Humu JF nimegundua kitu, wagombanao Jukwaani ndio wapendanao kule PM

Humu JF nimegundua kitu, wagombanao Jukwaani ndio wapendanao kule PM

Hii ndiyo kusema kuwa, usipendelee kuchukua upanda na kuanza kurusha makombora ukiona bibie na babue wanazozana kwenye jukwaa. Hao ni wapendanao kule piem.

Red black, ShesRise_1, na Seran njoo tuulinde huu uzi kwa wivu wa kupindukia, maana una mafunzo ndani yake.
Kaka ndege THIBITISHIA UMMA kaka 😁😊
 
Ngoja na mimi nitafute wakugombana nae
Fanya hivyo ujionee kwa macho.

Miaka ya nyuma nilikuwa nikataka kumtongoza demu humu, naanza kujibizana naye vibaya hadi natukanana naye, kisha baadaye naenda PM kumuomba radhi.

Baada ya siku kadhaa naanza kupiga naye story, baada ya muda usio mrefu naomba gemu. Alhamdulillah nilikuwa nakubaliwa 😋
 
Screenshot_20250206-174028~2.jpg
 
Back
Top Bottom