uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 19,101
- 31,995
Sina kabisa mtani wangu mzuri.Hivyo Mtani huna ugomvi na mtu weye?
Au tugombane basi jamani!! 😜
Sina kabisa mtani wangu mzuri.Hivyo Mtani huna ugomvi na mtu weye?
Tugombane Mtani. Teh teh.Ngoja na mimi nitafute wakugombana nae
Hahahaa. Kwa kweeeli.Sina kabisa mtani wangu mzuri.
Au tugombane basi jamani!! 😜
Nianze mimi au wewe sasa?Hahahaa. Kwa kweeeli.
Nianze sasa wewe...Tugombane Mtani. Teh teh.
Hahahaaa. 🏃♀️🏃♀️🏃♀️ nitaanza mimi Mtani.Nianze mimi au wewe sasa?
Inaskitisha mkuu. Marekebisho huwa yana changamoto sana.JamiiForums oneni hapa 🤔
Anza basi mtani wangu!!Hahahaaa. 🏃♀️🏃♀️🏃♀️ nitaanza mimi Mtani.
umechelewa sana kugundua mkuuHii ndiyo kusema kuwa, usipendelee kuchukua upanda na kuanza kurusha makombora ukiona bibie na babue wanazozana kwenye jukwaa. Hao ni wapendanao kule piem.
Red black, ShesRise_1, na Seran njoo tuulinde huu uzi kwa wivu wa kupindukia, maana una mafunzo ndani yake.
Sawa, ila tuanze kwanza na kaumbea, hivi hii ni ID ya mpiga nyeto mwenzako Secretary bird ?Binti wa zamani njoo tugombane 😎
Ndio, ile ilipigwa ban ndo akafungua Hii ya sasaSawa, ila tuanze kwanza na kaumbea, hivi hii ni ID ya mpiga nyeto mwenzako Secretary bird ?
Uje na parachichi papi☺️Jioni nikirudi nyumbani nitakuambia.