Serikali ya Morocco ambayo hivi sasa imo kwenye mkumbo wa kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia ya utawala wa Kizayuni wa Israel, imezuia kufanyika maandamano ya mamilioni ya wananchi wa nchi hiyo waliokusudia kupaza sauti zao, kulaani jinai za Israel dhidi ya Wapalestina.
Mtandao wa habari wa...
Mashambulizi ya makombora katika eneo la Gaza yanaingia siku ya sita mfululizo, huku idadi ya vifo ikiongezeka kufikia watu 140, wakiwamo watoto 39.
Israel imeendelea kutumia makombora kushambulia majengo marefu katika eneo la Gaza, ikilenga jengo la ofisi za Shirika la Habari la Al Jazeera na...
Jina Palestina linatokana na neno la Kilatini Palaestina na neno la Kigiriki Palaeistine. Maneno haya mawili yanatokana na neno la Kiebrania Pelesheth. Biblia inatumia neno Pelesheth linatafsiriwa Filistia kwa Kiswahili kwenye Biblia.
Linarejelea eneo la Pwani ya Mediterenia lililokaliwa na...
Mashambulizi ya maroketi yameendelea siku ya Ijumaa kati ya Israel na Palestina, huku idadi ya vifo na majeruhi pamoja na uharibifu wa mali vikiongezeka.
Israel imeendelea kufanya mashambulio katika ukanda wa Gaza ikipuuzia wito wa Jamii ya Kimataifa wa kusitisha mashambulizi, ikisababisha vifo...
Mamlaka katika eneo la Gaza zimesema takriban Wapalestina 36, wakiwamo watoto 10 wamefariki kutokana na mashambulio ya maroketi kutoka Israel, huku wengine 250 wakijeruhiwa siku ya Jumatano.
Mashambulizi haya ni ya hivi karibuni zaidi yanayoongeza mvutano ulioanza baada ya Hamas kuvitaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.