wapenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Poker

    Septemba 07, 2022 ndiyo iPhone 14 inazinduliwa. Wapenzi wa iPhone tukutane hapa kujuzana prices and specs

    Kesho September 7 ni iphone keynote event ambapo inatarajiwa iphone 14, 14 max na max pro zitazinduliwa rasmi. Inaaminika kutakuwa na major upgrade kwenye upande wa camera na video itaweza kurecord hadi 8k. Pia inasemekana kutakuwa hakuna sim cards slot na badala yake ni esim.
  2. Poker

    Wale wapenzi wa Reggae tukutane hapa! Taja ngoma yako unayoikubali

    Binafsi namkubali sana Gregory Isaacs na lile kundi la UB40
  3. Craig

    Wale tuliowahi kuwa na wapenzi wasiojua kusoma na kuandika tukutane hapa

    Habari za majukumu wadau, ni matumaini yangu kuwa wote tumeonesha uzalendo kwa kushiriki vizuri zoezi la sensa 2022. Dodoso za sensa zimenifanya nikumbuke visa nilivyowahi kukutana navyo kwenye mahusiano. Ilikuwa mwaka 2010 enzi hizo nilikuwa naishi Masaki, Haille Selassie Road(nyumbani)...
  4. M

    SoC02 Ukatili kati ya ndugu, wapenzi na watu wa karibu ndani ya jamii

    UTANGULIZI Ukatili ni hali ya kusabishwa kwa makusudi mateso na kukosesha raha dhidi ya mtu mwengine, Ukatili baina aya ndugu, wapenzi au watu wakaribu ndani ya jamii unaweza ukawa ni ukatili wa kijinsia au ukatili kwa watoto unaoweza kufanywa na rafiki kwa rafiki, mzazi kwa mototo, jinsia moja...
  5. Superbug

    Kwa huu uchaguzi wa Kenya, familia na wapenzi wa Hayati Magufuli muombeeni toba mpendwa wenu

    Tufanye Hayati Magufuli (JPM) hakuamrisha shambulio la Lissu. Tufanye JPM hakuhusika na upoteaji wa Ben saanane. Tufanye JPM hakupokonya watu pesa zao kinguvu kwenye akaunti zao. Tufanye hakuna familia zilizoathirika na wazazi wao kufukuzwa kazi kionezi. Tufanye hakuna watu waliofunguliwa...
  6. kizaizai

    Nipe jina la hii movie

    Hii ni screenshot.
  7. M

    Karibuni tupeane 'Maujanja' ya kujua jinsi Wanawake (Wapenzi Wetu ) Wanavyoturoga sana Wanaume

    1. Ukiona Siku yoyote unasifia mno Chakula na Mpenzi au Mkeo jua ameshakuroga. 2. Ukiona mkiwa Mapenzini halafu umemaliza Kupiga Mshindo Milionea ( yaani Umemkojolea ) na haraka sana anawahi kutaka Kukufuta tena kwa Kitambaa chake jua unaenda Kurogwa vibaya sana. 3. Ukiona Mpenzi/ Mkeo...
  8. KAFA.cOm

    Enzi zetu: Mpenzi wangu nikupendaye kwa dhati

    ENZI ZETU Mpenzi wangu nikupendaye kwa dhati. Salamu nyingi sana zikufikie huko ulipo. Utakapo kujua khali yangu mie ni bukheri kabisa. Hofu na mashaka ni juu yako ewe mpenzi wangu uliye mbali na upeo wa macho yangu. Dhumuni la barua yangu ni kutaka kukusabahi na kukushukuru kwa barua yako...
  9. Mad Max

    Wapenzi wa Muziki Mzuri: Home Theatre ya Sony vs Soundbar ya Hisense

    Wakuu Mambo. Nataka kununua kati ya Home Theater ya Sony DAV TZ 140 5.1 au Sound Bar ya Hisense HS 281 2.1 Zote mbili bei zinafanana approximately Tsh 450,000/= kila moja. Sony Home Theatre hiyo hapo, Wat 320. Nimeona haina Bluetooth connectivity sijui itafaa? Na Hapa chini ni Hisense...
  10. Anonymous77

    Wapenzi wa game za ANDROID hili hapa game bora kabisa kwa upande wa android games

    TYCOON BUSINESS 2022 Wale wapenzi wa games basi hii ni fursa kwenu game hili linahusika na masuala ya kiuchumi, teknolojia, utachagua nchi yako ambayo utaunda kampuni yako kisha utaanza kujenga uchumi wako kama tunavojua ili uwe na uchumi bora ni lazima uwe na jeshi bora teknolojia bora kwa...
  11. Baharia Mahaba

