wapalestina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Webabu

    Wajumbe wa UN waitaka Israel ijiondoe maeneo ya Wapalestina katika kipindi cha mwaka mmoja

    Mataifa 123 yameunga mkono tamko hilo,14 yamepinga na 43 wamejiondoa kupiga kura. Pindi Israel isipofanya hivyo basi kitakachofuata ni vikwazo dhidi yake. Wakati huo huo katibu mkuu wa UN ,bw Gueteres amesema Israel iache kutumia vifaa vya matumizi ya kiraia kama silaha za kivita. UN members...
  2. Webabu

    Yahya Sinwar aipongeza Lebanon kwa moyo wao wa upendo kwa wapalestina kwa njia ya kupigana na Israel

    Kiongozi mkuu wa Hamas,ndugu Yahya Sinwar ametoa pongezi kwa viongozi wa Hizbullah ya nchini Lebanon kutokana na kuwaunga mkono wapalestina kwa njia ya kuwashambulia Israel bila kuchoka. Pongezi hizo zilitumwa kwa njia ya barua na kuwekwa wazi na vyombo vya habari vya Lebanon ni jibu la barua...
  3. Gwappo Mwakatobe

    Kusudio langu la kupata suluhisho la kudumu la mgogoro wa wapalestina na wayahudi

    Mara kadhaa nimewahi kushiriki na naendelea kushiriki kutoa maoni ya kusuluhisha mgogoro mkongwe na mgumu mno wa Wayahudi na Wapalestina. Kwa ujasiri mkubwa kabisa, nisisitize kuwa nakusudia na niko tayari kabisa kusuluhisha mgogoro huu kwa niaba ya Afrika na Waafrika wote, hata kama sina cheo...
  4. Ritz

    Taarifa za Wapalestina zinasema kuwa jeshi la Israel halikumkomboa Farhan Al-Qadi, bali aliachiliwa huru na Hamas na kutekwa kimakosa.

    Wanaukumbi. Kama kawaida ya Jeshi la Israel kwa kujisifia ujingq. ⚡️🇮🇱 NDANI TU: Norit Yohanan - Kan Kiebrania: Taarifa za Wapalestina zinasema kuwa jeshi la Israel halikumkomboa Farhan Al-Qadi, bali aliachiliwa huru na Hamas na kutekwa kimakosa...
  5. Z

    FATMA KARUME: Netanyahu alitumia tactic hii ya kuwanyima Wapalestina huduma za kijamii ili wahame GAZA na Waisraeli wachukuwe ardhi yao

    Ni kweli serikali ya CCM inayoongozwa na Rais Samia ilitumia mbinu inayofanana na ya Netanyahu wa Israel kuwaondoa Massai Ngorongoro?
  6. K

    Wamaasai wanaporwa ardhi yao

    Ukifuatilia historia yao enzi ya mkoloni, ardhi yao ilipunguzwa kwa asilimia 60 kwa upande wa Kenya na Tanzania kupisha makazi ya kudumu na kilimo kwa wazungu na leo ni waarabu. Serikali hii ina mipango gani katika kuuza na kubinafsha rasimali na ardhi ya Tanganyika kwa kuingia mikataba ambayo...
  7. Webabu

    Maneno ya kuibembeleza na kuikingia kifua Israel ni aibu kwa ulimwengu. Ndiyo yanayowapa jeuri mayahudi kuwaoneo wapalestina

    Tangu vita vianze hakuna hata nchi moja ambayo imetoa maneno ya kuikemea Israel kikamilifu au kutaja matendo yao kuwa ni haramu. Badala yake utasikia maneno kama ilichofanya Israel huko Gaza yanaweza kuwa ni uhalifu wa kivita.Yanasemawa hayo wakati yaliyofanywa madogo kuliko hayo maeneo mengine...
  8. Huihui2

    Wapalestina Waliokufa Kuanzia October 7 Hadi Leo ni 40,005

    Wakati majadiliano ya kusitisha vita yakifikiriwa huko Qatar, idadi ya Wapalestina waliokufa ni zaidi ya 40,000 na waliojeruhiwa ni zaidi ya 92,000 Huku idadi ya watoto ikiwa ni zaidi ya 16,000 Hivi vita visitishwe tu sasa
  9. G

    Jeshi la Israel lavunja rekodi, Raia 13 wamefariki kwa kila wanamgambo 10, Ratio iliyozoeleka 90 kwa 10, Ni wapumbavu wanaoamini kuna Genocide !

    Vita inapotokea ratio ya wastani huwa ni raia 90 watafariki kwa kila mwanajeshi 10 wataouwawa vitani. Israel imeshangaza ulimwengu wa vita kwa kuweza kuwa na ratio ndogo sana Kufikia mwezi uliopita Wizara ya Afya ya Gaza imerekodi vifo elf 25 vilivyohakikishwa, Hamas wanasema kuna jumla ya...
  10. Webabu

    Ni wakati sahihi kwa Iran kuwaokoa Wapalestina ambao sasa shule, hospitali na misikiti sio salama tena kukimbilia

    Hali ya Gaza inazidi kuwa mbaya na idadi ya vifo vinaongezeka kwani jeshi la Israel limekuwa huru kuua kama linavyopenda. Wapiganaji wa Gaza wenyewe wametumia nguvu zao zote kujitetea mpaka wameishiwa nguvu.Hakuna cha kusifia kwa vikosi vya IDF kwani ni kama vile dunia nzima imeshirikiana na...
  11. Mwamuzi wa Tanzania

