wapalestina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Ripoti: Vita ya Israel na Hamas imeua Wapalestina 34,789 hadi sasa

    🚨 Israeli forces killed at least 54 more Palestinians and injured 96 others over last 24 hours in Gaza 💢 At least 34,789 Palestinians killed, mostly women and children, and 78,204 injured in Israeli onslaught on Gaza since Oct. 7 At least 34,789 Palestinians have so far been killed in...
  2. MK254

    Wapalestina waanza kuondoka Rafah, patapigika haswa

    Haya magaidi mnabaki wenyewe.... People flee the eastern parts of Rafah after the Israeli military began evacuating Palestinian civilians ahead of a threatened assault on the southern Gazan city, amid the ongoing conflict between Israel and Hamas, in Rafah, in the southern Gaza Strip May 6...
  3. Webabu

    Marekani yasema bataliani 5 za Israel ziliwafanyia uhalifu Wapalestina hata kabla vita vya Gaza. Iliyomuua Mpalestina Mmarekani kuwekewa vikwazo

    Marekani imefanya utafiti na kugundua ya kuwa jumla ya bataliani 5 za jeshi la IDF zilikuwa zikiwafanyia uhalifu mkubwa wapalestina kabla kuzuka vita vya Gaza. Miongoni mwa bataliani hizo ni ile ya wayahudi wahafidhina la Netzah Yehuda ambayo ilihusika na kumuua mpalestina Omar Assad, ambaye...
  4. Ritz

    Vyuo vikuu vya Marekani vilivyohusika katika maandamano ya Wapalestina: Netanyahu anasema ni Hamas

    Waaukumbi. American colleges and universities involved in the Palestinian protests: - Yale University University of Texas Columbia University Massachusetts Institute of Technology University of Minnesota University of California, Berkeley University of Pittsburgh University of Rochester in...
  5. Webabu

    Wapalestina Gaza washangilia Iran kuipiga Israel. Chakula chaanza kupatikana masokoni

    Vifijo vimerindima ndani ya maeneo ya Gaza baada ya Iran kuamua kuipiga Israel kulipiza kisasi shambulio la Israel dhidi yake huko Syria. Baadhi ya waliohojiwa jimboni humo wamesema kwa muda mrefu wamekuwa wakipigwa huku majirani zao wakikaa kimya.Kama sasa wataanza kuingilia kati kuipiga...
  6. MK254

    Wapalestina wakataa kusimamiwa na jeshi la Waarabu kutoka mataifa tofauti

    Waarabu wamekaa wakawaza kubuni jeshi la pamoja ambalo wanajeshi wake watatokea kwenye mataifa ya kiarabu, hili jeshi litumike kudumisha amani Palestina na kulinda chakula cha misaada ikiwemo ugavi wake..... Magaidi yamehamasisha Wapalestina wakatae hili wazo, hivyo Wapalestina waendelee...
  7. M

    Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

    Video hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchapwa eti ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani. Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara? Ni watu baki au ni watu wasio na haki ya kukaa Zanzibar? Maana hapo ni ubaguzi wa wazi, kupanda mbegu...
  8. Webabu

    Marekani kujenga bandari Gaza ni kuzuga. Hana nia nzuri na Wapalestina

    Watu wanakufa sasa kwa njaa Gaza na kuna malori ya misaada kwa mamia kwenye mipaka ya Gaza ambayo yameshindwa kuingia huko kikwazo ikiwa ni ruhusa ya Israel. Marekani kwa kujionesha kuwahurumia wanaokaribia kufa njaa imekuwa ikidondosha misaada michache ya michache ya chakula na sasa imesema...
  9. MK254

    HAMAS watoa onyo kwa Wapalestina kuhusu ulinzi wa misaada ya chakula

    Israel inakusudia kutumia Wapalestina kulinda chakula cha misaada maana HAMAS huiba sana hicho chakula, sasa hao HAMAS wamesema ole wao Wapalestina watakaothubutu..... Hamas-linked website warns Palestinian individuals or groups against cooperating with Israel to provide security for aid...
  10. G

    Ni ubinafsi au unafki, Waarabu wanaosifiwa kuogelea kwenye pesa ni kwanini wanajibana kutoa misaada kwa ndugu zao wapalestina huko Gaza ?

    Inashangaza kuona Saudi Arabia inayosifika kuwa nchi tajiri ya kiarabu kuona kiasi pekee walichochangia ni dola milioni 133 tu kuisaidia Gaza. Saudi Arabia imebarikiwa mafuta, visima vingi vinamilikiwa na wanafamilia wa kifalme na ndugu zao (royal family), huonyesha ufahari wao kwa kutumia...
  11. M

    Israel yaua wapalestina 100 wanaosubiri msaada wa chakula

    Kama kawaida yao, ukishazoea kuua utaendelea kuua tu. Wale wanaoitwa Taifa teule wameendelea na kazi yao ya kufanya wanachoweza kwa ufanisi mkubwa. Leo wameua wapalestina masikini 100, wasio na silaha, ambao wana njaa wakati wakisubiri msaada wa chakula. Wanajeshi wa Israel limefyatulia kundi...
  12. J

    Je, umefika wakati Wapalestina kutambua Muslim Brotherhood wanatumia vibaya ili kutimiza agenda yao ya kisiasa?

