wapenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Granted Faith

    Haya mambo ya kublock wapenzi wenu ni ushamba narudia tena ni ushamba

    Haya Mambo Kublock Wapenzi wenu ni Ushamba Unakuta Mna Kaugomvi Kadogo tuu ila Mnalimana block kila sehemu then baada ya mda mnapatana then Mnajiunblock huo ni Ushamba na Upumbavu, utoto na uzwazwa. Mambo ya Kublock ni ya Kishamba na ya Kipumbavu sana.
  2. Kasomi

    Aina za Wapenzi Hatari kwenye mahusiano

    AINA ZA WAPENZI HATARI KWENYE MAHUSIANO... 1: Mpenzi mtangazaji--> Kila mnacho fanya yeye anaenda kusema kwa marafiki/ndugu/mitandaoni. 2: Mpenzi mtazamaji: Hana afanyalo, hana future, yupo yupo tu kazi yake ye kutazama na kusimulia ya wenzie wala yake hayawazii. 3: Mpenzi msikilizaji...
  3. Nyendo

    Waziri George Simbachawene: Waliowashambulia wapenzi wakiwa faragha kwa madai ya kuwafumania wakamatwe

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Geoge Simbachawene ameliagiza Jeshi la Polisi kuwakamata watuhumiwa waliowashambulia wapenzi wakiwa kwenye faragha wakidai kuwa wamewafumania. Ametoa agizo hilo leo Agosti 6, 2021 jijini Dar es Salaama baada ya kuiona video iliyosambaa katika mitandao ya...
  4. Wang Shu

    Kahawa bora zaidi duniani

    Luwaki Coffee; Hii ni kahawa pendwa zaidi unapata ile radha haswaa ya kahawa. Hutumika zaidi nchi za baridi na restaurant kubwa, Wapenzi wa kahawa tafuteni hii ndio kahawa bora zaidi duniani Karibuni.
  5. Analogia Malenga

    Njombe: Wapenzi wafariki wakiwa wamelala chumbani na jiko la mkaa

    Watu wawili wamefariki dunia mkoani Njombe baada ya kuingia na jiko la mkaa katika chumba cha kulala kwa ajili ya kupunguza baridi. Hayo yalibainishwa leo Jumatano Julai 21, 2021 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Hamisi Issah wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika makao...
  6. Darucha

    Thread maalum kwa wapenzi wa movie za zamani za Kihindi pamoja na mastaa wake

    Daah aisee movie za kihindi zamani zilijua kutukamata kulikuwa hakuna watafsiri lakini tulizielewa balaa. Miaka ya 80's huko wazazi wetu na wenyewe walikuwa na mastaa ambao waliwakubali Kama Dharmendra, Amitha Bachan, Shratugansina, Mithun chaklaboth, jitendra, huku maqueen wao wakiwa Kama...
  7. Ethan Cruz

    Unapoongea na wanawake wengi kuhusu kushika simu za wapenzi wao na kuwafumania wanakuambia “nakagua ili kupata ushahidi!”

    Unapoongea na wanawake wengi kuhusu kushika simu za wapenzi wao na kuwafumania wanakuambia “nakagua ili kupata ushahidi!” kwangu hiyo si shida shida inakuja kuwa unataka ushahidi wa nini? ili ugundue nini yani (1) Umemchoka unataka kumuacha lakini huna ushahidi unataa ukishajua umuambie...
  8. BabaMorgan

    Je, ni sahihi kwa wapendanao ( wanandoa & wapenzi ) kutumia video za ngono kama muongozo wawapo faragha?

    Andiko hili ni mjadala wa wakubwa kama upo chini ya miaka 18 tafuta andiko linalokufaa. Pesa ni nzuri ila ngono ni tamu. Mimi Baba Morgan ni miongoni mwa wachache tunaoamini kuwa video za ngono zilikuja kwa nia njema ya kututoa tongo tongo juu ya maswala mazima yahusianayo na tendo la ndoa kama...
  9. S

    Ibada ya kuaga mwili wa TB. Joshua inaendelea muda huu

    Ibada inaendelea mda huu wageni toka sehemu mbalimbali duniani wamehudhuria, kwa hapa Tanzania inaonyeshwa kupitia wrm TV ya Chief suguye ambayo inapatikana kwenye kisambuzi cha startimes, tuendelea kufatilia ibada hii ya kusherekea maisha yake.
  10. M

    Wapenzi wa Yanga na Simba acheni kuvaa fulana za timu zetu wiki nzima

    Wapenzi wa Yanga na Simba, Jezi zenu huwa zinavaliwa angalau siku moja kabla ya mechi,hadi siku ya mechi na baada ya mechi unaweza ukavaa kwa nusu siku hata kama umeshinda au umefungwa.Ushamba wenyewe unakuwa hivi aliyeshinda anavaa jezi wiki nzima asubuhi hadi wengine wanalala nazo,wakati...
  11. M

    Nina wapenzi wawili nimuoe nani kati yao?