    Wapalestina wana ukichaa sio bure

    Jamaa kila wakikaa kwa amani miezi michache wanakwenda kuchokoza nyuki Israel. Na Israel huwa hataki mazoea. Hii iliyoanza October 7 2023 mpaka sasa Wa Israel takribani mia nne tu ndio waliokufa ukiondoa wale 1200 waliopigwa ambush day one ,huku wazee wa vurugu elfu 40 wamekwenda na maji. Jamaa...
  12. Webabu

    Jukumu la kuwatetea wapalestina si la Iran pekee

    Hatua inayofuata kutokana na vita kati ya Israel na Hamas itakuwa ni vita vigumu na vya muda mrefu sana. Tayari mataifa washirika wa Israel katika juhudi ya kupotosha na kupunguza athari zake wameanza kutangaza kuwa ni vita kati ya Iran na Israel. Kiukweli vita hivyo ni kama fursa muhimu ya...
  13. Webabu

    Erdogan asema Uturuki sasa kuingia Israel kuwasaidia Wapalestina

    Rais wa Uturuki ndugu Tayeb Erdogan amesema nchi yake inakusudia kuingia ndani ya Israel kuwasaidia wapalestina wanaouliwa na Israel. Hayo aliyasema kwenye mji aliozaliwa wa Rize wakari akizungumza na wanachama wa chama chake cha AK chenye kufuata mrengo wa dini ya kiislamu. Akifafanua kusudio...
  14. MK254

    Picha za watoto walishikiliwa na HAMAS, huku vifo vya Wapalestina vikifikia 37,431

    Hawa watoto mtawaatapika tu, mnaendelea kuliwa, mfahamu damu ya watoto wa Wayahudi sio ya kuchezea, namba za mliouawa zinaelekea kufika 40,000 Hapakua na ulazima wa kufanya huu ujinga hata kama mumeaminishwa na dini muwe makatili, mnapaswa mchague nani wa kufanyia ukatili. The Palestinian...
  15. MK254

    HAMAS wazidisha mateso kwa Wapalestina, wabadilisha mapendekezo na kuongeza visivyotekelezeka

    Mpaka sasa hivi namba za Wapelestina waliouawa zinakaribia 40,000 na bado wanauawa kila siku, ilhali wanaosababisha yote hayo bado wameshupaza shingo, wameshikilia mateka watoto wa Wayahudi huku wakiendelea kuongeza masharti na pia wenyewe kuuawa. Gaza yote imefanywa shamba.....na bado...
  16. The Mongolian Savage

    Wapalestina wanavituko wakiomboleza!

    Yani hawa watu wanatafuta huruma kwa swagger za ajabu, kukera na za kishamba. Kwenye hiyo picha hapo chini utadhani amefunga goli anashangilia. Kumbe ni swagger uchwara mbele ya camera. R.I.P wakulima namba moja brothers in Christ Clemence Mtenga na Joshua Mollel. adriz Accumen Mo green...
  17. MK254

    Rais wa Palestina amsuta kiongozi wa dini wa Iran kuhusu vifo vya Wapalestina

    Huyo kiongozi wa dini ya uislamu anayeongoza Iran alijitokeza na kusifia sifia Wapalestina kwa wao kujitolea kufa, ila rais wa Palestina amemsuta na kumwambia Wapalestina wameteseka, wamekufa 36,000 na 83,000 kujeruhuwa kwenye vita ambavyo havina umuhimu kwao. ============================...
  18. B

    Mjukuu wa Mandela: Babu angekuwapo angewaunga mkono HAMAS na Wapalestina dhidi ya Israel!

    1. Huu ndiyo ulio ukweli mchungu wenye kuakisiwa vyema nyuma ya jitihada zote za Afrika Kusini hadi ICJ huko dhidi ya Israel. 2. Kwamba kuna mpenda haki wapi kwetu aliyebakia CCM, CHADEMA, ACT, UDSM au wapi wa aina ya mjukuu huyu wa Mandela? 3. Kwamba nani anaweza kuthubutu kwa na hakika...
  19. MK254

    Wapalestina 300,000 wameondoka Rafah, pameanza kupigwa

    Mpaka sasa wameshapata funzo kwamba Myahudi akidhamiria anapiga tu, wamekubali kujiondokea, magaidi ya dini yabaki yenyewe panyooshwe kama kwingine kule. Mtakaobaki hapo msianze kusema akina mama na watoto wameuawa.... Displaced Palestinians arrive in central Gaza after fleeing from the...
  20. G

    Hakujawahi kuwa na taifa la Palestina kwenye historia yote kabla ya 1947, hawa wapalestina wanadai ardhi yao ipi ?

    Mwaka 1947 umoja wa mataifa uliweka mipaka kati ya waarabu na wayahudi. upande wa waarabu ukaitwa Palestina kwa mara ya kwanza (jina walilopewa waarabu enzi warima wakkitawala Israel), upande wa wayahudi ukaitwa Israel ikiwa inajulikana kihistoria. upande wa Israel hawakuona shida lakini hao wa...
Back
Top Bottom