Profesa Jay afunguka, familia yaomba msaada wa matibabu

    Familia ya msanii wa Bongo Fleva, Joseph Haule ‘Profesa Jay’ imejitokeza hadharani na kuelezea juu ya hali ya kiafya anayopitia staa huyo na kuomba msaada wa matibabu yake. Jay ambaye pia alikuwa ni Mbunge wa Mikumi, alipoanza kuugua alipelekwa katika hospitali mitaa ya Tegeta, akahamishwa...
  8. mgt software

    Kwanini wanaume wanapenda watenda vituko kama MamaJ, na Ambarut unakuta waomba penzi kama 40 hivi

    Wana jf Wanawake wapenda vituko aubwanaofanya vituko vya kushtua ndio wanawaniwa sana na wanaume. Sasa unakuta aliyefanya na Fanta au milinda anatafutwa sana mbali na kufanya ufilauni usiovumilika. Kuna siku nilienda kumwona live MamaJ, uwezi amini mgahawa wake unajaa watu, alafu wanaomba namba...
  9. J

    Dar: Walemavu waliobomolea vibanda vya biashara waomba hifadhi UNHCR

    Watu wenye Ulemavu waliobomolewa vibanda vyao vya biashara katika Mkoa wa Dar es Salaam, wamepiga kambi usiku kucha nje ya Ofisi za Shirika la kuhudumia wakimbizi (UNHCR) Masaki wakiomba hifadhi kwa madai ya kushindwa kusikilizwa na Viongozi wa Mkoa na Wilaya.
  10. mshale21

    Wamachinga waomba kukutana na Rais Samia

    Shirikisho la Umoja wa Machinga Tanzania (Shiuma) limemuomba Rais Samia Suluhu Hassan akutane nao kumweleze kero walizonazo ili ajue namna ya kuzifanyia kazi. Hayo yamesemwa leo Jumatano Oktoba 20, 2021 na Makamu Mwenyekiti wa wamachinga Taifa, Steven Lusinde wakati akitoa ufafanuzi kuhusu...
Back
Top Bottom