wapenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Muuza simu used

    Hivi mnatatua vipi changamoto za wapenzi wanaotaka kuwekwa status?

    Uki date na vi slay queen [emoji73] akili zao zote wamewekeza kwenye mitandao ya kijamii! Mama ya kijinga jinga ya kupostiana ndio changamoto kubwa sana aisee! Nilikuwa na tabia ya kupost ili aone yeye tu! Sasa siku hizi na wao wamestukia anataka umpost kisha ufanye screenshoot watu wame view...
  2. 0ozg Tz

    Wataalamuwa kutengeneza beat na wapenzi wa muziki njooni

    Kuna huu wimbo wa Jay Helody-huba hulu. Sound yake nakuwa sielewi elewi, kila nikijaribu kuuweka naona unatoa sound ya ajabu, najaribu ku-equalizer lakin bado sound inayotoka haisound poa. Sasa nazani labda itakuwa producer alikosea au studio ilikuwa na vyombo vya kawaida. Unasound kama...
  3. J

    Kwa wapenzi na wajuzi wa music system mbalimbali

    Habari wakuu poleni na majukumu najua humu ndani kunawajuzi wengi wa music system mbalimbali au ambao washatumia binafsi Sina uzoefu Sana na mambo ya mzikii ila nimejitahid kutafutatafuta mitandaoni nimeona km hz system hapo chini zawez kufaa naomba ushauri went Kati ya hizi sony home theater dz...
  4. mathsjery

    Ninyi wadada mnawaamini vipi wapenzi wanaowafatilia kwa kila kitu?

    Eti haka ka app mnakowekewa na wapenzi wenu mkikagundua vipi mnaendelea na penzi?
  5. Meshacky Allyson

    Jinsi muonekano, sura na shape zilivyowaponza wengi na kupata wapenzi ambao wanakuja kujutia

    Hi Wanajamii, Kama title hapo unavyoiona kiukweli mimi pia ni muhanga wa hili jambo yaan kupagawa na muonekano wa pisi kali lkn baada ya kuingia ktk uhusiano kiukweli ni majutoo , vizinga kibao show mbovu , yaan unaaanza kujutaaa ..[emoji24] . Niliwahi kuwa na manzi tena ni mtoto mkali, pisi...
  6. Money Penny

    Swali la Wanaume Tu: Wanaume Mkifumaniwa huwa mnamalizanaje na wapenzi wenu?

    Swali ndo Hilo jamaa: Jamani kama sio mwanaume, usikuje, tuwaache wanaume marijali tu wajibu hili swali 🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶
  7. Wakuacha

    Nahisi nina mkosi wapenzi wangu wa zamani wote wameolewa

    Habari zenu wakuu, Kiukweli mi nakosa raha kabisa nashindwa kuelewa yaani wapenzi wangu wote ambao nimeshawahi kuwa nao wote wameolewa. Sina X hata mmoja ambaye yuko single na wanaolewa kwa ndoa na sherehe kubwa, nipo nawaza sijui na mkosi gani mimi. Huu ni mkosi gani au lifanyio langu huwa...
Back
Top Bottom