    Habari zenu ndugu zangu. Nakuja kwenu na Id mpya ili niweze kuwa muwazi kwenu nipate msaada. Naona karma inaninyemelea na sielewi nifanye nini ndugu zangu. Mimi ni kijana wa miaka 31. Sijaoa lakini nimekuwa na girflriend wengi kwa wakati mmoja bila wao kujuana. Shida yangu ni hii: Katika...
  12. MR LINKO

    Phone: Wapenzi wa simu za Oppo

    hizi ni aina tofauti za simu aina ya OPPO unaweza angalia na kusafisha machoo.. Nimeangalia hadi zimenichanganya akili.
  13. ndege JOHN

    Zawadi kwaajili ya wapenzi wetu

    Wakuu Kuna binti fulani wife material nimempenda Sana nimeona nijiingize na Mimi katika mahusiano mchumba nishamtongoza na sasa Bado ananifikiria fikiria kwa kuwa Bado muoga wa haya mambo Basi naendelea kusubiri na mtoto Ni bikra kabisa Hili liko wazi.(Kuna watu watabisha ila nasema ukweli...
  14. B

    Kwanini asilimia kubwa ya sisi tunashindwa kuongozana na wake au wapenzi wetu?

    Hivi hapa inakuwaje wakuu unaalikwa kwenye part unaenda peke yako au kimada, wife yuko home au wengine hata njiani tu utakuta wako safari moja lakini mwanaume anakaribia mtaa wa pili mwanamke ndio anaingia mtaa wa kwanza. Hivi inakuwaje kama unaona sio taipu yako usingemuoa basii khaa.... N.B...
  15. chief kamchicha

    Kwa wapenzi wa Series

    Tofauti na series ya designated survivor...ni series gani nzuri yenye maudhui yanayoendana na hiyo?
  16. M

    Je, ukitaka kufikisha ujumbe kwa wapenzi ambao usiku wakifanya ngono na wanapiga sana kelele utafanyaje?

    Nina Jirani yangu tumepanga wote hapa Uswahilini Tandale kwa Tumbo ( barabara Kuu ya Mafuriko ) na tupo Jirani kwa Vyumba vyetu kufuatana. Yeye na Mkewe ( Shemeji ) tunaishi vizuri na Kushirikiana vyema tu Kimaisha japo wote ni Choka Mbaya tu Kimaisha ila tunaendelea Kupambana. Hata hivyo nina...
  17. Kurunzi

    Mapadre wa kikatoliki Ujerumani wanaokaidi maagizo ya Kanisa na Kubariki mahusiano ya wapenzi wa jinsia moja

    Mapadre wa kikatoliki Ujerumani wanaokaidi maagizo ya kanisa na kubariki mahusiano ya wapenzi wa jinsia moja. Baraka hizi hutolewea chini ya kampeni inayosema''mapenzi yanashinda''CHANZO CHA PICHA,EPA-EFE Kanisa katoliki nchini Ujerumani limeendelea kuonyesha kukaidi maagizo ya makao makuu ya...
  18. B

    INAUZWA Wapenzi wa bidhaa za asili

    Tunauza bidhaa nzuri zilizotengenezwa kwa mti wa muanzi yaani bamboo tree, bidhaa ni nzuri, zipo kwenye kiwango cha ubora wa juu na salama kwa matumizi. JE, FAIDA YAKE AMA UPEKEE NI UPI? Kwanza vyaweza kutumika kama mapambo ya ndani yaani interior decor ama matumizi halisi, mfano kikombe...
  19. Toosie Slide

    Uzi maalumu kwa wapenzi wa Animation

    Salaam Huu uzi ni kwaajili ya animation (cartoon) kali ambazo uwezo angalia. Pia kujulishana ambazo zitatoka. Animation yangu ya kwanza ilikua ni Big Hero 6, hii ilinifanya niwe mpenzi na mfuatiliaji wa cartoon au animation. Nyingine kali nilizozicheki ni: Sing Frozen 1&2 Tangled ever after...
  20. Morg

    Ushuhuda: Manukato/perfume yasababisha niachwe na mwanamke aliyenipenda

    Habarini za asubuhi bandugu zanguni hapa katika jukwaa poleni na mvua za Jana haswa maeneo ya jiji la Dar es salaam twende kwenye mada. Jana ndio siku rasmi niliyoachwa na mwanamke aliyenipenda sana hakika haikuwa siku nzuri sana kwangu mpaka sasa nimehuzunika sana. Ilikuwa ni hivi kuna binti...
Back
Top Bottom