    Kwa Watanzania wengi Muslim Brotherhood unaweza isiwasitue sana hasa ukizungumzia ubaya wa Ugaidi. Lakini tusichojua ni kuwa Muslim Brotherhood ndiyo ambao wamekuwa nyuma ya panzia ya utendaji wa Alqaida, ISIS Salafi na kwa sasa Hamas. Muslim Brotherhood ilianzishwa mwanzoni kabisa mwa Karne ya...
  13. MK254

    Misri yasema HAMAS ni kundi lisilo na haja ya amani, na halipo kwa maslahi ya Wapalestina

    Taratibu akili zimeanza kuwakaa hawa watu, sikutegemea ipo siku Misri itatoa tamko kama hili..... Egypt's Foreign Minister Sameh Shoukry sharply criticized Hamas on Saturday, saying that "the organization is outside the Palestinian consensus, which recognizes Israel and wants to reach...
  14. MK254

    Video: Wapalestina wafanyia HAMAS fujo, baada ya HAMAS kupiga risasi kijana aliyekua anang'ang'ania chakula

    Hawa Wapalestina akili zitawaingia tu na kujua haya magaidi ya dini hayasaidii kitu zaidi ya kuwasababishia matatizo zaidi, na hamna anayekuja kuwaokoa, ndugu zao katika dini yaani waarabu wanaongea na kutoa matamko kisha wanarudi ndani kwenye shughuli zao za kujenga mataifa yao. Hata waswahili...
  15. MK254

    Misri yaanza kujenga hema za Wapalestina watakao ondolewa Rafah, maana ni dhahiri Israel wanapiga

    Israel imekua kichwa cha mwenda wazimu, wamegoma kumskliza yeyote na wameanza mapigo Rafah, raia wema wanaondolewa na kupelekwa kwenye hema, watakaobaki ni magaidi ya dini akina HAMAS na hawana sehemu nyingine ya kukimbilia. Misri wameona isiwe tabu, wasaidie kwenye kujenga hema, wao kwanza...
  16. Webabu

    Kitendo cha Misri kujenga ukuta mwengine upande wake kina maana gani. Wana njama na Israel au ni huruma kwa wapalestina

    Hivi karibuni Benjamin Netanyahu alisikika akisema anataka jeshi lake liingie Rafah na kufanikisha mpango wake wa kuwamaliza Hamas kabla mwezi mtukufu wa Ramadhani haujaingia hapo Machi 10. Baada ya kitisho hicho Misri imekuwa ikitishia kuvunja mkataba wa camp david baina yake na Israel.Hata...
  17. MK254

    Kwa mara ya kwanza HAMAS waonekana kujali maisha ya Wapalestina, waomba Rafah isivamiwe

    Mpaka sasa HAMAS wameshaelewa muziki wa Myahudi, kwamba Myahudi ni katili, hajali hata ukijificha nyuma ya akina mama na watoto, anafyatua tu, walijaribu hizo mbinu aisei Wayahudi wakawa wanapiga tu hadi ikaleta ukakasi, na hata makelele ya sijui ICJ au Afrika Kusini au hata Waarabu hayakufanya...
  18. Webabu

    Je, Misri imeshaweka jeshi lake sawa mpaka wa Rafah kuijibu Israel ambayo imenuia kuwaua Wapalestina zaidi na watakaobaki kuwasukuma nje?

    Pamoja na Israel kushindwa kufikia malengo yake ya kivita iliyojiwekea na japo imeshawahamisha wapalestina wa Gaza huku na huko bila mafanikio lakini bado imeweka nia thabiti ya kushambulia eneo la Rafah. Umoja wa mataifa na kila mmoja wameshatoa angalizo kuwa kushambulia eneo hilo...
  19. MK254

    Wapalestina 100,000 hawajulikani waliko, aidha wameuawa au kutoweka

    Mji umebaki ukiwa, watu wameuawa na wengine wengi kupoteana, mpaka sasa kama HAMAS hawajutii, bila shaka hao ndio magaidi wa dini haswa. Recently, the United Nations agencies have released alarming statistics regarding the casualties of the Gaza war, indicating that approximately 100,000...
  20. MK254

    Hadi sasa hivi Wapalestina wanaendela kufa kwa mamia kwa siku, idadi sasa 27,365

    Yaani Israel imedhamiria, sio mchezo....HAMAS waligusa pabaya. GAZA, Feb. 4 (Xinhua) -- The Palestinian death toll from the ongoing Israeli attacks in the Gaza Strip has risen to 27,365, while 66,630 others were wounded, the Hamas-run Health Ministry said Sunday. During the past 24 hours, the...
Back
Top Bottom