Kwa Sasa yamezuka mapigano ndani ya West Bank kati ya Jeshi la Mamlaka ya Palestina na wapiganaji wa Jenin Fighters. Mapigano hayo ya azidi kushika kasi Sana. Nilishasema Tangu Hamas na Fatah wapigane kule Gaza na Hamas kushinda na kulichukua eneo la Gaza , hata Palestina walipewa uhuru wao...
Katika mgogoro wa Israel na Wapelestina ni wazi mpango wa mataifa mawili kama umeshakufa kimya kimya. Fursa moja kubwa iliyobaki ni uwepo wa taifa moja lenye kujumuisha jamii zote mbili za Wayahudi na Wapalestina kama raia walio sawa katika taifa moja.
Inawezekana Siku moja Wapestina wakakubali...
Wakati madai ya uwongo ya "mauaji ya kimbari" yanazunguka, idadi ya watu wa Gaza iliongezeka kwa watu 43,000 katika wiki chache tu.
Mara ooh Israel anaua watoto kila siku, blah blah
Imagine on daily basis, magorofa yanaangushwa tena intentionally at the same time hakuna maji hakuna umeme hakuna na chakula pia shida.
So much suffering in this world.
Video ya Hayati Anwar Sadat anasema Siwezi kamwe kuhatarisha hatima ya Egypt kwa sababu ya tabia yao ya kitoto. Anawalaumu viongozi wa Palestina kwa kukutaaa makubaliano ya Camp David. Anasema makubaliano hayo yalilenga Wapalestina wawe na Serikali yao baada ya Miaka 5 ya utekelezaji wake...
Shambulio la IDF Leo Gaza huko eneo la Beit Lahia limeua wapalestina 106 na kuacha maelfu wakijeruhiwa.
---
Raia takriban 34 wa Palestina wameuwawa kufuatia shambulio la lililolenga jengo moja la ghorofa tano walikokuwa wakijihifadhi Wapalestina wasiokuwa na makaazi,kaskazini mwa Ukanda wa...
wapalestina wanalia njaa, chakula chote cha misaada kinaenda kwenye magodauni ya Hamas kwajili yao na familia zao, wapalestina wa kawaida huuziwa kwa bei ya juu mno.
Palestina kuna njaa inayosababishwa na Hamas kujichukulia kimabavu misaada halafu wanaanza kuidanganya dunia kwamba ni Israel...
Kwa taarifa ya Sasa ni kwamba jeshi la Korea Kaskazini likiwa na Idadi ya wanajeshi 3000, limeingia Urusi tayari kupigana vita na Ukraine. Kitendo hiki Cha Korea Kaskazini kitapelekea nchi zingine kuingia upande wa Ukraine hivyo kurefusha vita hivi na kuvifanya vita vya tatu vya Dunia .
Nilipoliona hili swali nilitatizika Sana.
Kwamba Kila wakati Palestina wanaosaidiwa kupata chakula na maji, lakini fedha za kununua roketi za kuishambulia Israeli wanazo.
Hata humu kuna watu wanaandika maneno mabaya dhidi ya wapalestina,tena bila ushahidi wala kutafuta ukweli.
Wapalestina wanaonewa kwa kiwango cha ajabu,wapenda haki ni lazima tuwatetee, propaganda za hovyo dhidi ya Wapalestina hazina maana yoyote, tuepuke kutoa shutuma kwa wapalestina mara ooh...
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Tunasubiri kauli ya taasisi na jumuiya za Kiislamu tanzania kupinga dhulma ya Israel dhidi ya ndugu zetu Wapalestina ikiwemo mauaji ya Viongozi wao Yahya Sinwar, Hassan nasrallah na Ismael hanniyeh
Ndugu zetu hao wameishi kwa mateso na...
Wahuni hawa kama ilivyo kawaida yao ya unyama na itikadi za kitapeli zisizokuwa na maana walifanya maafa sana.
Maafa wanayofanya na itikadi walizonazo haziwezi vumilika kwa dunia ya kawaida. Ndio maana walibonyezwa kisawa kisawa kulingana na unyama wao.
Maafa hayo waliyo wafanyia wana...
Watu wengi hususani afrika hawaelewi ugomvi baina ya Wapelestina na Wayahudi. Mara nyingi wamekuwa wakilaumiwa waarabu pale wanapolipiza mabaya wanayofanyiwa na Wayahudi ndani ya ardhi yao.
Angalia hii makala na ujue ukatili na unyanyasaji unaofanywa na wavamizi wa kiyahudi dhidi ya...
Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema halali usingizi, na anaona kila kitu kinachoendelea katika matendo ya wanadamu.
Katika nyakati mbalmbali katika historia ya mwanadamu Mwenyezi Mungu ametoa msaada na kunusuru wanaodhulumiwa pale ambapo usingetegemea.
Binafsi naanza kufikiri kuwa Mapinduzi ya...
Kwanini walikuwa wanahama siku za mwanzo?
Kwanini hawakukomaa walipokuwa tangia awali?
Kwani Isiraeli ilikuwa na uwezo wa kuuwa 5,000 siku ya kwanza au siku yoyote?
Mbona woga wao ndiyo umewafikisha huku kwenye 40,000 + na bado?
Haya si ni yale yale ya makwetu?
Mamlaka ya uturuki iliwaua Waarmenia kati ya 600,000 hadi 1,500,000.
Mnamo tarehe 24 Aprili 1915, mamlaka ya Ottoman ilikamata na kufukuza mamia ya wasomi na viongozi wa Armenia kutoka Constantinople.
Kwa amri ya Talaat Pasha, wastani wa Waarmenia 800,000 hadi milioni 1.2 walipelekwa kinguvu...
Mateso ya wavamizi wa Kiajemi
Mateso ya wavamizi wa Kigiriki
Mateso ya wavamizi wa Kituruki
Mateso ya wavamizi wa Kiarabu
Mateso ya wavamizi wa Intifada
Mateso ya ugaidi wa Kiiran
Mateso ya mauaji ya NAZI
Mateso ya uhamisho na kufukuzwa Ulaya.
Mateso ya waandamanaji na Wapingaji wao...
Ni mtoto labda ndio hajui kuwa hamas na hezbollah ni midori ya Iran.
Iran atafanikisha lolote lile liendalo na utapeli wake hata kwa gharama ya damu ya watu wake wenyewe.
Nini haswa madhumuni ya Iran,
kufanikisha kupatikana haki kwa walebanon na wapalestina??????
Hapana madhumuni ya Iran...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.