Wanaukumbi,
Israel na propaganda zao Dunia inafahamu uongo wao waliwachoma moto Wapalestina 200 wakasema ni Waisrael wamechomwa na Hamas leo wamekiri kuwa ni Wapelestina.
Swali basi ni, nani aliyewachoma?
Interesting! Israel now admits some 200 of the bodies they said were Israelis turned out...
Leo asubuhi Maktaba ilipata bahati ya kutembelewa na Sheikh Ponda.
Kwangu ilikuwa furaha kubwa.
Sheikh Ponda kaifuta vumbi Tanzania na kaifariji Palestina kwa kutoa mkono wa taazia kwa Wapalestina kwa msiba mkubwa unaowakabili.
Wapalestina watawaandika wananchi wa Tanzania katika historia ya...
TANGAZO LA ISRAEL KUWATAKA WAPALESTINA WAONDOKE GAZA ILI WAIANGAMIZE NI TANGAZO HILOHILO LILILOTOLEWA NA MALAIKA SODOMA NA GOMORRAH. WALIOKAIDI WALIANGAMIZWA.
Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Inaweza ikawa sio Haki au ikawa Haki. Hiyo ipo juu ya mtazamo wa kifikra za mtu husika. Ila...
Nov 05, 2023 06:50 UTC
Katika matamshi yake mapya kuhusu vita vya Ghaza, Barack Obama, rais wa zamani wa Marekani ameulaumu vikali utawala wa Kizayuni wa Israel na kusema kuwa ndio unaobeba lawama za kutokea mashambulizi ya HAMAS na maafa yanayowatesa Wapalestina hasa wa Ghaza hivi sasa.
Kwa...
Salaam ndugu zangu,
Nimeona picha inasambaa ikieleza kuwa Kampuni ya Israeli ya PEPSI imebadilisha muundo wake na kuandika Palestina ili kuepuka kufungiwa na Palestina.
Maandamano ya Waarabu kwenye nchi za wazungu yameshindwa kufanya Israel isitishe vita....
The Israel Defense Forces has “expanded” its operations in the Gaza Strip in recent days, pouring in troops and armored tanks to conduct “coordinated attacks from the ground and the air,” spokesman Daniel...
Tuombe waungaji mkono wa Israel wakubali kusitisha vita haraka kwani dunia inaelekea kuwa nyeusi kutokana na vita vitakavyoleta majonzi kwa kila mtu.
Hali hiyo imedhihirika katika kuchanganyikiwa kwa viongozi wa Israel,Marekani na Uiengereza na kushindwa kutambua kuwa wao ni watawala tu wa nchi...
Huu uwiano utoshe sasa, kwani ilipaswa wafe wangapi kwa kila Muisraeli aliyeuliwa na HAMAS, maana haya mahesabu kama hayaendani, halafu Israel bado wanaongeza idadi ya mapigo kwa siku.
=========
Gaza’s ministry of health has published a list of names of 7,000 people it says have been killed by...
week kadhaa zilizopita tulikuwa tunashangalia humu kuwa wameuawa waisreli wengi sana huko Israel .mimi nilisikitishwa na sherehe hizo ni kasema Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.............. tusubiri Waisrael wata double. sababu wao wanaamini Muisrael mmoja ni sawa na wapalestine 5. sasa...
Ubishi, ukaidi na ujeuri wa Wapalestina kutaka kupambana na Israel itapelekea maafa na mateso zaidi kwa watu wasiokuwa na hatia. Ama kwa kupenda au kutokupenda, suluhisho rahisi na lenye kuleta amani mashariki ya kati ni wapalestina kuwa watulivu ili waendelee kukaa pale kwa amani au kuhama...
Kwa mara ya mwanzo tangu mashambulizi ya Hamas nchini Israel amiri wa Qattar ameitahadharisha jumuiya ya kimataifa kuwa isiendelee kuiacha Israel iuwe watu kama inavyopenda huko Gaza.
Sheikh Tamim bin Hamad Al Thani aliyasema hayo mapema leo alipokuwa akifungua kikao cha baraza la shura la nchi...
Peace,
Niko na swali dogo ila tata kwa kiasi fulani, hivi inakuwaje watu walio na "umoja na mshikamano katika dini ya Mwenyezi Mungu" wako tayari hata kujilipua mabomu kwa ajili ya dini yao.
Wako tayari hata kuchinja watu huku wakiwarecord ili kutetea "imani" yao "tukufu" ila linapokuja swala...
Dah! ila kweli palikua na ulazima wa watu kufa hivi, HAMAS kweli hawana akili....
Every day in Gaza, the two biggest hopes are to stay alive and not receive word of another devastating loss.
A Palestinian carries a child killed in Israeli bombardment in Deir el-Balah, the Gaza Strip, Monday...
Huku wakisaini waraka, Wanazuoni nchini, ambao ni Wahadhiri nguli wamelaani Vikali Occupation ya Waisrael kwa Wapalestina iliyodumu kwa miaka zaidi ya 75, inatopelekea Ghasia zisizoisha huko Palestine.
Wanazuoni wanasema kuwa wameshtushwa na ukatili endelevu wa Israel kwa watu wa Palestine...
Friends and Enemies,
Al Ahl Baptist church ni hospital ya kanisa ambayo imeanza operation Gaza tokea mwaka 1882,Hospital hiyo imeanzishwa na Church Mission Society Of England kipindi Hiko inatawala Gaza ,baada ya ukoloni 1954 hadi 1982 na kuendelea hospital hiyo imekuwa inaendeshwa na Episcopal...
Baada ya hospitali maarufu kupigwa bomu hapo jana na wagonjwa na madaktari 500 kuuliwa, leo imekuwa ni zamu ya kanisa na misikiti iliyojaa wakimbizi kuripuliwa na majeshi ya Israel.
Hayo yametokea huko Kusini ya Gaza watu walikotakiwa kukimbilia. Sambamba na kanisa na misikiti barabara vile...
Waziri mkuu wa zamani wa Israel Ehud Baraka na Ehud Olmert wameungana na Rais Isaac Hezrog kumponda sana Benjamin Netanyahu, waziri mkuu wa sasa kwa jinsi ambavyo amelitumbukiza taifa lao katika matatizo na vita.
Katika pendekezo lake, Ehud Olmert amesema baada ya vita NATO itumike kuirudisha...
Si kila kombora linalorushwa na Hamas huwa linafikia target, Kuna mengine yanashindwa kuvuka yanadondokea ndani ya Gaza, Kwa lugha ya kitaalamu inaitwa "Misfire".
Ifuatayo ni Video inayoonyesha kilichotokea, chanzo ni cha kuamika AL - JAZEERA
18:59 - Kombora linalorushwa kuelekea Israel lina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.