Humu JF nimegundua kitu, wagombanao Jukwaani ndio wapendanao kule PM

Humu JF nimegundua kitu, wagombanao Jukwaani ndio wapendanao kule PM

Sawa, haya niko tayari kwa ugomvi sasa.
Kwanza kwanini wewe unaongoza kwa kuandika utumbo humu na hupigwi ban?

Au zile tetesi ni za kweli kwamba wewe ni Mod?
Hizo tetesi ndo Naskia kwako leo.

Hakuna utumbo niliowah kuandika humu, hata Mello anajua hilo.

Kama kuna utumbo niliwah andika em Nionyeshe
 
Hizo tetesi ndo Naskia kwako leo.

Hakuna utumbo niliowah kuandika humu, hata Mello anajua hilo.

Kama kuna utumbo niliwah andika em Nionyeshe
😁😁😁
Ila inaonyesha ulikuwa unafurahia mikito ya jamaa mpaka ukaegemea jiwe jeusi ili usianguke, uendelee kufurahia kitombo 😂
 
Ulichoandika hapa ni unafiki, kwamba hujui watu wanahusiana humu, huu ndio unafiki wenyewe!!
Au na mimi nivujishe siri zako humu tugombane mzee mwenzangu halafu tukapatanie vichochoroni privately 😂

Hizo tetesi ndo Naskia kwako leo.
Hakuna utumbo niliowah kuandika humu, hata Mello anajua hilo.
Kama kuna utumbo niliwah andika em Nionyeshe
Yani nianze kutafuta utumbo wako humu ili nichefukwe, hebu nipishe huko!

Bored Celebrity Big Brother GIF by Big Brother.gif
 
Back
Top Bottom