    Ambao huwa tunasubiri majibu mpaka wapenzi wetu wanaoa au kuolewa na watu wengine, tukutane hapa

    Katika haya maisha binadamu tunapitia mambo mengi sana makubwa na mazito pia ambayo katika hali ya kawaida unaweza kukaa na kufikiria umewezaje kuchomoka salama? Eneo linaloongoza kwa vitimbi na kashkash nyingi katika maisha ya mwanadamu ni suala la mahusiano. Sasa leo nataka tujuzane yule mtu...
  12. Equation x

    Wanaovaa nguo za wapenzi wao huwa ni lugha ya picha kwa 'shoo' wanayoipata ndani

    Ukiona mdada anavaa nguo za mpenzi wake wa kiume, kama; mashati, tshirt, bukta, boxa, suruali, vest n.k Juwa mmewe/mpenzi wake anamkoleza ipasavyo. Ni vigumu, mtu kusema habari za mpenzi wake; hasa mambo ya sirini na kuyaweka hadharani. Ila kwa kuangalia vitendo, utagundua uwezo wa mwenza wake...
  13. Kichwamoto

    Wapenzi wawili hawanitoshei, Je ni mimi tu au tupo wengi?

    Hello JF, Niende kwenye maada, ebana eeh I have tried lots mi kuwa na mademu wawili nimeshindwa hawanitoshi, for two years nimejaribu nibaki na wawili nimeshindwa nilikuwa na Vaileth na Glory, ila wapi imebuma nimeongeza. Jack na Mary, am trymng but when I see women with diverse features...
  14. K

    Inakuwaje baadhi ya wanawake wapo tayari kumwacha mwanaume anayempenda kisa fedha baadaye anarudi na kutaka muwe wapenzi kisirisiri?

    Nilisha simuliwa story hizi nyingi za mwanamke kumwacha ampendaye kisa kampata mwengine mwenye hela. Nina wanangu wa wawili wote mainjinia, mmoja nilijuana naye Mchikichini kwenye mapindi, mwengine tulijuana kwenye projects moja ambayo ilikuwa tempo ya kama mwaka mmoja. Huyu mwana niliyejuana...
  15. Nafaka

    Death on the Nile - kwa wapenzi wa movie

    Wale wa penzi wa movie, aisee tafuteni hii movie ya Death on the Nile imetoka mwezi wa pili. Bonge la movie na bonge la story. Sema sio kwa wale wanaopenda movie za mapigano maana humu hakuna
  16. Kichwamoto

    Tuliopotezana na Wapenzi wetu tuwatambue kwa majina nyakati na sehemu

    Ebwana eeeh namkumbuka Koku alikuwa receptionist giraffe hotel na peacock Hotel, bonge la pisi halafu mtamu safari zangu za mbele nimepotezana nae, 2008-2010, DSM nikiwa mkazi wa kijitonyama, Mfugale junior tulikuwa ligi moja ila sio mbaya, koku uko wapi?koku kama koku Tuwatafute
  17. H

    Kwanini Wanawake wengi wa Kiislamu wana mahaba na wanyenyekevu kwa wenza wao tofauti na Wakristo?

    Habari wanajf wenzangu Hili swali nimekuwanikijiuliza Sana bila hata kupata majibu. Binafsi mimi ni mkristo na nimedate na wanawake 8 mpaka right now na katika hao wanawake 8 niliwahi kudate nao wanawake ambao nimefurahia mahusiano nao ni wanawake wa5 tu na katika hao 4 ni wakislamu na 1 ndio...
  18. Equation x

    Wadada mnavyowatembelea wapenzi wenu wa kiume, muwe wabunifu

    Ukifika kwa mpenzi wako wa kiume, jitahidi kuwa mbunifu, mfano:- Kutembea kwa mwendo wa maringo Kuzunguka zunguka ndani ya nyumba kwa mwendo wa maringo Kujifanya umedondosha vitu na kuinama kuviokota Kuvaa vazi la kanga na kufanya fanya usafi, kupika, kumtengenezea mpenzi wako juisi n.k Kumzuga...
  19. katoto kazuri

    Wanaume ambao hamna wapenzi someni hapa

    Katika maisha kila mtu anajua single-men wana madream wife zao so tuambizeni humu ma dream wife zenu ni wakina na nani ? ambao mkioa hapo unajua nimepata sio nimepatikana tujuzeni.
Back
Top Bottom