wapendanao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Uzi maalumu wa picha za wapendanao

    Tupia picha ikionesha watu,wanyama au chochote katika Hali ya upendo Ni eidha upendo wa baba na mAma,baba na mtoto,mamaa na mtoto,familia,jamii au popote pale
  2. Wine gani ni nzuri kwa wapendanao?

    JAmani naombeni msaada wakujua ni wine gani nzuri kwa wapenzi . Ambayo mtu na mtu wake wataenjoy
  3. M

    Ushauri kwa Wapendanao hawa!

    Angalia video hii kwa makini ,weka maoni yako
  4. MAKINIKIA: Hekaya fupi ya kaburi la wanapendanao lililopo katika jiji kongwe la Tanga ambalo linasemwa kuwa ndiyo kitovu cha mapenzi

    #MAKINIKIA: HEKAYA FUPI YA KABURI LA WAPENDANAO LILILOPO KATIKA JIJI KONGWE LA TANGA AMBALO LINASEMWA KUWA NDIO KITOVU CHA MAPENZI Jijini Tanga, katika kata ya Usagara karibu na uwanja wa hockey, kuna makaburi ya zamani yenye sehemu ya Kikristo na sehemu nyingine ya kijeshi ya Vita ya Kwanza ya...
  5. Jamaa kafanya kituko kamtongoza mdogo wa ex-wake unamshaurije?

    Ni rafiki yangu anafanya biashara zake mikoa fulani alikuwa na mpenzi wake wakaachana mazoea yalipoanza na mdogo wa ex- wake alikua ananiomba ushauri sana anamkataeje dogo maana dogo alikua anatimba adi ghetto kwa jamaa kupiga story. Sasa siku jamaa kayatwika kaamua kumrushia vocal mdogo wa ex-...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…