Humu JF nimegundua kitu, wagombanao Jukwaani ndio wapendanao kule PM

Humu JF nimegundua kitu, wagombanao Jukwaani ndio wapendanao kule PM

Huko pm ndyo wapi jamani na mm nije
IMG-20261009-WA0203.jpg
 
Fanya hivyo ujionee kwa macho.

Miaka ya nyuma nilikuwa nikataka kumtongoza demu humu, naanza kujibizana naye vibaya hadi natukanana naye, kisha baadaye naenda PM kumuomba radhi.

Baada ya siku kadhaa naanza kupiga naye story, baada ya muda usio mrefu naomba gemu. Alhamdulillah nilikuwa nakubaliwa 😋
KAma movie la kihindi
 
Back
Top Bottom